Siri ya kuvunja baraza la mawaziri yafichuka kumbe JK ndo alikuwa ang'olewe | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Siri ya kuvunja baraza la mawaziri yafichuka kumbe JK ndo alikuwa ang'olewe

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by dosama, Apr 29, 2012.

 1. dosama

  dosama JF-Expert Member

  #1
  Apr 29, 2012
  Joined: Dec 25, 2010
  Messages: 786
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 35
  Source Nipashe

  Upepo wa kisiasa ulikuwa mbaya sio kwa Pinda bali kwa Kj kumbe wabunge wa CCM walikuwa na lengo la kumng'oa rais Kikwete na wala sio waziri mkuu Pinda.

  Hii inatokana na Jk kuwakumbatia mawaziri wake wabovu na kinasababisha chama kufa.
  Na hoja hiyo kuwasilishwa na Zitto ndo ikawana mashiko zaidi.

  Kikubwa kauli kuwa upepo unapita uliwachukiza wabunge kupiga kura kutokuwa na imani na pinda ikuwa ni gia ya kuweka mazingira ya kumwajibisha jk na kimbunga hicho kingehamia kwake kwa kukosa sifa ya kuwa rais

  My take
  Ndo maana kwenye sherehe Za muungano alikuwa mwenye mawazo kweli coz alijua anaangushwa asipo vunja baraza
   
 2. Ritz

  Ritz JF-Expert Member

  #2
  Apr 29, 2012
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 42,252
  Likes Received: 4,671
  Trophy Points: 280
  Mkuu nimejaribu kusoma hii thread yako zaidi ya mara kumi lakini nimetoka kapa sijaona hiyo siri.
   
 3. M

  Mkekuu JF-Expert Member

  #3
  Apr 29, 2012
  Joined: Apr 7, 2012
  Messages: 1,239
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Viongozi madikteta km kikwete dawa yao kuwaangusha,maana tayari wamelaaniwa.
   
 4. Gwalihenzi

  Gwalihenzi JF-Expert Member

  #4
  Apr 29, 2012
  Joined: Oct 21, 2011
  Messages: 5,117
  Likes Received: 51
  Trophy Points: 145
  Ili habari iwe siri nini kinahitajika?
   
 5. S

  Sultani kambe Member

  #5
  Apr 29, 2012
  Joined: Apr 26, 2012
  Messages: 63
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  NO Haitowezekana hata siku moja jk kuendeshwa na wabunge, ccm numberi one
   
 6. Ritz

  Ritz JF-Expert Member

  #6
  Apr 29, 2012
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 42,252
  Likes Received: 4,671
  Trophy Points: 280
  Hivi unawajua viongozi madikteta wewe au unaropoka tu kwa sababu umepata nafasi ya kuandika JF..ebu tufahamishe udikteta wa Kikwete ni upi?
   
 7. kookolikoo

  kookolikoo JF-Expert Member

  #7
  Apr 29, 2012
  Joined: Mar 9, 2012
  Messages: 2,537
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  kitu ambacho hakifahamiki kwa watu wengi kama si wote.
   
 8. Mzito Kabwela

  Mzito Kabwela JF-Expert Member

  #8
  Apr 29, 2012
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 17,519
  Likes Received: 1,688
  Trophy Points: 280
  Siri ya kumng'oa Pinda yajulikana. lengo ilikuwa kuliondoa LIKWERE. Hapo vp? Umeelewa sasa?
   
 9. democratic

  democratic JF-Expert Member

  #9
  Apr 29, 2012
  Joined: Nov 21, 2011
  Messages: 1,644
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  ni kweli,hata ukirudia mara mia moja,kwa ukilaza wa kimagamba ulionao huwezi kuiona hiyo siri
   
 10. Ngalikihinja

  Ngalikihinja JF-Expert Member

  #10
  Apr 29, 2012
  Joined: Sep 1, 2009
  Messages: 16,395
  Likes Received: 3,720
  Trophy Points: 280
  JK anaendeshwa, unadhani kwa nini angoje kupewa baraka na CCM badala ya kutumia katiba ya nchi?
   
