Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Hizi ndo rist zinazo tolewa na hawa jamaa wa tra pale mtu anapo kamatwa na pkpk, gar, duka n.k. Na akajtetea kuwa hana hela kamili kama wanavyo htaj basi hudaiwa operation charge ambayo wao...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wana CHADEMA mmepatwa na baridi ghafla kutokana na CCM kuja na HOJA MAKINI KWA WANANCHI. Wana mikakati maarufu wa CCM walikaa chini wakati nyie mukibwabwaja na kuja na pendekezo nzuri kupitia CC...
0 Reactions
11 Replies
1K Views
Katika harakati za kupigania haki na uhuru wa kweli kuna watu wamepoteza uhai au kupata ulemavu, na bado vita vya haki vinaendelea. Ninaomba viongozi wa JF kuanzisha harakati za kuchangia mfuko...
0 Reactions
0 Replies
726 Views
Na Sitta Tumma NIMEWAHI kuandika makala ya kuwashauri wabunge watumie Ibara ya 46A(1), na sheria ya mwaka 1992 namba 20 ibara ya 8, na sheria ya mwaka 1995, kupiga kura ya kutokuwa na imani na...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Mjengwa Blog::Habari,Picha,Matangazo: Msikilize Waziri Nundu Alipowakabili Wanahabari Dodoma Kwa Dakika 46!
1 Reactions
0 Replies
1K Views
Pendekezo kwenye katiba mpya:- 1. Wakati umefika sasa Rais awapendekeze anaowataka kushika Uwaziri, halafu wapitiwe na kamati za bunge za wizara zao kwanza kwa kuzingatia ripoti za kutoka Usalama...
5 Reactions
21 Replies
3K Views
Deogratius Temba MKUTANO wa saba wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, uliomalizika wiki iliyopita umeacha historia nyingine baada ya kuhitimishwa bila kuhitimisha hoja za...
0 Reactions
0 Replies
873 Views
Washtakiwe • Wananchi: Mawaziri waburuzwe kortini na Mwandishi wetu SIKU moja baada ya Kamati Kuu (CC) ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) kuridhia mabadiliko ya Baraza la Mawaziri...
0 Reactions
0 Replies
941 Views
Mabadiliko ya baraza la mawaziri yanayotegemewa na wengi isiwe kiini macho kama kuhamisha pesa toka mfuko wa kushoto kwenda mfuko wa kulia. Hatutarajii sura zile zile kuhamishiwa wizara tofauti...
0 Reactions
0 Replies
808 Views
Ndugu wanabodi, Suala la Kamati Kuu ya CCM {CC-CCM} kutangaza kwamba imemruhusu JK alisuke upya Baraza la Mawaziri linaweza kuwa limefanikiwa kubadili upepo wa uelewa wa wananchi. Nikiangalia...
3 Reactions
13 Replies
2K Views
ccm ccm hawa hawaaminiki hivi toka mwaka 1995 wao wanadai wana wanachama 5milion wana mahesabu watujuze hakuna ongozeko wala kupungua. ina maana hiki chama kimekuwa kama volkano iliyokufa...
1 Reactions
18 Replies
2K Views
Tanzania ni nchi tajiri sana duniani, utendaji kazi na usimamizi wa rasilimali zake ndio mbovu. Kwenye katiba mpya napendekeza kwamba kuwe na kipengele kinachowawezesha watanzania wenyewe waweze...
0 Reactions
0 Replies
855 Views
Kizungumkuti kinachoendelea dodoma kimedhihirisha kuwa ccm ni chama kinachofuga viongozi wasioweza kuchukua hatua. Juzi tulishuhudia wabunge karibu wote waliochangia hoja za kamati teule...
0 Reactions
79 Replies
8K Views
wizi ulio fanywa na mawaziri wetu ni jambo la kusikitisha na laibu kwa taifa letu na tena ni aibu kwa raisi aliye wateua. lakini kuna mambo ya kujiuliza hapa, kwa nini mawaziri wengi kiasi hiki...
0 Reactions
1 Replies
938 Views
Miaka ya hivi karibuni kumeibuka utamaduni wa utiriri watu kukusanyika Ikulu siku ya wateule hususan mawaziri manaibu wao na makatibu wakuu wanapoapishwa. Atakuwepo mke/mume watoto wajukuu...
1 Reactions
4 Replies
1K Views
Jabana power station in Gasabo district, Kigali city. Rwanda is facing a high demand for electricity amid faltering supply. Picture: Cyril Ndegeya By BERNA NAMATA and ALEX NGARAMBE Posted...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Habari wana jf: ktk hali ya kustusha juu ya kifo cha mwenyekiti wa CDM usa river-Arumeru east, Kamanda wa polisi amesema kuwa kifo hicho hakihusiani na maswala ya kisiasa. My take iweje...
4 Reactions
69 Replies
8K Views
Ukiwa unafuga paka nyumbani kwako jaribu kumchunguza. Ukiona paka wako hakamati panya akiwaona anakimbia mpeleke kwa wataalamu wa tabia za wanyama. Inawezekana huyo siyo paka bali ni mnyama...
2 Reactions
15 Replies
3K Views
Wanaofahamu nina mpango wakwenda kuchukua ushindi
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Ndugu wana JF na wapenzi wa JF, Napenda kusema kuwa CHADEMA kimejidhihirisha kuwa ni Chama Makini ambacho kina maamuzi magumu na mazuri kwa ajili ya maslahi ya Taifa letu. Hakika CHADEMA kwa sasa...
8 Reactions
35 Replies
3K Views
Back
Top Bottom