vipi jamani hivi vitengo vyetu vya takukuru na usalama wataifa kushindwa kunusa harufu ya uhalifu ktk wizara zetu? kazi zao mbona ni kama hawapo na umuhimu wao haupo tena. mbona mkaguzi wa...
Neema Kishebuka, Dsm
Kamati kuu ya chama cha demokrasia na maendeleo (CHADEMA) iumewataka wabunge wa chama hicho kurudisha pesa zilizowekwa katika account za wabunge kwa ajili ya kuhamasisha...
Licha ya kuwa Balozi zetu zimetajwa kwamba ni miongoni mwa pori kubwa la ufisadi wa kodi zetu kulingana na ripoti ya Mdhibiti na Mkaguzi wa Hesabu za serikali1, natabiri Ndugu Bernard Membe...
"Habari zinazoongelewa ktk maofisi husika baada ya kuvuja kutoka .............. zinasema mawaziri husika waliotajwa katka kashfa wizi wa mamilioni kua watachunguzwa na kufikishwa mahakamani then...
Nipo hapa stand ya mabasi uaendayo mikoani (Dodoma) naona kuna mabasi mengine majina ya mabasi hayo kama majina ya vigogo flani tena yanafuatana kama 3 hadi 4 ya kampuni moja yakienda safari moja...
Kwanza kabisa, Mawaziri watakaofukuzwa kwa usifadi uliofanyaki katika wizara zao, ni maoni ya wananchi kwamba watafikishwa mahakamani haraka iwezekanavyo ili pia mawaziri watendewe haki...
Hali ya sasa ya kukubalika kwa kasi kwa CDM inatoa tafsiri nyingi kuhusu mustakabali wa baadaye. Wingi wa Wanachama ni ishara ya kujitokeza kwao kushiriki katika kugombea nafasi mbalimbali ndani...
Kutokana na mwamko mkubwa wa WATANGANYIKA kujitambua na kuzitambua haki zao na kujitoa mhanga kudai haki,tumeshuhudia wimbi kubwa la MAMLUKI wanaojiita WAPAMANAJi kumbe ni MAVUVUZElA tu...
Baada ya Kuibomoa CCM kanda ya Kazikazini na kanda ya Ziwa sasa ni zamu ya Dar, Lema kuanza kwa kuzindua mabadiliko kupitia kiganja, Lengo ni kuwafikia watanzania wengi zaidi wenye access na...
FILIKUNJOMBE ANENA
FILIKUNJOMBE ANENA
Mbunge wa Ludewa (CCM) akizungumza katika mahojiano maalum ya NIPASHE Jumapili jijini Dar es Salaam juzi, Filikunjombe alisema tuhuma zinazowakabili...
Kwa haya, Utaifa wa chadema una walakini !
Baada ya yote yanayotokea naomba turudi kuzungumzia maadili ya utaifa. Kwa maana ya utaifa kama msingi na alama ya uwepo wetu kama WATANZANIA, bila ya...
Mimi si mjuzi wa mambo ya siasa ndo maana naomba kueleweshwa.
Hawa wezi wahujumu uchumi waliotumia vibaya madaraka yao wakiwa kazini kwa hakika watanyofolewa uwaziri.
Je ni sahihi wao kubaki...
ni dhairi sasa chadema imeko maa kisiasa,kuliko vyama vyote vya kisiasa sasa,uongozi wa chadema unata kiwa kuwa makini na viongozi wa amiaji kutoka chama kilichopo madarakani kuepuka kutulisha...
Kuna kila dalili kwamba ccm wanaona wameshindwa na nguvu ya uma, wameamua kuanza kuwauwa wapambanaji ili kuwaogopesha wananchi kuendelea kudai haki yao. Shime wananchi hapo ndio mjue kwamba ccm...
Kwa kuwa Raisi JK anao uhuru wa kuchagua waziri toka chama cha upinzani (akitaka), na kwa kuwa serikali inaongozwa na sera za CCM chini ya mwamvuli wa katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania...
Salaam wanajamvi,
Natumai sote tumeamka salama kwa uwezo wake Mola: Jumapili ya leo tutazungumzia suala zima la uwajibikaji Viongozi wetu kwa nini si suala la hiari?
wageni
Mh. Mrema
Bw...
Uzoefu wa toka JK ameingia madarakani vijana waliobahatika kupewa uwaziri wamegeuka kuwa genge la majizi na wahujumu uchumi. Lau Masha, Wiliam Ngeleja, Ezekiel Maige, Cyril Chami, Adam Malima, na...
Christopher Nyenyembe
UAMUZI wa Kamati Kuu (CC) ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) kuridhia ombi la Rais Jakaya Kikwete la kutaka kuwawajibisha na kuwafuta uwaziri, mawaziri wanaotuhumiwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.