Nape atoa povu alipoulizwa CCM imekuwa chama cha Watoto wa viongozi kama yeye | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nape atoa povu alipoulizwa CCM imekuwa chama cha Watoto wa viongozi kama yeye

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by dosama, Apr 30, 2012.

 1. dosama

  dosama JF-Expert Member

  #1
  Apr 30, 2012
  Joined: Dec 25, 2010
  Messages: 786
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 35
  Akihojiwa katika kipindi cha mahojiano na Channel Ten kuna mama mmoja kapiga simu toka Pangani ni mmama kamuuliza Nape maswali haya.

  Ni kwanini CCM imekuwa chama cha watoto wa vigogo ukiwa mmoja wapo wewe mnapeana uongozi kwa kujuana na kigezo kikubwa wewe ni mtoto wa nani au mzazi wako alikuwa ni nani ktk nchi hii.

  La pili nyie watoto wa vigogo mnasomeshwa nje ya nchi mnatuacha hapa watanzania na shule za kata kwa sababu mnajua hazifai.

  Akamaliza someni alama za nyakati na muachie ngazi nchi imewashinda.

  Majibu ya Nape.

  Kuhusu watoto wa vigogo anadai hata yeye hakuomba kuzaliwa ktk familia ya Mnauye imetokea sio kosa lake na hata huyo mama hakuomba kuzaliwa huko ni hari ambayo hawezi kuikataa.

  Na shule kadai yeye kasoma shule ya kawaida kabisa tena kwa kibatari.
   
 2. Henge

  Henge JF-Expert Member

  #2
  Apr 30, 2012
  Joined: May 14, 2009
  Messages: 6,765
  Likes Received: 78
  Trophy Points: 145
  Nape kama upo humu na umeiona hii, hukutakiwa kujibu hivyo mkuu siku nyingine sema kama mwanachama anauwezo yeyote yule anahaki sawa kugombea uongozi ndani ya chama!
   
 3. Ringo Edmund

  Ringo Edmund JF-Expert Member

  #3
  Apr 30, 2012
  Joined: May 10, 2010
  Messages: 4,895
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 0
  jamani mhurumieni huyu kijana jahazi alilopanda ndilo lenye matatizo na yeye uelewa wake umefikia ukomo wa kuona hata mita nia mbele.
   
 4. lukindo

  lukindo JF-Expert Member

  #4
  Apr 30, 2012
  Joined: Mar 20, 2010
  Messages: 7,891
  Likes Received: 6,085
  Trophy Points: 280
  sasa wewe ndio unataka kujishusha hadhi kuwa kulinganisha uwezo wako wa kufikiri na kujibu kuwa sawa na ule wa Nape.

  Hivyo alivyosema ndipo uwezo wake unapoishia na hilo jibu ndio lililo wazi kuwa wao wanaamini kuwa hizo ndizo familia za kututawala na kinachotakiwa ni kuzaliwa tu kwenye hizo familia. Mkuu umesahau mzee Makamba alivyowahi kusema pia kuwa baba akiwa kwenye position na watoto watakuwa hivyo!?

  Ujumbe ndio huo na kikubwa hapa ni jinsi gani tuta react ili kuondoa jamii ya hawa watawala wenye uwezo mdogo kufikiri huku wakijilinganisha na familia kama za akina Kennedy

   
 5. Kunta Kinte

  Kunta Kinte JF-Expert Member

  #5
  Apr 30, 2012
  Joined: May 18, 2009
  Messages: 3,660
  Likes Received: 215
  Trophy Points: 160
  Hoja kwa kweli sidhani kama ni nani kazaliwa na nani, kwangu mimi hoja ni uwezo binafsi wa mtu kama kiongozi- ukiniwekea Ridhwani Kikwete siwezi kumkubali hata kidogo lakini ukiniwekea January Makamba sina tatizo nae kwani naamini anasimama kwenye miguu yake mwenyewe kiuongozi
   
 6. Ileje

  Ileje JF-Expert Member

  #6
  Apr 30, 2012
  Joined: Dec 20, 2011
  Messages: 3,872
  Likes Received: 1,658
  Trophy Points: 280
  Nilishangaa kumuona akitumia nguvu nyingi sana na sauti ya juu huku mishipa ya shingo ikiwa imesimama!
   
