Baraza jipya la mawaziri ndio suluhisho la mawaziri wezi? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Baraza jipya la mawaziri ndio suluhisho la mawaziri wezi?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by tubadilike-sasa, Apr 30, 2012.

 1. t

  tubadilike-sasa JF-Expert Member

  #1
  Apr 30, 2012
  Joined: Jan 31, 2012
  Messages: 677
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 33
  Je kuwa na Baraza jipya la mawaziri ndio suluhisho la watakaochaguliwa kutokuwa wezi?Au ndio tunaahirisha tatizo? Maana isijekuwa 2013 mambo haya yanadirudia.
  Kwa mawazo yangu nadhani mzizi wa tatizo ukatwe. Kama mawaziri wanawajibika kwa Rais na Rais anashindwa kuwafukuza basi na Rais naye ajiuzulu kupisha uchaguzi mkuu mwingine
   
Loading...