Mbowe: Muungano lazima ujadiliwe | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mbowe: Muungano lazima ujadiliwe

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by EasyFit, Apr 30, 2012.

 1. EasyFit

  EasyFit JF-Expert Member

  #1
  Apr 30, 2012
  Joined: Jul 4, 2011
  Messages: 1,244
  Likes Received: 105
  Trophy Points: 160
  Akifungua kikao cha Baraza Kuu la Chama cha Demokrasia na Maendeleo Chadema jijini Dar es Salaam jana, Mwenyekiti wa chama hicho, Freeman Mbowe amesema wananchi watajadili Katiba kadiri wanavyotaka na siyo kama anavyotaka Rais Jakaya Kikwete na kwamba hata suala la Muungano litajadiliwa kwa vile ni haki yao.

  Source: Tanzania Daima.
   
 2. mtotowamjini

  mtotowamjini JF-Expert Member

  #2
  Apr 30, 2012
  Joined: Apr 23, 2012
  Messages: 4,540
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 0
  nini cha kujadili kwenye muungano??
   
 3. EasyFit

  EasyFit JF-Expert Member

  #3
  Apr 30, 2012
  Joined: Jul 4, 2011
  Messages: 1,244
  Likes Received: 105
  Trophy Points: 160
  Wewe huoni tatizo?
   
 4. james chapacha

  james chapacha JF-Expert Member

  #4
  Apr 30, 2012
  Joined: Apr 3, 2012
  Messages: 942
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 35
  Ivi ssi watanganyika tunapata nni ndani ya huu muungano?
   
 5. BAK

  BAK JF-Expert Member

  #5
  Apr 30, 2012
  Joined: Feb 11, 2007
  Messages: 70,691
  Likes Received: 82,602
  Trophy Points: 280
  ...Kila kitu kilichokuwemo ndani ya katiba ya sasa na vile ambavyo havimo lakini vinahusu nchi zote mbili lazima vijadiliwe. Kama Watanganyika tutaamua kuwepo kwa Serikali tatu ya Tanganyika, Zenj na Muungano basi iwe hivyo ila kwa maoni yangu kutakuwa na gharama kubwa sana za uendeshaji. Serikali moja tu inatosha ila Wazenj hatakubali Serikali yao imezwe ndani ya Serikali moja ya Tanzania.
   
 6. Kobello

  Kobello JF-Expert Member

  #6
  Apr 30, 2012
  Joined: Feb 20, 2011
  Messages: 5,689
  Likes Received: 656
  Trophy Points: 280
  Kwanini hakusema hilo bungeni?
   
 7. Chimunguru

  Chimunguru JF-Expert Member

  #7
  Apr 30, 2012
  Joined: May 3, 2009
  Messages: 9,843
  Likes Received: 270
  Trophy Points: 180
  Kila kitu kiwekwe wazi hata hiyo hati ya Muungano iwekwe wazi tuisome tuelewe nini kilikubaliwa wakati huo, sababu huo muungano ni wa nchi mbili zenye wananchi, au km vipi basi uwe muungano wa CCM na Zenji basi, si wanaficha hati ya muungano!
   
 8. P

  Precise Pangolin JF-Expert Member

  #8
  Apr 30, 2012
  Joined: Jan 4, 2012
  Messages: 12,197
  Likes Received: 1,978
  Trophy Points: 280
  Kwani hata akisema bungeni nyinyi magamba mnakataa bora aseme kwa wananchi
   
 9. F

  Falconer JF-Expert Member

  #9
  Apr 30, 2012
  Joined: Oct 14, 2008
  Messages: 658
  Likes Received: 134
  Trophy Points: 60
  Mheshimiwa nampa mkono wa hongera 100%. Mambo hayo lazima yajadiliwe na wanachi maana matatizo makubwa yamo kwenye suala tete la muungano. Mh. Mbowe kura yangu nimekupa tayari.
   