 7. k

  kula kwa tindo JF-Expert Member

  #7
  Apr 30, 2012
  Joined: Nov 14, 2011
  Messages: 1,330
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  Kwa hali ilivyo ungetaraji nini? Mipovu iko mingi kwa kila mwenye GAMBA...
  Chezea CDM wee.. Sugu kasema hii ni KIMBUNGA
   
 8. King2

  King2 JF-Expert Member

  #8
  Apr 30, 2012
  Joined: Nov 16, 2011
  Messages: 1,289
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  MaGamba una huyo mnauye, makamba, kawawa mara sumari
   
 9. Daudi Mchambuzi

  Daudi Mchambuzi JF-Expert Member

  #9
  Apr 30, 2012
  Joined: Nov 25, 2010
  Messages: 31,797
  Likes Received: 36,826
  Trophy Points: 280
  Nape anakosa political tolerance, nimemuona akijibu kwa hasira na pua zimemtanuka kama kaptula ya shule.
  Punguza jazba Nape.
   
 10. MD25

  MD25 JF-Expert Member

  #10
  Apr 30, 2012
  Joined: Jan 28, 2012
  Messages: 3,078
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  Nepi anauwezo mdogo wa akili. Msameheni bure.
   
 11. S

  Stoudemire JF-Expert Member

  #11
  Apr 30, 2012
  Joined: Mar 24, 2012
  Messages: 840
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Sasa kama mimi mzee wangu anavaa T-shirt 3 bado mgongo uko nje na T-shirt zenyewe zimeandikwa Chagua kikwete, Mpe Mwinyi kura ya Ndio lakini mimi mwanae sipati hata serikali ya mtaa. Kweli CCM ya wakulima na wafanya kazi iliondoka na Nyerere sasa tuna chma cha wafanyabiashara.
   
 12. Y

  Young zee JF-Expert Member

  #12
  Apr 30, 2012
  Joined: Apr 1, 2012
  Messages: 398
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  Mkuu labda uwe karibu naye wakati mwingine, Ili umbonyezee majibu maana hawezi kufikiri haraka.
  Na kama kweli kajibu vile, basi anatakiwa amwombe radhi mama wa watu maana kamtukana.
   
 13. Pasco_jr_ngumi

  Pasco_jr_ngumi JF-Expert Member

  #13
  Apr 30, 2012
  Joined: Nov 20, 2010
  Messages: 1,811
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 145
  Chama chEtuuuu oyeeeeeee!!!!!!
   
 14. bepari1

  bepari1 Member

  #14
  Apr 30, 2012
  Joined: Sep 10, 2011
  Messages: 74
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 15
  Huyo ndo nape,katibu mwenezi chama tawala! Mlango wa nyumba huakisi kilichopo ndani.huyu kijana ni boya.
   
 15. S

  Shekispia JF-Expert Member

  #15
  Apr 30, 2012
  Joined: Feb 27, 2012
  Messages: 226
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Hayo ni matusi ya nguoni kwa watanzani waliozaliwa na maskini na pia fikra finyu ya kuhalalisha nature is determinant of power!!upopompo mkubwa.
   
 16. BONGOLALA

  BONGOLALA JF-Expert Member

  #16
  Apr 30, 2012
  Joined: Sep 14, 2009
  Messages: 13,785
  Likes Received: 2,395
  Trophy Points: 280
  hivi ni bado ni DC wa nachingwea?
   
 17. Ronal Reagan

  Ronal Reagan JF-Expert Member

  #17
  Apr 30, 2012
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 4,744
  Likes Received: 1,455
  Trophy Points: 280
  Huo ni ushauri wa bure kwa manufaa yake kama binadamu. Jibu chafu la kebehi, dharau na utusi ndani yake.
   
 18. I

  Ibulyu Mbiti Member

  #18
  Apr 30, 2012
  Joined: Apr 1, 2012
  Messages: 21
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Jamaa ni vuvuzela. Lokipulizwa tu kama kawa halina mipaka wala kupambanua misingi ya hoja.
  Nimeshangaa aliposema kuwa hoja ya ubadhirifu ni ya CCM. Wakati watu wote wanajua kuwa ni ya Bunge (Bila ya kujali imetolewa na mbunge wa chama gani). Pia eti wao wapo 78% wangetaka wangeimaliza.

  Swali kama ni ya CCM kwa nini msiijadili kabla ya bunge na kutoa hayo maamuzi ?
   
 19. I

  Ibulyu Mbiti Member

  #19
  Apr 30, 2012
  Joined: Apr 1, 2012
  Messages: 21
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Huyo ni Vuvuzela likipulizwa tu linatoa sauti.
   
 20. Pota

  Pota JF-Expert Member

  #20
  Apr 30, 2012
  Joined: Apr 8, 2011
  Messages: 1,813
  Likes Received: 91
  Trophy Points: 145
  nitarudi punde
   
Loading...