Tafsiri ya NAPE KITAIFA-VIJANA WA TANZANIA NA WAZEE | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tafsiri ya NAPE KITAIFA-VIJANA WA TANZANIA NA WAZEE

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by MPAMBANAJI.COM, Apr 30, 2012.

 1. MPAMBANAJI.COM

  MPAMBANAJI.COM JF-Expert Member

  #1
  Apr 30, 2012
  Joined: Mar 2, 2011
  Messages: 704
  Likes Received: 159
  Trophy Points: 60
  Bila kutafuna maneno, kweli Nape najua huwa unaongea kwa kusutwa roho hasa pale unapoutetea uongo kuwa ukweli!unalipwa kiasi gani ndani ya CHAMA? Unatetea mashahi gani ya Taifa hili?Kesho kutwa unaingia kwenye kundi rika la Wazee, unamchango gani endelevu kwa Taifa hili? kwanini usiwe jasiri kama Julius Malema wa Afrika Kusini na ukawa kiongozi shupavu wanaouzungumza ukwlei ndani ya Familia ya CCM?Umepewa nini Nape? Ni huzuni sana kundi rika letu ukatengenezwa kuongea mazingira uongo/fisadi na kuyafanya mazingira rafiki?Embu tueleze upo tayari kujisaidia hadharani eti ni namna ya kukidhi haja ya mwili wako mbele ya hadhara?Tafsiri zaidi kijana mwenzangu ili na Tanzania ikupende na miaka 30 ijayo basi uwe kweli mfano wa kuigwa na uweze kukubalika katika mashauri mbalimbali

  hata watoto ndani ya familia kwa mara kadhaa hubishana na wazazi, lengo likiwa ni mzazi afahamu yakuwa hata mtoto anaelewa baadhi ya mambo!na asingependa yaendelee kufanyika!

  Jitathimini upya, ikiwezekana hakikisha unasema ukweli kwa mara kadhaa tu, walau mara moja kwa kila mwezi na mara 12 kwa mwaka.

  Aksante sna na naamini utakua umenielewa vyama Kijana mwenzangu


  ukipenda sema CDM hoyeee...kimoyomoyo tuu..ukikataa shukuru kwa uambiwalo!
   
 2. Chigwiyemisi

  Chigwiyemisi JF-Expert Member

  #2
  Apr 30, 2012
  Joined: Jun 22, 2011
  Messages: 531
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  The guy is a loser! Alijifanya kuwa mtetezi wa rasilimali za Wa-tz, alipoonjeshwa ka U-DC pale Masasi akafyata! Alipochaguliwa kwenye chama ndo kabisa akawa nothing but a boot licker!
   
 3. b

  buyegiboseba JF-Expert Member

  #3
  Apr 30, 2012
  Joined: Jun 3, 2011
  Messages: 535
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Nape njaa tu hana lolote,ni kama mbwa mwenye njaa hubweka kweli kweli akiona mtu anapita ila ukimtupia kipande cha nyama,kimya! mpaka leo sijui falsafa ya Nape nadani ya chama ni ipi,coz mara awatukanae mafisadi,wakimtaiti anasema mimi sijamsema mtu wala kumtaja,maneno yao tu hayo,future ya kijana huyu kisiasa si njema sana!
   
Loading...