Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Ni jambo lililonishangaza Kikwete kuitisha kikao cha Chama kwa ajili ya kujadili na kuomba ridhaa yao kufanya mabadiliko ya baraza la Mawaziri. Kwa hali ilivyo inaelekea hata yaliyotokea kwa akina...
7 Reactions
114 Replies
8K Views
SIAMINI, tena sitaki kusikia eti Rais Jakaya Kikwete amesikiliza kilio cha wabunge, vyama vya siasa, wananchi wa kawaida na wanaharakati kutaka mawaziri waliohusishwa na kashfa kwenye ripoti ya...
2 Reactions
22 Replies
3K Views
Tofauti kati ya Rais wetu JK na viongozi wengi wa CCM,serikali na taasisi nyingine za serikali na umma wanatofautiana kwa majina matendo yao ni sawa ndiyo maana Rais JK alikua na kigugumizi kutoa...
1 Reactions
5 Replies
1K Views
Nauliza tu ili nipate kujua. Hivi PM akijiuzulu (au akiachishwa kazi) wakati Bunge halikutani inakuwa vipi? Kikao cha Bunge kitaitishwa ili kithibitishe PM Mpya? Au nafasi ya PM itakaa wazi hadi...
0 Reactions
18 Replies
2K Views
Kwanza kabsa tulijijengea imani kwamba lile jimbo ni ngome ya CDM na hata CCM walikua wanatambua hivyo,pili kuna swala la koo za wakurya,tatu mawakala, CDM tuna tabia ya kuaminiana sana haraka...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Hongera Chadema kwa kuonesha njia ya uadilifu na uzalendo... Hii ndio Hospitali mpya ya Manispaa ya Iringa ambayo mbunge Msigwa amekabidhi vitanda vya kisasa itaanza kutoa huduma jumatatu wiki...
1 Reactions
13 Replies
3K Views
Habari wana jf! Ktk maandamano ya vijana wa ccm yaliofanyika hiz karibuni ambayo yalikuwa yakiipongeza serkali kutokana na kusikia kilio cha wananchi juu ya kubadili baadhi ya mawaziri...
0 Reactions
2 Replies
947 Views
Dr slaa amewahi kusema mara kadhaa kuwa Tume ya Taifa ya uchaguzi (NEC) ilichakachua matokeo ya uchaguzi mwaka 2010. Kauli hii ilianza kujidhihirisha wazi pale tulipoanza kushuhudia mlolongo wa...
1 Reactions
5 Replies
2K Views
nataraji mapendekezo haya machache yatatia changamoto katika mchakato wa kuchangia mawazo
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Ndugu zangu, wengi wetu tupo macho wazi kusubiri ni mabadiliko gani yatafanywa na mkulu, nawahakikishia hakuna jipya tusubiri mwaka 2015 panapo majaliwa. Watu makini hawapewi nafasi kwa kuwa...
1 Reactions
9 Replies
2K Views
Watanzania wenzangu napata shida sana kutambua kama serikali yetu ni PARTISAN au lah. Nasema hivi kwasababu ukitazama kwa makini utagundua kwamba Bunge, Mahakama na Serikali zote kwa pamoja...
0 Reactions
0 Replies
970 Views
Think about it, This president? Kweli? Ufisadi na this president ni kama pete na kidole Hebu fikiria. ninasuburi a huge surprise toka kwa Kikwete.
0 Reactions
12 Replies
1K Views
Jamani wandugu, naombeni kufahamishwa juu ya maendeleo ya kiafya ya Mh. Highness Kiwia - Mbunge wa Ilemela (CHADEMA)! Je, Mh. Kiwia anaendeleaje na je, ameshapelekwa India kwa matibabu zaidi? Au...
0 Reactions
19 Replies
3K Views
Habari kutoka Sumbawanga zinasema watu wana hasira na Mizengo Pinda baada ya kumuamuru msimamizi wa uchaguzi Sumbawanga Mjini kumtangaza jamaa fulani mjinga mjinga awe mbunge. Watu wanashangaa...
0 Reactions
18 Replies
3K Views
Ndugu zangu, Kuna kisa cha mtego wa panya uliosababisha madhara hata kwa wasio panya. Panya kwenye nyumba aliubaini mtego wa panya uliowekwa uvunguni mwa kitanda na mwenye nyumba. Panya...
21 Reactions
34 Replies
5K Views
Kada wa CCM Mustafa Sabodo ametinga katika kikao cha Baraza Kuu la CHADEMA na kuahidi kuendelea kukisaidia chama hicho mpaka mwisho. Sabodo ameahidi kusaidia ujenzi wa makao makuu ya chama...
25 Reactions
267 Replies
24K Views
Katika mahafali ya kwanza Chuo Kikuu Cha Dodoma 2010. Aliye kuwa mgeni Rasm Ndugu J.K Aliwaasa wanafunzi vyuoni kuachana na Siasa Jambo hili pia limekuwa...
17 Reactions
52 Replies
7K Views
wanajamvi,huu ni mwaka wa uchaguzi kwa chama tawala...maeneo ya mtukula mpakani mwa tz na uganda...gari la matangazo liinapita kuwaomba wanachama kujitokeza kuchukua fomu za kugombea nafasi...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Sijaliona hili kwenye news. Pasco wa JF yuko wapi when u needed him? Pasco uko wapi ushike bango kama ulilomshikia Dr. Slaa last time? Vipi umepanda kwenye kaburi (na jeneza) ukitafuta wana ccm...
0 Reactions
3 Replies
922 Views
Mbunge Tundu Lissu akihutubia mkutano viwanja vya stendi ya zamani mjini Singida, tangu mahakama kuu impe ushindi dhidi ya kesi Wafuasi na wapenzi wa CHADEMA wakiitikia kukunja ngumi juu kuonyesh...
6 Reactions
30 Replies
6K Views
Back
Top Bottom