Vijana wa Vyuo vikuu wanaCCM waandamana kuunga mkono JK kuvunja baraza la mawaziri! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Vijana wa Vyuo vikuu wanaCCM waandamana kuunga mkono JK kuvunja baraza la mawaziri!

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by ndukushi, Apr 29, 2012.

 1. n

  ndukushi Member

  #1
  Apr 29, 2012
  Joined: Apr 2, 2012
  Messages: 7
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Leo mchana nape amepokea maandamano ya wale wanaojiita Wana cccm wa vyuo vikuu,lengo Lao ni kupongeza Kamati kuu.(source Chanel ten)
  Haiwezekani na ni vigumu kuamini kwamba bado kuna wasomi vyuoni ambao wanaweza kupoteza muda wao kwa ajili ya kuunga mkono ubadhirifu unaofanywa na mawaziri wa jk,
   
 2. EasyFit

  EasyFit JF-Expert Member

  #2
  Apr 29, 2012
  Joined: Jul 4, 2011
  Messages: 1,228
  Likes Received: 87
  Trophy Points: 145
  Siasa vyuoni? chuo gani hicho isije kuwa ni hivi vya kata.
   
 3. Mtoboasiri

  Mtoboasiri JF-Expert Member

  #3
  Apr 29, 2012
  Joined: Aug 6, 2009
  Messages: 5,107
  Likes Received: 65
  Trophy Points: 0
  Hao "wasomi" ni aina ya watu wanaosombwa na malori.
   
 4. Chimunguru

  Chimunguru JF-Expert Member

  #4
  Apr 29, 2012
  Joined: May 3, 2009
  Messages: 9,826
  Likes Received: 216
  Trophy Points: 160
  Nape kafilisika kisiasa, kaandaa vimaandamano uchwara ili apate kuwachokonoa mafisadi na mawaziri wezi wa chama chake!
   
 5. S

  Sikwepeshi Senior Member

  #5
  Apr 29, 2012
  Joined: Jan 26, 2012
  Messages: 162
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Siasa vyuo vikuu nowdayz zipo,tena hususani za ccm,ukionekana unaipenda cdm unawekewa zengwe hadi unafukuzwa chuo,aya mambo yapo ni aibu kwa mwanachuo kuishabikia ccm.
   
 6. Remote

  Remote JF-Expert Member

  #6
  Apr 29, 2012
  Joined: May 20, 2011
  Messages: 14,524
  Likes Received: 1,231
  Trophy Points: 280
  Mwambieni asitie mguu huku saut mwanza
   
 7. m

  mwoga Member

  #7
  Apr 29, 2012
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 13
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Maandamano ya aina hii yatajitokeza sana hasa wakati huu jahazi la CCM linavyozidi kupoteza mwelekeo kwasababu nahodha wao anatumia mapokeo badala ya GPS. Wenye uwezo wa kutumia akili wanajua fika chama hakiwezi kurudisha haiba kwa agenda za kuiga. Mmewatupa viongozi wenye sifa kwa mitandao inayoligharimu taifa. Tatizo mnalijua ni mwenyekiti lakini wenye moyo wa Deo Filikunjombe ni haba na mnataka kuwamaliza.
   
 8. WAHEED SUDAY

  WAHEED SUDAY JF-Expert Member

  #8
  Apr 29, 2012
  Joined: Jun 24, 2011
  Messages: 6,751
  Likes Received: 955
  Trophy Points: 280
  Nasikia kuwa maandamano si sera ya chama, sasa hii ilikuwaje?
   
 9. k

  kundaseni meena Member

  #9
  Apr 29, 2012
  Joined: Apr 22, 2012
  Messages: 62
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  hao wanavyuo watakuwa ni watoto na ndugu wa magambaz, maana hakuna mtoto wa mkulima mwenye upendo na magamba! co mbaya wakifarijiana maana saa ya hukumu imefika hivyo wanahitaji kufarijiana wale wote watakaofikwa na huzuni.
   
 10. Viol

  Viol JF-Expert Member

  #10
  Apr 29, 2012
  Joined: Dec 15, 2009
  Messages: 18,640
  Likes Received: 542
  Trophy Points: 280
  hao wasomi inaonekana hawajielewi
   
 11. Mag3

  Mag3 JF-Expert Member

  #11
  Apr 29, 2012
  Joined: May 31, 2008
  Messages: 8,176
  Likes Received: 3,738
  Trophy Points: 280
  deadhorse.jpg

  Nape stop flogging the horse, it is dead!​
   
 12. Ndibalema

  Ndibalema JF-Expert Member

  #12
  Apr 29, 2012
  Joined: Apr 26, 2008
  Messages: 10,895
  Likes Received: 75
  Trophy Points: 145
  Madogo wamepewa shilingi elf5 na Tshet basi wame'respond.
   
 13. Mtego wa Noti

  Mtego wa Noti JF-Expert Member

  #13
  Apr 29, 2012
  Joined: Nov 27, 2010
  Messages: 2,168
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  Inatia aibu kwa kweli...
  kuna kama vijana kumi hivi wameandamana eti kuunga mkono jitihada za serikali za JK kupangua baraza la mawaziri na kupokelewa na Vuvuzela la ccm Nape
  Kwa harakaharaka ukiangalia ni kama kichekesho lakini vilevile ni aibu kwa vijana kuandamana kupongeza wajibu wa mtu! hawaoni kama huyo Jk ndiyo kikwazo kwa utendaji na ustawi wa nchi hii na ni aibu kwa yeye kuteua watu ambao mwisho wake wanakuwa waizi wa rasilimali za nchi hii!
  Shame on you vijana kama kmi mlioandamana!
   
 14. M

  Molemo JF-Expert Member

  #14
  Apr 29, 2012
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 13,252
  Likes Received: 345
  Trophy Points: 180
  Hao ni wapiga debe wamesombwa na malori na kupewa elfu 5
   
 15. a

  ashakum Member

  #15
  Apr 29, 2012
  Joined: Apr 25, 2012
  Messages: 24
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mbona Udom wamefukuza madent kwa kukutwa na skafu za chama cha wapiga kazi Chadema? Magamba INAKERA SANA. Wameshinikiza wakuu wa vyuo kusabotage Chadema vyuoni. Ila ni nguvu za giza tu, hawaiwezi tena Chadema.
   
 16. Ciphertext

  Ciphertext Senior Member

  #16
  Apr 29, 2012
  Joined: Apr 21, 2012
  Messages: 161
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Njaa bana, bumu likikauka mnachezea mabomu ila bado hamuoni. Lakini si makosa yenu kwani funzo la mjinga ni tabu.
   
 17. M

  MZALAMO JF-Expert Member

  #17
  Apr 29, 2012
  Joined: Jul 6, 2009
  Messages: 419
  Likes Received: 132
  Trophy Points: 60
  Hawa vijana uelewa wao una hitilafu Wanazidiwa uelewa na watoto wa primary!!
   
 18. s

  sigienet Member

  #18
  Apr 29, 2012
  Joined: Feb 25, 2011
  Messages: 57
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Vitakuwa vyuo vikuu makanjanja!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
   
 19. a

  ashakum Member

  #19
  Apr 29, 2012
  Joined: Apr 25, 2012
  Messages: 24
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Sio UDOM bwana. Cha kata si UDOM?
   
 20. Shine

  Shine JF-Expert Member

  #20
  Apr 29, 2012
  Joined: Feb 5, 2011
  Messages: 11,514
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  Cdm wameandamana wamepata wafuasi wengi na wao lazima wajaribu si unajua nowdays ccm wanapelekwa kwa matakwa ya cdm
   
Loading...