CCM wameamua kuchinja watu kama syria

BORNCV

JF-Expert Member
Oct 11, 2011
242
46
Kuna kila dalili kwamba ccm wanaona wameshindwa na nguvu ya uma, wameamua kuanza kuwauwa wapambanaji ili kuwaogopesha wananchi kuendelea kudai haki yao. Shime wananchi hapo ndio mjue kwamba ccm wamekuwa wakituchinja muda mrefu kichumu, kisaikolojia, kiimani wameshindwa sasa wameamua kuchinja na kuua watu live kama anavyofanya asady kule syria, hii dhambi inayoitawala ccm. Tuwaondoe hawa watu. Na kwa taarifa nyenu ccm hakuna mwananchi atakayerudi nyuma ktk haya mapambano kama ni vurugu na kuondoa amani ni ninyi ccm ndio mnaleta ugomvi kwenye nchi yetu kwa makusudi kwa maslahi yenu binafsi halafu mnasingizia upinzani. Tutawaelimisha wazee na kina mama ambao walikuwa wanasema hatuchagui upinzani kwasababu wataleta vurugu hivyo wajue kuanzia sasa ni nani anayefanya nchi isiwe mahali pa kuishi, nashukuru kwamba wengi sasa wameshatambua hili.
Inatuuma sana sana
 
Wamemchinja kiongozi wetu kama kuku! CCM wamedhamiria kumwaga damu ya watanzania. Mungu yupo upande wetu.
 
wao wana pesa sisi tuna Mungu lazima watashindwa tu usihofu sana. la msingi ni kufikiri njia sahihi na tutakayokwenda nayo mbele daima kudai haki yetu. Binafsi nafikiri njia nzuri zaid ni kuwatoa hawa madarakani iyo 2015 acha tujaribu na upinzani nao tuone mambo yatakuwaje. Japokuwa sumu haijaribiwi kwa kuonjwa. Lakini kwani Tanzania lazima itawaliwe na CCM? na kama ndivyo je kulikuwa na sababu gani ya kukubali demokrasia ya vyama vingi?
 
No, ccm numberi one don try to crash this big party..coz even kelele za inzi hazimtishi mtu kunya

u........................................................n.......................................a..............................t,,,,,,,,,,,,,,,,,,o..........................b........................................w.............................................a.
 
Wewe nahisi ni mmoja wa wauaji!!!! Kwa jinsi ulivokomalia threads zinazohusu vifo vinavoendelea nchini!!!

Jitahidi roho yako isiwe makazi ya shetani!!!!
 
u........................................................n.......................................a..............................t,,,,,,,,,,,,,,,,,,o..........................b........................................w.............................................a.

Kumbe wewe jamaa uwa pumba kiasi hiki unatukana ili uonekane mjanja..awa ndio mashabiki wa Chadema.
 
Namashetani.
u........................................................n.......................................a..............................t,,,,,,,,,,,,,,,,,,o..........................b........................................w.............................................a.
 
Kuna kila dalili kwamba ccm wanaona wameshindwa na nguvu ya uma, wameamua kuanza kuwauwa wapambanaji ili kuwaogopesha wananchi kuendelea kudai haki yao. Shime wananchi hapo ndio mjue kwamba ccm wamekuwa wakituchinja muda mrefu kichumu, kisaikolojia, kiimani wameshindwa sasa wameamua kuchinja na kuua watu live kama anavyofanya asady kule syria, hii dhambi inayoitawala ccm. Tuwaondoe hawa watu. Na kwa taarifa nyenu ccm hakuna mwananchi atakayerudi nyuma ktk haya mapambano kama ni vurugu na kuondoa amani ni ninyi ccm ndio mnaleta ugomvi kwenye nchi yetu kwa makusudi kwa maslahi yenu binafsi halafu mnasingizia upinzani. Tutawaelimisha wazee na kina mama ambao walikuwa wanasema hatuchagui upinzani kwasababu wataleta vurugu hivyo wajue kuanzia sasa ni nani anayefanya nchi isiwe mahali pa kuishi, nashukuru kwamba wengi sasa wameshatambua hili.
Inatuuma sana sana

Kwa nini usifikirie kuwa Wameru wameamua kuchinjana kama kuku kwa sababu hakuna kikao cha CCM kilichoamua kufanyika kwa hayo mauaji
 
No, ccm numberi one don try to crash this big party..coz even kelele za inzi hazimtishi mtu kunya

Tumia kichwa kwa kuwaza kilaza mkubwa wewe!
Unakomalia mauaji yanayoendelea kwa Watanzania wenzatu wee!

Ama nawe ni moja wao nini??

Kubwa jinga wewe!
 
Mkuu Wa Polisi Andengenye jana alitoa majibui haraka sana hata kabla ya uchunguzi akasema mauaji hayahusiani na siasa.
Alishafanya uchunguzi kabla Mbwambo haja uwawa ndiyo maana hakuwa na haja ja kufanya uchunguzi, uchuzi unafanywa kwenye vifo vya kina Kanumba siyo viongozi wa chadema wanao katwa katwa mapanga na kuchinjwa kama kuku.....
 
Kwa nini usifikirie kuwa Wameru wameamua kuchinjana kama kuku kwa sababu hakuna kikao cha CCM kilichoamua kufanyika kwa hayo mauaji
January Makamba aliwahi kulitangazia taifa kipindi cha kampeni kule IGUNGA...
 
Back
Top Bottom