NEWS ALERT: Nape anahojiwa LIVE Channel Ten | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

NEWS ALERT: Nape anahojiwa LIVE Channel Ten

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by kookolikoo, Apr 30, 2012.

 1. kookolikoo

  kookolikoo JF-Expert Member

  #1
  Apr 30, 2012
  Joined: Mar 9, 2012
  Messages: 2,537
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  Ni kuhusu maamuzi ya CCM kutaka mabadiliko.
   
 2. U

  Uswe JF-Expert Member

  #2
  Apr 30, 2012
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 2,201
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  NAPE: anasema tatizo si kubadilisha mawaziri, hata kama rais atamuweka nani kama mfumo utabaki hivi basi haya madudu yatajirudia, ndio maana tunataka CAG asiishie kutoa ripoti, tunataka CAG afike mbali ashauri mfumo. . . . . .

  MY TAKE:
  unless sielewi nape anaongea nini, pamoja na kwamba nakubali kwamba mfumo mzima wa serikali yetu ni kichefuchefu kitupu, lakini unapoongelea mfumo wa utendaji kazi katika serikali CAG sio mtu sahihi wa kushauri hayo mambo, mfumo wa namna serikali inafanya kazi sio eneo la utaalamu wa CAG. Nape hajui kwamba ukaguzi wa mahesabu na mfumo wa ufanyaji kazi serikalini ni vitu viwili tofauti kabisa?
   
 3. m

  motema yapembe Member

  #3
  Apr 30, 2012
  Joined: Apr 1, 2012
  Messages: 22
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 3
  mimi nimefurahia jinsi watu wanavyo piga simu kuchangia bila woga wote wanataka serkali yote ing'oke! na ktk cm zote 10 za mwanzo hakuna hata mmoja anae onekana kusaport ccm, duh watu wamebadilika.!
   
 4. GEMBESON

  GEMBESON JF-Expert Member

  #4
  Apr 30, 2012
  Joined: Apr 15, 2012
  Messages: 256
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 35
  Jomba Uswe; Mshauri wa Rais si anaitwa Steve Wasira!. Muda wote huyu bonge nyanya analala tu, ameshajichokea. Kwa hiyo kwa mawazo yenye mtindio wa brain huyu Nape anaona bora CAG ndio awe mshuri wao!. Magamba kazi wanayo.
   
 5. Kimbunga

  Kimbunga Platinum Member

  #5
  Apr 30, 2012
  Joined: Oct 4, 2007
  Messages: 13,012
  Likes Received: 1,817
  Trophy Points: 280
  Mkuu nadhani mfumo anaousema Nape ni internal control systems ndani ya serikali. Ushauri wa kubadilisha mifumo ama kuweka mipya inaweza kufanywa na CAG hasa wakati huu ambapo IAG Office haijawa full fledged. Kwa hiyo mkuu ukaguzi wa hesabu unaenda na kupendekeza mfumo mzuri ili mianya ya wizi/ubadhirifu iliyogunduliwa izibwe.
   
 6. simplemind

  simplemind JF-Expert Member

  #6
  Apr 30, 2012
  Joined: Apr 10, 2009
  Messages: 11,813
  Likes Received: 2,586
  Trophy Points: 280
  Wape hiyo(soma baraza jipya la mawaziri) tuone sufuria za ugali zimeongezeka. Quote Daniel arap Moi baada ya kumchagua Saitoti kuwa makamu rais kufatilia shinikizo na kilio cha wananchi. Somo:Tatizo mfumo, tusitegeme mabadiliko, bussiness as usual.
   
