Kama mh.zitto kabwe akipewa wizara ya fedha, cdm watakuwa tayari kuunga mkono? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kama mh.zitto kabwe akipewa wizara ya fedha, cdm watakuwa tayari kuunga mkono?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Mbelwa Germano, Apr 29, 2012.

 1. Mbelwa Germano

  Mbelwa Germano JF-Expert Member

  #1
  Apr 29, 2012
  Joined: May 7, 2011
  Messages: 789
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  1. Kwa kuwa Raisi JK anao uhuru wa kuchagua waziri toka chama cha upinzani (akitaka), na kwa kuwa serikali inaongozwa na sera za CCM chini ya mwamvuli wa katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ambayo ni kinga ya CCM, na iwapo uteuzi huu utafanyika, je CDM watakuwa tayari kuunga mkono?
  2. Kwa kuwa idadi kubwa ya wabunge wanatoka CCM, Je wabunge hawa wanatuwa tayari kuheshimu maamuzi ya Rais?
  3. Iwapo CDM watakubaliana na uteuzi huu na Wabunge wa CCM kuheshimu maamuzi ya Raisi,lakini wabunge wa CCM wakaamua kumjengea zengwe Mh.Zitto la kumkwamisha katika maazimio ya wizara, Je CDM watakuwa kwenye nafasi salama?
   
 2. Wingu

  Wingu JF-Expert Member

  #2
  Apr 29, 2012
  Joined: Jan 14, 2011
  Messages: 4,326
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 135
  Mpaka apewe ndo tutajua hamna haja ya kuumiza kichwa.Wakati wanajua uchafu wao wote utagundulika wakimpa mtu baki.Wakijitahidi sana watatatoa wizara ya michezo.
   
 3. Mchaka Mchaka

  Mchaka Mchaka JF Bronze Member

  #3
  Apr 29, 2012
  Joined: Jul 20, 2010
  Messages: 4,530
  Likes Received: 42
  Trophy Points: 0
  hapo anapigwa chini!!...hatuko tayari kuungana na mafisadi..kama CUF walivyofanya!
   
 4. S

  Sultani kambe Member

  #4
  Apr 29, 2012
  Joined: Apr 26, 2012
  Messages: 63
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Huyo ananjaa anaweza kusababisha hata serikali ikakopa kwenye maduka ya wahindi, so it better 2kawachagua CCM wenzetu ambao tayari wameshiba...
   
 5. S

  Sultani kambe Member

  #5
  Apr 29, 2012
  Joined: Apr 26, 2012
  Messages: 63
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  acha ukilaza wewe
   
 6. S

  Sultani kambe Member

  #6
  Apr 29, 2012
  Joined: Apr 26, 2012
  Messages: 63
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  NA HAWEZI PEWA HATA IKIFIKA IYO 2015 HAWEZI KWANI MAGWANDA WANAJIFARIJI2 kuchukua dola ila n ndoto za mchana
   
 7. kookolikoo

  kookolikoo JF-Expert Member

  #7
  Apr 29, 2012
  Joined: Mar 9, 2012
  Messages: 2,537
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  shambulia hoja si mtoa hoja!
   
 8. mtotowamjini

  mtotowamjini JF-Expert Member

  #8
  Apr 29, 2012
  Joined: Apr 23, 2012
  Messages: 4,540
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 0
  that would never happen in this country
   
 9. Mbelwa Germano

  Mbelwa Germano JF-Expert Member

  #9
  Apr 29, 2012
  Joined: May 7, 2011
  Messages: 789
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Nothing is possible....let assume ndio kapewa wizara ya fedha.

  NB:Alishawahi kuteuliwa na Raisi wenye kamati ya uchunguzi wa Buzwagi.
   
 10. Losambo

  Losambo JF-Expert Member

  #10
  Apr 29, 2012
  Joined: Nov 8, 2011
  Messages: 2,623
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Hata akipewa CDM hawawezi kukubali, wataendeleza mapambano mpaka kieleweke.

  Kupewa uwaziri halafu waje wamuundie kashfa ili mfurahi hilo halipo.
   
 11. Gsana

  Gsana JF-Expert Member

  #11
  Apr 29, 2012
  Joined: Aug 28, 2010
  Messages: 4,387
  Likes Received: 348
  Trophy Points: 180
  mi ntaunga mkono hoja pia na lema kupewa wizara ya ulinzi,tundu lisu wizara ya katiba na sheria pamoja na dr slaa kuwa naibu waziri mkuu,mana kwa sasa tuna waziri mkuu asiye waziri mkuu anayeshindwa kumdhibiti mkuu wa inchi mtoro-jen.ulimwengu 2012
   
 12. Kichwa Ngumu

  Kichwa Ngumu JF-Expert Member

  #12
  Apr 29, 2012
  Joined: Nov 6, 2010
  Messages: 1,726
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 145
  hii ni tetesi kwamba ni taarifa ambazo umezipata ila huja hakikisha au ni mawazo yako?
   
 13. Mbelwa Germano

  Mbelwa Germano JF-Expert Member

  #13
  Apr 29, 2012
  Joined: May 7, 2011
  Messages: 789
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Quote the context.....hiyo tetesi is just an error wakati natuma post,nakuomba u-base kwenye hoja.Asante sana Kamanda kwa umakini wako.
   
 14. Endeleaaa

  Endeleaaa JF-Expert Member

  #14
  Apr 29, 2012
  Joined: Oct 5, 2007
  Messages: 1,229
  Likes Received: 320
  Trophy Points: 180
  Ndoto za mchana hizo. kama ameshindwa kubadili mawaziri bila kibali cha CC CCM, unategemea atatangaza mabadiliko bila CC CCM kuridhia? AU unataka kusema CCM imeishiwa watu kiasi cha kuazima kwa vyama pinzani?

  Mkuu forget that will never happen.

  Hata ikitokea hivyo maanake ni kuwa atapoteza nyazifa zote alizonazo bungeni, kitu ambacho sioni kama CDM na Zitto wanaweza kuwa tayari kwa hilo.
   
 15. STEIN

  STEIN JF-Expert Member

  #15
  Apr 29, 2012
  Joined: Aug 29, 2010
  Messages: 1,764
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  Hatutegemei kitu kama hichi, lengo letu ni CCM waondoke kwenye hizi anga za siasa Tanzania na si kuwasaidia.

  Hakuna pango wa kushirikiana na CCM
   
Loading...