Natabiri: Bernard Membe kuendelea kuwa Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Natabiri: Bernard Membe kuendelea kuwa Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by TUMBIRI, Apr 28, 2012.

 1. TUMBIRI

  TUMBIRI JF-Expert Member

  #1
  Apr 28, 2012
  Joined: May 7, 2011
  Messages: 1,934
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Licha ya kuwa Balozi zetu zimetajwa kwamba ni miongoni mwa pori kubwa la ufisadi wa kodi zetu kulingana na ripoti ya Mdhibiti na Mkaguzi wa Hesabu za serikali[SUP]1[/SUP], natabiri Ndugu Bernard Membe kuendelea kuwa Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa kimataifa kutokana na uswahiba kati yake na bwana mkubwa na pia kutokana na malengo yao binafsi kuelekea 2015. Kama mnabisha subirini muone.


  [SUP]1[/SUP]
  http://www.nao.go.tz/files/Tanzanian%20Embassies-General%20Audit%20Reports.pdf
   
 2. Chilisosi

  Chilisosi JF-Expert Member

  #2
  Apr 28, 2012
  Joined: Oct 19, 2008
  Messages: 3,055
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 135
  Membe anafaa hata Kuwa wazir I Mkuu na pia urais 2015
   
 3. mkomatembo

  mkomatembo JF-Expert Member

  #3
  Apr 28, 2012
  Joined: Dec 17, 2011
  Messages: 1,466
  Likes Received: 502
  Trophy Points: 280
  Sioni ubaya kwasababu sijasikia KASHFA YAKE mpaka sasa au zipo ? jamaan ametulia, ila waziri mkuu anatakiwa awe mtu mkali na mchapa kazi sio kama huyu MNAFIKI PINDA , ana dharau na amjivuno ya ndani kwa ndani
   
 4. Henge

  Henge JF-Expert Member

  #4
  Apr 28, 2012
  Joined: May 14, 2009
  Messages: 6,762
  Likes Received: 78
  Trophy Points: 145
  naona msiomfahamu membe mnamfurahia tuu, kumweka membe uwaziri mkuu ni bora amrudishe lowasa!
   
 5. OTIS

  OTIS JF-Expert Member

  #5
  Apr 28, 2012
  Joined: Sep 7, 2011
  Messages: 2,144
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  Membe anafaa kuendelea kukamata nafasi hiyo
  Anatakiwa kukamata hata uwaziri mkuu ili kuwashikisha adabu wezi wa mali ya umma
  OTIS
   
 6. Henge

  Henge JF-Expert Member

  #6
  Apr 28, 2012
  Joined: May 14, 2009
  Messages: 6,762
  Likes Received: 78
  Trophy Points: 145
  huyu mzee ni mnafiki anaitwa mzee wa oic!
   
 7. Bilionea Asigwa

  Bilionea Asigwa JF-Expert Member

  #7
  Apr 28, 2012
  Joined: Sep 21, 2011
  Messages: 12,627
  Likes Received: 9,838
  Trophy Points: 280
  be iz too soft to be aprsident or PM
   
 8. TUMBIRI

  TUMBIRI JF-Expert Member

  #8
  Apr 28, 2012
  Joined: May 7, 2011
  Messages: 1,934
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0

  Hata Kikwete wakati anashikilia hiyo post watu walisema sana hana kashfa na ametulia hivyo anafaa kuwa Rais. Zilipokuja kuibuliwa hoja za pesa za Uarabuni na baadae utawala wake kudumaa kama mtoto aliyebemendwa watu walipigwa na butwaa. Membe is leadershipless. Ndiyo maana Kikwete amemuweka kwenye Wizara ambayo haigusi maisha ya watanzania ya kila siku ili asipatwe na kashfa. Hivi unadhani Membe angekuwa Waziri wa Nishati na madini au Mambo ya Ndani au Ulinzi mgempamba kama hivyo?

   
 9. M

  Mkira JF-Expert Member

  #9
  Apr 28, 2012
  Joined: May 10, 2006
  Messages: 425
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35

  Ila tuache kudanyangya badala ya kulibebesha zigo taifa kwa kuchagua waziri Mku mwingine ninamshauri amurudishe Lowassa bila kujali kelele za wapinzani wengineo na familia yake eti Lowassa anataka kumngóa akimurisha hakika Lowassa atachapa kazi na aipaisha CCM, kwa vile Bunge sehemu kubwa ni la CCM Nina imani watamkubali Lowassa na EL hatafanya kosa atalekebisha mengi including shule za kata kero za maji umeme nk!

  HUO NDIO UKWELI KWA SASA JK TUMIA RUNGU LAKO LA KATIBA TEUA TENA LOWASSA UTAFURAHI! NI KATIKA IMANI KUWA HATARUDIA MAKOSA NA WIZI WAKE TENA!!! ILA SIFA YA USIMAMIZI UTARUDISHA UHAI WA CCM , NI MAONI YANGU TU!
   
 10. Ben Saanane

  Ben Saanane Verified User

  #10
  Apr 28, 2012
  Joined: Jan 18, 2007
  Messages: 14,603
  Likes Received: 3,692
  Trophy Points: 280
  Bernard Membe anafaa kuendelea na Wizara yake.Anatumia taaluma yake vizuri kabisa kikazi ukilinganisha na wengine.Nilishasema hili na mara nyingi nimekuwa matatani hapa JF........The guy is professional!
   
