Hotuba ya Kikwete mwisho wa mwezi huu april 2012 | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hotuba ya Kikwete mwisho wa mwezi huu april 2012

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Welu, Apr 30, 2012.

 1. W

  Welu JF-Expert Member

  #1
  Apr 30, 2012
  Joined: Jul 5, 2011
  Messages: 815
  Likes Received: 101
  Trophy Points: 60
  Hotuba ya rais mwisho wa mwezi hivi ilifia wapi? Je hana cha kusema kwa watanzania? Pamoja na kusuka baraza la mawaziri tungependa kusikia yeye kama rais anasemaje juu ya ripoti ya CAG. Au waanda hotuba wamehama chama.!
   
 2. B

  Bajabiri JF-Expert Member

  #2
  Apr 30, 2012
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 9,755
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  Kuhusu ripot ya CAG tangu alipoipokea akasemaje?akasema ipelekwe BUNGENI, bungeni imekwenda,what next wabunge wameijadil,baada ya kuijadil wakatoa mapendekezo,baada ya mapenfkezo akasema ni UPEPO,lakini sasa c upepo tena,kwahyo hata asipozungumza SHINAGA MWENE
   
 3. kookolikoo

  kookolikoo JF-Expert Member

  #3
  Apr 30, 2012
  Joined: Mar 9, 2012
  Messages: 2,537
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  ataongea kesho mei mosi

   
 4. KOMBAJR

  KOMBAJR JF-Expert Member

  #4
  Apr 30, 2012
  Joined: Nov 15, 2011
  Messages: 5,848
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  Nibora isiwepo tunajua moja kuliko kuwepo na anatuletea story summary ya vitu ambavyo tunavijua na hakuna utekelezaji!
  We are tide with good stories ambazo hazina mashiko wa tija kwa taifa.utasikia ooh tulikutana na cc tukaonelea kuna haja ya kurekebisha baraza la mawaziri....hahahahhhhaah(Kicheko)
   
 5. TzPride

  TzPride JF-Expert Member

  #5
  Apr 30, 2012
  Joined: Nov 2, 2006
  Messages: 2,423
  Likes Received: 395
  Trophy Points: 180
  Kwa si leo jioni au? mbona haraka wadau...au ndo imevuja kutoka magogoni kwamba ameamua kuchikichia?
   
 6. Ikwanja

  Ikwanja JF-Expert Member

  #6
  Apr 30, 2012
  Joined: Jul 12, 2011
  Messages: 1,988
  Likes Received: 282
  Trophy Points: 180
  Ina maana mgaya amemwalika kwenye mei mosi? hawezi kuhutubia mwisho wa mwezi kwani ameishiwa, labda laikuwa nasaidiwa na mgonjwa lowasa
   
 7. M

  Mercyless JF-Expert Member

  #7
  Apr 30, 2012
  Joined: Apr 2, 2012
  Messages: 652
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  Ina maana hamuelewi kuwa Vasco Da Gama yupo bize na safari?
   
 8. Manumbu

  Manumbu JF-Expert Member

  #8
  Apr 30, 2012
  Joined: Oct 28, 2009
  Messages: 1,751
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 135
  kwa hali ilivyo ni heri asiongee chochote kuliko kubwabwaja na kuzidisha hasira za wenye nchi!
   
Loading...