Mauaji ya Arusha Kikwete hataki wahusika wakamatwe? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mauaji ya Arusha Kikwete hataki wahusika wakamatwe?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Mvaa Tai, Apr 30, 2012.

 1. Mvaa Tai

  Mvaa Tai JF-Expert Member

  #1
  Apr 30, 2012
  Joined: Aug 11, 2009
  Messages: 6,174
  Likes Received: 2,175
  Trophy Points: 280
  Nakumbuka mauaji ya mwenyekiti wa halmashauri na chama cha mapinduzi katika wilaya ya
  Rungwe mkoani Mbeya Marehemu John Mwankenja, Kikwete aliagiza wahusika wakamatwe haraka na haikuchukua mda watu11 walikamatwa.

  Lakini MWENYEKITI wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Kata ya Usa-River, wilayani Arumeru mkoani Arusha, Msafiri Mbwambo (32) ameuawa kinyama kwa kuchinjwa, bado sijasikia rais akitoa maagizo yoyote kwa Polisi je ni kwamba hataki wahusika wakamatwe? ni juavyo mimi agizo alilotoa kwa mauaji ya Mbeya ni kwamba aliamini bila yeye kutoa agizo Polisi hawata fanya kazi yao na kama ni hivyo kwa kutokutoa agizo kwa mauaji ya Arusha ni kwamba hataki wahusika wakamatwe.


  Angalia hapa
  Home

  then hapa
  http://radiofreeafricatz.com/2011/06/01/watu-11-wakamatwa-kwa-tuhuma-za-mauaji-rungwe/
   
 2. zomba

  zomba JF-Expert Member

  #2
  Apr 30, 2012
  Joined: Nov 27, 2007
  Messages: 17,081
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 0
  Kwanini Mwenyekiti wa chadema nae asiagize watuhumiwa wakamatwe haraka.
   
 3. DALLAI LAMA

  DALLAI LAMA JF-Expert Member

  #3
  Apr 30, 2012
  Joined: Jan 31, 2012
  Messages: 8,617
  Likes Received: 401
  Trophy Points: 180
  So polisi cku izi mpaka watangaziwe dau kama taifa starz ndo wafanye kazi?
   
 4. Sumba-Wanga

  Sumba-Wanga JF-Expert Member

  #4
  Apr 30, 2012
  Joined: Feb 2, 2011
  Messages: 5,387
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 135
  Mkuu, the way the cookie crumbles......
   
 5. M

  MIRIJA IKATWE Senior Member

  #5
  Apr 30, 2012
  Joined: Oct 21, 2011
  Messages: 136
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hataki wakamatwe najua ni kama kawa ida
   
 6. k

  kastarehe JF-Expert Member

  #6
  Apr 30, 2012
  Joined: Jan 20, 2012
  Messages: 231
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  kawatuma yeye wakamatwe ili iweje?!
   
 7. m

  miraji shahibu Member

  #7
  Apr 30, 2012
  Joined: Apr 27, 2012
  Messages: 7
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  ndio nchi yetu ilivyo kila kitu mpaka maagizo kwakua huyu ni mtoto wa kambo haoni haja ya kutoa maagizo.
   
 8. DOUGLAS SALLU

  DOUGLAS SALLU JF-Expert Member

  #8
  Apr 30, 2012
  Joined: Nov 13, 2009
  Messages: 11,659
  Likes Received: 4,755
  Trophy Points: 280
  Mkuu usitegemee hilo litokee,sana sana tegemea wauaji kupongezwa kama Mkapa alivvyowapongeza kwa kuwapandisha vyeo polisi waliochinja na kubaka wapemba mwaka 2001.
   
 9. vipik2

  vipik2 JF-Expert Member

  #9
  Apr 30, 2012
  Joined: Nov 24, 2011
  Messages: 1,175
  Likes Received: 37
  Trophy Points: 145
  Ni kawaida yake, alishawagomea wanafunzi vijijini kukalia madawati mpaka siku atakapotoka magogoni
   
Loading...