Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Akihojiwa katika kipindi cha mahojiano na Channel Ten kuna mama mmoja kapiga simu toka Pangani ni mmama kamuuliza Nape maswali haya. Ni kwanini CCM imekuwa chama cha watoto wa vigogo ukiwa mmoja...
0 Reactions
30 Replies
5K Views
Kumbe na Karumeni fisadi! Rais mstaafu wa Zanzibar, AmaniAbeid Karume Rais mstaafu wa Zanzibar, AmaniAbeid Karume, amekumbwa na kashfa akidaiwa kutoa amri ya kukodishwa kwa majengoya Mambo...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Jenerali Ulimwengu 236 25 Apr 2012 NCHI inapitia kipindi tete, kipindi ambacho kinashuhudia maswali mengi yakiruka kutoka kila upande huku kukiwa hakuna majibu yanayoeleweka. Halitakuwa kosa...
17 Reactions
62 Replies
6K Views
Hotuba ya rais mwisho wa mwezi hivi ilifia wapi? Je hana cha kusema kwa watanzania? Pamoja na kusuka baraza la mawaziri tungependa kusikia yeye kama rais anasemaje juu ya ripoti ya CAG. Au waanda...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Ikiwa mnataka kujiunga na Vuguvugu la Mabadiliko, na ikiwa kweli mnataka mabadiliko, wakati ndio huu. - Msisubiri mpaka huko mliko mfukuzwe ndio mjiunge na M4C - Msisubiri mpaka mje kutemwa...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Mon, Apr 30th, 2012 Tanzania | Mon,April, 30th 2012 Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Mr Freeman Mbowe The Central Committee of the opposition party, Chama cha Demokrasia na...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Je kuwa na Baraza jipya la mawaziri ndio suluhisho la watakaochaguliwa kutokuwa wezi?Au ndio tunaahirisha tatizo? Maana isijekuwa 2013 mambo haya yanadirudia. Kwa mawazo yangu nadhani mzizi wa...
0 Reactions
0 Replies
840 Views
Ibara hii ya Nane ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano Tanzania ndiyo msingi wa Falsafa ya CHADEMA ya "Nguvu ya Umma". Nguvu ya umma inayosimamiwa na CHADEMA si nguvu ya vurugu bali ni mkakati mahsusi...
3 Reactions
0 Replies
1K Views
Waziri wa zamani katkia SMZ Brg Gen Mstaafu amefariki dunia mchana wa leo ktk hosp ya jesh Lugalo!! Nilikuwa hapo punde pata habari hizi, sijui alikuwa anasumbuliwa nanini mwanasiasa huyu mkongwe!
1 Reactions
104 Replies
11K Views
Nakumbuka mauaji ya mwenyekiti wa halmashauri na chama cha mapinduzi katika wilaya ya Rungwe mkoani Mbeya Marehemu John Mwankenja, Kikwete aliagiza wahusika wakamatwe haraka na haikuchukua mda...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
SAUTI ZA WABUNGE HAWA NI SAUTI ZA MUNGU HUWEZI KUWA MASKINI KWA KUKATAA SERIKALI ‘TATA” NA Gift Mongi KAMA kweli wabunge ndio wawakilishi wa wananchi, serikali sasa itaondoa pamba masikioni...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Akifungua kikao cha Baraza Kuu la Chama cha Demokrasia na Maendeleo Chadema jijini Dar es Salaam jana, Mwenyekiti wa chama hicho, Freeman Mbowe amesema wananchi watajadili Katiba kadiri...
4 Reactions
62 Replies
5K Views
Leo mchana nape amepokea maandamano ya wale wanaojiita Wana cccm wa vyuo vikuu,lengo Lao ni kupongeza Kamati kuu.(source Chanel ten) Haiwezekani na ni vigumu kuamini kwamba bado kuna wasomi...
3 Reactions
80 Replies
7K Views
Source Nipashe Upepo wa kisiasa ulikuwa mbaya sio kwa Pinda bali kwa Kj kumbe wabunge wa CCM walikuwa na lengo la kumng'oa rais Kikwete na wala sio waziri mkuu Pinda. Hii inatokana na Jk...
1 Reactions
87 Replies
10K Views
Bila kutafuna maneno, kweli Nape najua huwa unaongea kwa kusutwa roho hasa pale unapoutetea uongo kuwa ukweli!unalipwa kiasi gani ndani ya CHAMA? Unatetea mashahi gani ya Taifa hili?Kesho kutwa...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Ni kuhusu maamuzi ya CCM kutaka mabadiliko.
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Rais mstaafu wa Zanzibar, Amani Abeid Karume Rais mstaafu wa Zanzibar, Amani Abeid Karume, amekumbwa na kashfa akidaiwa kutoa amri ya kukodishwa kwa majengo ya Mambo Msiige bila kufuata...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Lisu anawasili na umati unatisha
1 Reactions
52 Replies
7K Views
Kura kumkataa Pinda kumbe ilimlenga Rais Kikwete Filikunjombe: Angezungumza Zitto isingekuwa na nguvu Makinda awashukia mawaziri wanaojisafisha nje ya Bunge Rais Jakaya Kikwete...
0 Reactions
18 Replies
3K Views
Baadhi ya viongozi na hata wanachama wa kawaida wa upinzani wanapokosoa CCM wanakosoa zaidi watu na chama kama chama. Katika kikao cha Bunge kilichopita kwa mfano ni wachache sana ambao wamefanya...
10 Reactions
34 Replies
3K Views
Back
Top Bottom