 10. Havizya

  Havizya JF-Expert Member

  #10
  Apr 30, 2012
  Joined: Apr 3, 2012
  Messages: 1,573
  Likes Received: 169
  Trophy Points: 160
  Where is our Tanganyika? Tanganyika lazima ionekane na kutamkwa wazi.
   
 11. Nyakageni

  Nyakageni JF-Expert Member

  #11
  Apr 30, 2012
  Joined: Feb 1, 2011
  Messages: 13,953
  Likes Received: 1,279
  Trophy Points: 280
  ndo tujadili. Tuache? Tuvunje? Kazi ni kwetu
   
 12. Nyakageni

  Nyakageni JF-Expert Member

  #12
  Apr 30, 2012
  Joined: Feb 1, 2011
  Messages: 13,953
  Likes Received: 1,279
  Trophy Points: 280
  bungeni kuna agenda mkuu. Dr. Slaa alilisemea kila alikoenda.
   
 13. Nyakageni

  Nyakageni JF-Expert Member

  #13
  Apr 30, 2012
  Joined: Feb 1, 2011
  Messages: 13,953
  Likes Received: 1,279
  Trophy Points: 280
  ukweli ni kwamba, wenye faida na Muungano ni magamba.
   
 14. kookolikoo

  kookolikoo JF-Expert Member

  #14
  Apr 30, 2012
  Joined: Mar 9, 2012
  Messages: 2,537
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  kupata aina ya muungano itakayopendwa na wote haitawezekana.
   
 15. Nyakageni

  Nyakageni JF-Expert Member

  #15
  Apr 30, 2012
  Joined: Feb 1, 2011
  Messages: 13,953
  Likes Received: 1,279
  Trophy Points: 280
  wabunge 70+ na kusaidiwa uongozi wa wizara. Hatuwezi
   
 16. Kibanga Ampiga Mkoloni

  Kibanga Ampiga Mkoloni JF-Expert Member

  #16
  Apr 30, 2012
  Joined: Aug 9, 2007
  Messages: 14,576
  Likes Received: 1,662
  Trophy Points: 280
  hapo sasa ndio unajadili na hairuhusiwi.
   
 17. m

  mzaire JF-Expert Member

  #17
  Apr 30, 2012
  Joined: Apr 10, 2012
  Messages: 200
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Basi na uvunjwe haunahaja! Magamba hawana pa kutokea mwaka huu maana hata huko Zenji wamebanwa na UAMSHO hawafurukuti.
   
 18. m

  mzaire JF-Expert Member

  #18
  Apr 30, 2012
  Joined: Apr 10, 2012
  Messages: 200
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kamanda Mbowe haitoshi kusema tu tunataka kwa vitendo sasa kwa kuitishwa kura ya maoni hatuoni haja ya huu muungano wa magamba.

  Kuna fungu kubwa la pesa linaibiwa na mafisadi kwa kisingizio kuwa ni la Zanzibar lakini ukweli ni kwamba huko Zenji haliwafikii linaishia kwa mafisadi wa magamba, kamanda lifanyie uchunguzi hili!!
   
 19. P

  Precise Pangolin JF-Expert Member

  #19
  Apr 30, 2012
  Joined: Jan 4, 2012
  Messages: 12,197
  Likes Received: 1,978
  Trophy Points: 280
  Tuuvunje hauna maana ikiwezekana hata Leo hauitajiki kabisa
   
 20. Mungi

  Mungi JF Gold Member

  #20
  Apr 30, 2012
  Joined: Sep 23, 2010
  Messages: 16,986
  Likes Received: 443
  Trophy Points: 180
  Wazanzibari hasa wapemba wanaufaidi muungano kuliko Watanganyika.
  Wazanzibari hao hao wanataka kuuvunja muungano kwa sababu ya mafuta.
  Muungano wenyewe umekaa kimtindo mtindo. Zanzibar wana Bendera yao Tanganyika hawana, Zanzibar wana serikali yao Tanganyika hawana, Zanzibar wana katiba yao Tanganyika hawana.
  Muungano wa kisanii
   
Loading...