 11. S

  Sultani kambe Member

  #11
  Apr 29, 2012
  Joined: Apr 26, 2012
  Messages: 63
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  unaota kwanza mchana, unataka kuishi like us uondokane na umaskini just move from that chama, and u will enjoy like this u see on dah image
   

  Attached Files:

 12. Mungi

  Mungi JF Gold Member

  #12
  Apr 29, 2012
  Joined: Sep 23, 2010
  Messages: 16,985
  Likes Received: 441
  Trophy Points: 180
  Hata mshirika mwenzako Rejao atatoka kapa. Wenye upeo tumeshaelewa kitambo, na huo ndio ukweli. Chezea Deo wewe!
   
 13. P

  Precise Pangolin JF-Expert Member

  #13
  Apr 29, 2012
  Joined: Jan 4, 2012
  Messages: 12,196
  Likes Received: 1,977
  Trophy Points: 280
  Nenda kwenye thread unazozielewa kwani lazima uchangie hapa mbona nyinyi magamba huwa mna weweseka?
   
 14. democratic

  democratic JF-Expert Member

  #14
  Apr 29, 2012
  Joined: Nov 21, 2011
  Messages: 1,644
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  huu ni upepo tu utapita,serikali yangu haiendeshwi na wabunge wa ccm,raia wanakufa kwa mgomo wa madaktari yeye anaenda uswisi,tunataka spika mwanamke awamu hii,sijui kwa nini nchi yangu ni maskini,lowassa kutaka kuvunja mkataba tata wa richmond yeye akamzuia,mimi sio mawingu kwamba naweza kwenda mtera nikanyesha mabwawa yakajaa tukapata umeme...............................................................................................
   
 15. s

  santesandy JF-Expert Member

  #15
  Apr 29, 2012
  Joined: Apr 23, 2012
  Messages: 228
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  hata wewe ritz una mawazo ya kidikteta, kama kikwete! Wabunge wa ccm wanaona uozo wa serikali ya JK, lakini wewe huoni. JK anaujua umakini wa Chadema, na mkakati wake ni kubaka hoja za Chadema, na kuzifanya za ccm bado huoni tu!
   
 16. Ritz

  Ritz JF-Expert Member

  #16
  Apr 29, 2012
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 42,252
  Likes Received: 4,671
  Trophy Points: 280
  Mkuu ebu tafuta chai unywe uende Church Jumapili leo.
   
 17. jingalao

  jingalao JF-Expert Member

  #17
  Apr 29, 2012
  Joined: Oct 12, 2011
  Messages: 19,247
  Likes Received: 10,430
  Trophy Points: 280
  wabunge washinikizaji ni 76 tu tusidanganyane mchana.


  KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA
   
 18. idawa

  idawa JF-Expert Member

  #18
  Apr 29, 2012
  Joined: Jan 20, 2012
  Messages: 18,520
  Likes Received: 10,438
  Trophy Points: 280
  ccm ya kumpigia kura rais ya kutokua na imani naye bado kutokea na kwa katiba hii ambayo bunge linaishi kwa huruma rais.!
   
 19. Ritz

  Ritz JF-Expert Member

  #19
  Apr 29, 2012
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 42,252
  Likes Received: 4,671
  Trophy Points: 280
  Mie mbona naenda kwenye thread zote tu wewe nitafute utanipata au takuwa naku-tag
   
 20. k

  kula kwa tindo JF-Expert Member

  #20
  Apr 29, 2012
  Joined: Nov 14, 2011
  Messages: 1,330
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  Hata ungeambiwa Mkeo( CCM) ni CHONGO huwezi amini kutokana na mapenzi makubwa uliyonayo kwake ,utasema mkeo(GAMBA ) ana KENGEZA TU....
   
Loading...