Mambo muhimu ya kuzingatiwa katika chama cha chadema,kuepuka shombo ya ccm. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mambo muhimu ya kuzingatiwa katika chama cha chadema,kuepuka shombo ya ccm.

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by profesa.n., Apr 29, 2012.

 1. p

  profesa.n. Member

  #1
  Apr 29, 2012
  Joined: Apr 23, 2012
  Messages: 79
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 25
  ni dhairi sasa chadema imeko maa kisiasa,kuliko vyama vyote vya kisiasa sasa,uongozi wa chadema unata kiwa kuwa makini na viongozi wa amiaji kutoka chama kilichopo madarakani kuepuka kutulisha ujinga,wana ama nao,kutokana na kua viongozi wengine wa natabia ya kuama ovyo,na hawana msimamo.
   
 2. Tutor B

  Tutor B JF-Expert Member

  #2
  Apr 29, 2012
  Joined: Jun 11, 2011
  Messages: 6,405
  Likes Received: 2,111
  Trophy Points: 280
  Nimekusoma - ushauri wako ni wa maana sana! Haya ya CCM yanayohamia kwenye chama chetu yanaweza kutuambukiza magonjwa yao. Kuna tetesi kuwa hata JK anataka kujiunga na CDM - ni kweli?
   
 3. mopaozi

  mopaozi JF-Expert Member

  #3
  Apr 29, 2012
  Joined: Nov 17, 2010
  Messages: 3,290
  Likes Received: 105
  Trophy Points: 160
  Hakuna la maana tena kikao kimevunjika ngumi zilitaka kupigwa slaa na Zito walinyanyuana mzimamzima kisa Zito hakupata baraka za chama kwenye hoja ya W/mkuu ni aibu stori kamili tembelea uzi yako wapi matokeo ya kikao cha CDM.ni aibu aibu aibu tupu
   
 4. s

  sanjo JF-Expert Member

  #4
  Apr 29, 2012
  Joined: Oct 29, 2010
  Messages: 943
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 35
  Wahamiaji inatakiwa wasomeshwe na kuelewa sera na misingi ya CDM na wajibu muhimu wa mwanachama na kiongozi wa CDM. Nchi kwanza kinyume kabisa magamba wanavyofanya.
   
Loading...