CHADEMA yafunika Babati | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

CHADEMA yafunika Babati

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by muislamsafi, Apr 25, 2012.

 1. m

  muislamsafi Member

  #1
  Apr 25, 2012
  Joined: Jan 25, 2012
  Messages: 78
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Lisu anawasili na umati unatisha
   
 2. Bukanga

  Bukanga JF-Expert Member

  #2
  Apr 25, 2012
  Joined: Dec 13, 2010
  Messages: 2,863
  Likes Received: 714
  Trophy Points: 280
  Picha, Picha picha...

  Na Live updates please!!
   
 3. MNYISANZU

  MNYISANZU JF-Expert Member

  #3
  Apr 25, 2012
  Joined: Oct 21, 2011
  Messages: 7,056
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 145
  Lete kitu kamili mkuu, Chadema ndio mkombozi wa watanzania.
   
 4. Q

  Qedalong Member

  #4
  Apr 25, 2012
  Joined: Mar 16, 2012
  Messages: 30
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Picha hizo hapa
   

  Attached Files:

 5. M

  MIRIJA IKATWE Senior Member

  #5
  Apr 25, 2012
  Joined: Oct 21, 2011
  Messages: 136
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Happo kwa magamba kazi ipo huwezi kuwasikia hata kidogo
   
 6. POMPO

  POMPO JF-Expert Member

  #6
  Apr 25, 2012
  Joined: Mar 12, 2011
  Messages: 6,694
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 135
  safi sana chadema kwa M4C... hakuna kulala
   
 7. Fredrick Sanga

  Fredrick Sanga JF-Expert Member

  #7
  Apr 25, 2012
  Joined: Jan 27, 2011
  Messages: 3,148
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 135
  Mwaka huu mpaka uishe, tutaona mengi. Ni mwaka wa ajabu sana kwa Tanzania. Hii M4C duhh. Nanii akapime cholesterol mapema.
   
 8. M

  Molemo JF-Expert Member

  #8
  Apr 25, 2012
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 13,287
  Likes Received: 580
  Trophy Points: 280
  Asante kwa picha mkuu
   
 9. K

  KIGOMA KWETU Member

  #9
  Apr 25, 2012
  Joined: Apr 23, 2012
  Messages: 97
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0

  ndugu yangu achana na ushabiki wa vyama,hapa tanzanzania hakuna mwenye nafuu,hao wabunge wetu tunaowaamini wa cdm walipokea rushwa kupiga kula za wabuge wa africa mashariki,wakishaingia bungeni wanatuzuga sisi wananchi, huyo lisu,zito,machali,na mbunge mmoja wa mwanza walipokea rushwa na mimi nikiwepo na hawakuoji, kilichobaki hii inchi lipewe jeshi ili tueshimiane mtaani sio bra bra za vyama
   
 10. C

  Charles piere Senior Member

  #10
  Apr 25, 2012
  Joined: Mar 29, 2012
  Messages: 143
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Dah ni kweli hata mi niko hapa uwanjani hapatoshi.
   
 11. Losambo

  Losambo JF-Expert Member

  #11
  Apr 25, 2012
  Joined: Nov 8, 2011
  Messages: 2,623
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Wabunge wa magamba ndiyo pekew wanaoweza kuchukua rushwa isipokuwa wanaharakati wachache sana.

  Wabunge wa CDM wanajichukulia kama kioo hivyo hawawezi kununuliwa kwa milion moja au laki tano.

  Achana na propaganda za kimagamba hapa wewe Kigoma Kwetu.
   
 12. Zogwale

  Zogwale JF-Expert Member

  #12
  Apr 25, 2012
  Joined: Jul 10, 2008
  Messages: 11,613
  Likes Received: 825
  Trophy Points: 280
  Acha porojo.CDM hawakutoa waka kupokea rushwa ya mbunge yeyote. Walishajua kuna mbinu ya kuwaangusha maana SSM wanawaogopa na hawakutaka kuwachagua. CDM tishio ati. Toa evidence ya mbuge wa CDM aliyepokea rushwa usiropoke tu. Hapa issue ni moto unawashwa huko BABATI!!! Sogeeni Hanang, Mbulu malizeni kabisa huko. Piga msumari kwa nyundo, hakuna huruma.
   
 13. Graph Theory

  Graph Theory JF-Expert Member

  #13
  Apr 25, 2012
  Joined: Jul 2, 2011
  Messages: 3,809
  Likes Received: 1,125
  Trophy Points: 280
  Hahahahahahah!!!!!!!!. Umesahau kuwa bado kuna chama kimoja tu hapa Tanzania ambacho kimekuwa na kitaendelea kumpigania mtanzania ili aondokane na wimbi la umaskini. CCM pekee ndio inatakiwa kuaminiwa na watanzania. Achaneni na tuvyama ambato hatuna kichwa wala miguu, vivyama venyewe havina hata ofisi, hivyo mkijichanganya tu mkavipa kura hesabuni maumivu.
  .
  "WASIOSOMA NI CHAKULA CHA WASOMI".
   
 14. MNYISANZU

  MNYISANZU JF-Expert Member

  #14
  Apr 25, 2012
  Joined: Oct 21, 2011
  Messages: 7,056
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 145
  Hakika magamba soon watakufa kifo cha mende. Wapi Ritz, Rejao...
   
 15. Graph Theory

  Graph Theory JF-Expert Member

  #15
  Apr 25, 2012
  Joined: Jul 2, 2011
  Messages: 3,809
  Likes Received: 1,125
  Trophy Points: 280
  Maneno ya kujifariji hayo, CCM yadumu milele. Chadema ndiyo itakufa muda si mrefu.
  .
  "WASIOSOMA NI CHAKULA CHA WASOMI".
   
 16. Fredrick Sanga

  Fredrick Sanga JF-Expert Member

  #16
  Apr 25, 2012
  Joined: Jan 27, 2011
  Messages: 3,148
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 135
  Labda hawajapewa ubwabwa na kofia, wamegoma.
   
 17. dubu

  dubu JF-Expert Member

  #17
  Apr 25, 2012
  Joined: Oct 18, 2011
  Messages: 3,072
  Likes Received: 430
  Trophy Points: 180
  umeenda kujaza uwanja au umeenda utupe updates?
   
 18. Allien

  Allien JF-Expert Member

  #18
  Apr 25, 2012
  Joined: Jul 6, 2008
  Messages: 5,548
  Likes Received: 30
  Trophy Points: 145
  [​IMG]
   
 19. m

  massai JF-Expert Member

  #19
  Apr 25, 2012
  Joined: May 2, 2011
  Messages: 655
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  wewe mgeni chadema,sera yetu ni ukipewa kula alakini kura yako peleka kwa mahali stahiki na huyo aliekupa usimpe kabisa.akikuvika vaa,alakini kura yako rohoni mwako.hotuba ya mwalimu enzi zake alisema anaekimbilia ikulu ni wakumuogopa zaidi ya ukoma,ikulu alikua anaongelea uongozi,uongozi hauko ikulu tu,akili kumkichwa ndugu..hivi wewe kwa akili yako mtu kama zito ni wakuhongwa kweli na mbunge!!?c'mon guy dnt be cheap like dat.
   
 20. m

  mzee wa kupaa Member

  #20
  Apr 25, 2012
  Joined: Apr 5, 2012
  Messages: 7
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 3
  magamba siku zao zinafikia mwisho, sera ambazo hazitekelezeki
   
Loading...