 7. B

  Bajabiri JF-Expert Member

  #7
  Apr 30, 2012
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 9,755
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  Kila mtu ANALALAMIKA,hadi NAPE analalamika,kazi ipo
   
 8. O

  Ogah JF-Expert Member

  #8
  Apr 30, 2012
  Joined: Mar 10, 2006
  Messages: 6,229
  Likes Received: 71
  Trophy Points: 145
  Mitanzania bana sijui tukoje............kila mtu anasema mfumo mbovuuu....mfumo mbovuuu.......lakini hawa-qualify statement zao..........na wala hawa-suggest mfumo mbadala........Watanzania tunafanya vitu muhimu kwa Taifa kuwa ni siri ya wachache........hii attitude ni mbaya sana......ndiyo inayotuumiza siku mara nyingi...........
   
 9. Nyetk

  Nyetk JF-Expert Member

  #9
  Apr 30, 2012
  Joined: Feb 28, 2012
  Messages: 1,624
  Likes Received: 819
  Trophy Points: 280
  Ili kubalansi hoja Channel Ten kesho wahojiane na Lissu. Ni maoni tu.
   
 10. C

  Curriculum Specialist JF-Expert Member

  #10
  Apr 30, 2012
  Joined: Oct 8, 2007
  Messages: 2,736
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  CAG siyo msimamizi wa serikali! Nape na kamati kuu yake ya ccm wanapoka madaraka ya vyombo vya serikali na kuyafanya yao!
   
 11. Masanilo

  Masanilo JF-Expert Member

  #11
  Apr 30, 2012
  Joined: Oct 2, 2007
  Messages: 22,303
  Likes Received: 168
  Trophy Points: 160
  Amepiga porojo tu!
   
 12. KOMBAJR

  KOMBAJR JF-Expert Member

  #12
  Apr 30, 2012
  Joined: Nov 15, 2011
  Messages: 5,848
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  Hivi Haya Nape anayoyasema kuna mtu hayajui?na ninani anatakiwa kuyachukulia hatua kama siyo serikali yake?Nilitegemea maneno kama hayo yangezungumzwa na wapinzani ambao awana serikali.Nape hivi hivyo kikao vyenu huwa mnaongea mambo gani kama na wewe pamoja na kuwa na nafasi kubwa ya kushauri si ndani ya chama bali hata kwenye serikali unatumia Platform kama ambazo wanatumia wapinzania na watu baki kuiambia serikali.

  Mytake: Huu ni udhaifu mkubwa sana, Ndiyo maana Wananchi wanataka kuwapiga chini ili muweze kujirekebisha uwezi kutengeneza Gari ukiwa ndani lazima ushuke then uweze kutengeneza.
   
 13. c

  collezione JF-Expert Member

  #13
  Apr 30, 2012
  Joined: Oct 22, 2010
  Messages: 360
  Likes Received: 36
  Trophy Points: 45
  Nape should state. Mfumo unaohitajika kwa sasa hivi ni decentralisation of gvt. Madaraka yapungue kutoka serikali kuu na yapeleka kimajimbo. Kama ilivyo US, China, Canada, India.

  Tuachane na mfumo wa westMinisters. Waziri mmoja anashughulikia swala la Elimu, Tanzania nzima. Au waziri wa Nishati, ndo huyo anasimamia umeme nchi nzima. Yaani huyo waziri akileta ubabaishaji. Nchi nzima iko kwenye risk kutokana na uzembe wake.

  States gvt is a modern way of ruling a country. And it has proven success infact. Kuliko huu mfumo wetu wa wakuu wa wilaya na mikoa ambao ni weak. And 100% wako subjected to raisi na mawaziri ambao wako Dar-es-Salaam
   
 14. U

  Uswe JF-Expert Member

  #14
  Apr 30, 2012
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 2,201
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  CAG anaweza kusema chochote kuhusu mfumo wa fedha (financial system) lakini sio mtu sahihi kumuuliza kuhusu mifumo ya utendaji kazi (Government Systems)

  Sisi tunaibiwa kwa sababu local goverment system yetu na central government system yetu ni mbovu sasa kwa habari hizi CAG utakua unamuonea tu, Nape anapaswa kujua haya mambo au?
   
Loading...