Kuna nini nyuma ya makampuni ya mabasi yanayoibuka kila kukicha? Au ndo kodi zetu? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kuna nini nyuma ya makampuni ya mabasi yanayoibuka kila kukicha? Au ndo kodi zetu?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by dosama, Apr 29, 2012.

 1. dosama

  dosama JF-Expert Member

  #1
  Apr 29, 2012
  Joined: Dec 25, 2010
  Messages: 786
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 35
  Nipo hapa stand ya mabasi uaendayo mikoani (Dodoma) naona kuna mabasi mengine majina ya mabasi hayo kama majina ya vigogo flani tena yanafuatana kama 3 hadi 4 ya kampuni moja yakienda safari moja.

  Zaidi kuna mengine abiria wapo nusu ila linapiga mzigo kama kawa.

  Najiuliza ni ya kina nani? Mbona yako mengi na kila siku tunaona mabasi mapya then tunasema maisha magumu na raia hatuna kitu.

  Mbona reli ya kati imezikwa na serikali hasikiki juu ya hili na Magufuli alitengewa bajeti hewa na kubwa kwenye barabara na reli ikaambulia patupu?

  Naomba as Great Thinker tufikiri juu ya hili
   
 2. T

  Tamu ya moyo New Member

  #2
  Apr 29, 2012
  Joined: Apr 7, 2012
  Messages: 4
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Taja makampuni hayo, ili bayana uweze kupewa majibu kamili.
   
 3. K

  Kassim Awadh JF-Expert Member

  #3
  Apr 29, 2012
  Joined: Mar 12, 2012
  Messages: 887
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 35
  Usituthibitishie unaweza kuwa kilaza namna hiyo,,ikiwa upo stand ulipaswa kuyataja majina ya mabasi hayo(unayosema yana majina "kama ya vigogo") mjadala ukawa mpana wwenye kuleta manufaa
   
 4. Nyakageni

  Nyakageni JF-Expert Member

  #4
  Apr 29, 2012
  Joined: Feb 1, 2011
  Messages: 13,948
  Likes Received: 1,274
  Trophy Points: 280
  funguka
   
 5. M

  Mtanganyika mweusi Member

  #5
  Apr 29, 2012
  Joined: Apr 26, 2012
  Messages: 34
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Green star, prisence Muro na mengine majina kama dawa za ........
   
Loading...