Hao mawaziri wezi watabaki wabunge? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hao mawaziri wezi watabaki wabunge?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Moony, Apr 29, 2012.

 1. M

  Moony JF-Expert Member

  #1
  Apr 29, 2012
  Joined: Apr 16, 2011
  Messages: 1,593
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  Mimi si mjuzi wa mambo ya siasa ndo maana naomba kueleweshwa.

  Hawa wezi wahujumu uchumi waliotumia vibaya madaraka yao wakiwa kazini kwa hakika watanyofolewa uwaziri.

  Je ni sahihi wao kubaki kuwa wawakilishi wa majimbo yao?
   
 2. j

  jjjj Senior Member

  #2
  Apr 29, 2012
  Joined: Mar 3, 2011
  Messages: 101
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Haileti maana kama wamepatikana na makosa na wakaenguliwa na Rais ya maanisha hawafai watabaki kwenye ubunge wa mwakilishe nani tunaomba wananchi nasi tuweke mkazo katika hili vinginevyo waweza wakabaki
   
 3. Losambo

  Losambo JF-Expert Member

  #3
  Apr 29, 2012
  Joined: Nov 8, 2011
  Messages: 2,623
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Kwani vigezo vya mtu kuacha ubunge si vipo wazi? Kwa Tanzania hii ni mpaka kesi dhidi yao itakapofunguliwa na wakapatikana na hatia ndiyo wanaweza kupoteza sifa za kuwa wabunge. Vinginevyo kama tuna ndoto kuwa watajiuzuru basi itakuwa imeshakula kwetu.
   
 4. Ziroseventytwo

  Ziroseventytwo JF-Expert Member

  #4
  Apr 29, 2012
  Joined: Mar 27, 2011
  Messages: 3,520
  Likes Received: 1,515
  Trophy Points: 280
  Tunasubiri wapigwe chini,then huku majimboni tunalianzisha. Hatutaki kuwakilishwa na wabunge wezi...na sisi tunatafuta saini za wapiga kura 2000 then tunatuma wawakilishi pale ofisi ya bunge na ujumbe wetu ni hatumtaki mbunge wetu 7bu ni mwizi.
   
 5. Ziroseventytwo

  Ziroseventytwo JF-Expert Member

  #5
  Apr 29, 2012
  Joined: Mar 27, 2011
  Messages: 3,520
  Likes Received: 1,515
  Trophy Points: 280
  Tunasubiri wapigwe chini,then huku majimboni tunalianzisha. Hatutaki kuwakilishwa na wabunge wezi...na sisi tunatafuta saini za wapiga kura 2000 wenye kadi ya kupigia kura,then tunatuma wawakilishi pale ofisi ya bunge na ujumbe wetu ni hatumtaki mbunge wetu 7bu ni mwizi.
   
 6. C

  Complex number JF-Expert Member

  #6
  Apr 29, 2012
  Joined: Apr 28, 2012
  Messages: 218
  Likes Received: 30
  Trophy Points: 45
  Wafunguliwe kesi ya jinai ili waachie ubunge na watakao chaguliwa wawe makini na waogope kuwa mawaziri.Sio tu kufurahia kuwa mawaziri bali watumikie wananchi.
   
Loading...