Toka mwaka 2005 tumekua tukimsikia Mbowe akiongelea swala la
"uongozi wa majimbo".
Juzi hapa bungeni pia ali penyeza wazo la chadema kwamba
ili matatizo mengi yaliyopo kwenye serikali leo hii...
Nilifuatilia kwa makini kabisa bunge lililopita, nilichogundua ni kwamba wabunge wa cdm walioanzisha swala la kuiwajibisha serikali ni halima mdee na Tindu Lissu.
Kwa mshangao wa wengi mbunge...
Ningependa kusikia mtu yeyyote aliyeko mahakamani kwa sasa hapo Sumbawanga atufahamishe kinachoendelea hapo mahakamani mpaka mwisho wa kesi utakavyokuwa.
Maoni haya hapa chini yametolewa na mmoja wa wananchi kupitia Group moja katika facebook.
"Mkataba wa muungano ndiyo chanzo/asili/ mama wa mikataba yote mibaya na mibovu katika nchi hii.
Mkataba...
Kuna tetesi kuwa baadhi ya mawaziri watakaotoswa na JK kwa kupigwa chini watafanya uasi ktk chama...wanadai wako tayari kuanzisha vyama vipya..wengine wafikiria kujiunga CHADEMA.Wanadai wametolewa...
Waheshimiwa wana JF,
Duniani kote haki ya mtu kuishi ni haki ya msingi na huwa inalindwa kwa garama yoyote ile, jukumu hilo kwa kawaida limekabidhiwa kwa jeshi la polisi na vyombo vingine vyote...
Ni ufisadi wa kingese kweli na ndio maana wazungu wanatudharau, unakodishaje majengo na ufukwe wa bahari kwa dola 10,000 kwa mwaka??? PLEASE SOMENI WENYEWE HAPO CHINI!!!
Rais mstaafu wa Zanzibar...
Makamanda wa CDM Mh. Rose Kamili na Pauline P. Gekul wakiwavua magamba Babati Vijijini. Kwa ujumla hali inaonyesha dalili ya kutosha kuwa makamba wanakazi ya kuwatete nafasi yao kwa wananchi...
Heshima kwenu Wanabodi, Nilikuwa naperuzi Gazeti la Mwananchi nikakutana na hii Habari, Ebu tuisome kisha tuijadili ukiisoma hii habari unapata kujua kiwango na uwezo wa kufikiri wa viongozi na...
Viongozi wa chadema wanachinjwa chinjwa kule Arusha there should be a nationwide outcry. Inakuaje members wa vyama vya upinzani kila siku tunasikia wanapigwa mitaani tunakaa kimya na viongozi wa...
Heshima kwa wote. Ujanja wa JK. J.K anampango wa kubadilisha baraza la mawaziri na siyo kuwawajibisha mawaziri waliyofuja mali za umma. Ujanja anaotaka kuutumia J.K si kuwawajibisha ila atabadili...
29th, 2012
Tanzania |
President Jakaya Kikwete
An unparalleled crisis has engulfed the cabinet on the one hand, and the legislature against the cabinet on the other, such that the...
• NI TUKIO KUBWA LA KIHISTORIA
na Abdallah Khamis
CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) na kile cha CUF viko mbioni kuungana na kuendesha maandamano makubwa ya pamoja...
Kwa Mujibu hali ya mambo inavyoendelea upande wa Zanzibar, sina shaka ila kuwataka viongozi wa serikali iliopo madarakani kuzingatia uwezekano wa kura ya maoni kabla mchakato wa katiba kuendelea...
Kuna taarifa kutoka vyanzo vyetu vilivyo Wizara ya Maliasili na Utalii kuwa ile stock ya meno ya tembo ambayo serikali ilikataliwa kuiuza na shirikisho linalo simamia wanyama walio katika hatari...
Mimi ni mwenyeji wa Longido, mimi ni msomi.Jimbo la Longido limekuwa katika mikono ya CCM miaka yote. jimbo hili limekaliwa na kabila la wamaasai, moja ya makabila maarufu sana Afrika ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.