 11. RasJah

  RasJah JF-Expert Member

  #11
  Apr 28, 2012
  Joined: Nov 5, 2009
  Messages: 697
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 35
  Membe atapewa rungu la uwaziri mkubwa subirini. tu
   
 12. DALLAI LAMA

  DALLAI LAMA JF-Expert Member

  #12
  Apr 28, 2012
  Joined: Jan 31, 2012
  Messages: 8,617
  Likes Received: 401
  Trophy Points: 180
  Haitoshi kumuita mzee wa oic,alilikashfu jina la yesu kwa kusema hata pesa za shetani tunazihitaji..alihojiwa na BBC 2008.Hicho kivuli kitampa tabu sana kwa wakristo.
   
 13. MAMMAMIA

  MAMMAMIA JF-Expert Member

  #13
  Apr 28, 2012
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 3,822
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 0
  Mimi natabiri watakao chaguliwa wana njaa kuliko waliotangulia.
  Is it a coincidence? Kila ikifika katikati ya utawala wake anafumua baraza anaunda jipya?
  Hapana! Ni kwa sababu kuna wanamtandao na wengine wengi wanaodandia mtandao na wako full kujipendekeza. Wote hawa wanataka walipwe fadhila. Wote hawa nao wanastahiki kipande cha keki.

  Kwa hivyo kabla ya mwezi wa 6 (inawezekana hata ndani ya mwezi huu huu) JK atachagua wengine wa kuwalipa fadhila kwa kipindi cha lala salama.

  Watanzania, tukae mkao wa kusaga meno wakati wao wanakaa mkao wa kula.
   
 14. Matola

  Matola JF-Expert Member

  #14
  Apr 28, 2012
  Joined: Oct 18, 2010
  Messages: 36,045
  Likes Received: 13,261
  Trophy Points: 280
  Hapa nadhani unapaswa kunielimisha vizuri kufanya kazi vizuri maana yake ni nini hasa!!?? maana kwa maoni yangu naona kazi nyingi za Membe anazifanya JK, hapa ndipo ninaposhindwa kuelewa vigenzo vyako vya kumu endorse Membe.
   
 15. makwimoge

  makwimoge JF-Expert Member

  #15
  Apr 28, 2012
  Joined: Apr 14, 2011
  Messages: 294
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  wewe hujui Hiyo ni nafasi ya Asha Rose Migiro .....................subiri uone
   
 16. omujubi

  omujubi JF-Expert Member

  #16
  Apr 28, 2012
  Joined: Dec 6, 2011
  Messages: 4,144
  Likes Received: 74
  Trophy Points: 145
  hapa mkuu usitegemee lolote. Suluhisho ni kubadilisha mfumo na wahusika wote, ni ngumu but it's the only way out!

  mfano ni kuwa hata watoto wako wawe na uwezo kiasi gani kiakili ukiwapeleka shule yenye mwalimu mmoja na haina maktaba, maabara nk watafeli. Vivyo hivyo ukipeleka watoto wenye uwezo wa kawaida tu (au hata mdogo) kwenye shule kama Mzumbe, Msolwa, St. Marian, Feza Boys (usiulize zaidi juu ya 'Feza girls') anabadilika na kuwa na uwezo wa kufaulu mtihani.

  Habari ndio hiyo, mazingira na watendaji wa sasa ni 'St. Kayumba'
  ili aonekane kuwa ndiye alikuwa rais wa kwanza kuteua PM mwanamke!!??
  Walifanya hivyo kwenye bunge na tunaona mpaka sasa
   
 17. P

  Phillemon Mikael JF Gold Member

  #17
  Apr 28, 2012
  Joined: Nov 5, 2006
  Messages: 8,848
  Likes Received: 2,425
  Trophy Points: 280

  Wewe kama umetumwa na huyo mpaka pedo Bernad Membe..mwambie ndogo yake aipeleke kwingine hapa hatuitaki......,kwanza muulize zile pesa Za Libya dola milioni 50 na zaidi vipi ..amesharudisha??..Joka La Mdimu!!
   
 18. Mzalendo

  Mzalendo Senior Member

  #18
  Apr 28, 2012
  Joined: Mar 10, 2006
  Messages: 180
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Tumburi,
  Hivi unazania utafanikiwa kushawishi uteuzi kwa mawaziri kwa miss information za kitoto kama hivi?, nahisi jina na lako ndio umbile lako kama sio akili zako zitakuwa zimefadhili na walio fadhiliwa na yusuf manji ,
   
 19. mtotowamjini

  mtotowamjini JF-Expert Member

  #19
  Apr 28, 2012
  Joined: Apr 23, 2012
  Messages: 4,540
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 0
  mi sikatai mtu kula/kuiba lakini afanye kazi basi. Leo hii ungekuta maisha ya watanzania ni mazuri alafu tunasikia mawaziri wanaiba kuna mtu angelalamika? watu wana hasira coz watu wanaiba alafu maisha ya mtanzania wa kawaida yanazidi kua magumu
   
 20. Mzalendo

  Mzalendo Senior Member

  #20
  Apr 28, 2012
  Joined: Mar 10, 2006
  Messages: 180
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Niwazi wewe ni mkosaji hapa niwazi unachuki binafsi na ulishaambiwa hapa kitambo kwamba Membe sio afisa uajiri pale mambo ya nje,lakini bado unaweza jaribu tena hila tuma maombi tume ya ajira kwa uwezo unaozania unao wanaweza kukufikiria,usife moyo kaka
   
Loading...