Jeshi la polisi kwa hili tukio la leo mnawaonea CHADEMA

simon james

JF-Expert Member
Apr 1, 2012
283
140
Katika mahafali ya kwanza Chuo Kikuu Cha Dodoma 2010. Aliye kuwa mgeni Rasm Ndugu J.K Aliwaasa wanafunzi vyuoni kuachana na Siasa

Jambo hili pia limekuwa likivaliwa njuga na viongozi wa serikali ya CCM, hata Spika wetu amekuwa akionya mara kwa mara kuwa vijana wasome kwanza Leo waliojiita vijana wa CCM WA VYUO VIKUU walioandamana eti kuunga maamuzi ya CC YA CCM nakutaka viongozi walio tajwa kuhusika na ufisadi wasipewe vyeo vingine badala yake wakaozee gerezani!

Msema kweli mpenzi wa Mungu Kwa mujibu wa polisi taarifa ya maandamano hutolewa kabla ya siku 3. Maamuz ya cc ya ccm yalitoka ijumaa maandamano yamefanyika jumapili. Hivi kweli utaratibu wa Maandamano ulifuatwa na hawa wanaojiita wanafunzi wa Vyuo Vikuu wa CCM.

Nasema jeshi la polisi acheni kudhihirisha udhaifu wenu wakuitumikia CCM Hadharani. Wangekuwa vijana wa Vyuo vikuu wa CHADEMA Maandamano yao yangeitwa batili na wangeishia kupigwa virungu na Mabomu ya machozi Wangekuwa wa CHADEMA leo kingenuka Daa na tungesikia hawa viongozi wa CCM wakiwabeza kuwa waachane na siasa
 
Ukweli ni kuwa kitu chochote kinachofanywa kwa jina la ccm huwa ni sahihi tatizo ni pale linapofanywa na watu kwa jina la chama cha upinzani hasa chama kinachowasumbua..............lakini siku ipo kila kitu nkitajulikana na mambo yatakwenda sawia...... Ole waoooooooo
 
Hili siyo la kwanza ndugu yangu. Kwani umesahau ile mikutano ya UVCCM kule arusha ambapo polisi waliwapa onyo tu? Hii ndo Tanzania yetu kunya anye kuku, akinya bata .........!!
 
simple!chadema wa vyuo vikuu waandae maandamano tuone.
 
Mkuu hao wenyewe wanaoruhusu na kukataza maandamano wamepewa hivyo vyeo kupitia CCM wakikataza2 maandamano ya CCM hawana kazi ama watavuliwa vyeo.
 
Kunya anye kuku akinya bata kaharisha!Wangekuwa CDM ungesikia Vuvuzela Nape angetoa tamko!
 
Nasikia hata hao walioandamana nusu ni wanafunzi wengine ni wapuuzi wa mtaani waliopewa 5000 kama hongo!msomi mwenye akili yake hafanyi upuuzi wa kuiunga mkono ccm.
 
Kwa mujibu wa polisi taarifa ya maandamano hutolewa kabla ya siku 3. Maamuz ya cc ya ccm yalitoka ijumaa maandamano yamefanyika jumapili. Hivi kweli utaratibu wa Maandamano ulifuatwa. Nasema jeshi la polisi acheni upumbavu
 
Maandamano yoyote ya kuunga mkono CCM ni halalo maana yanatasfiriwa yatakuwa hayana vurugu ila CDM habari za kiintelensia lazima zionyeshe kutakuwa na vurugu.
 
Katika mahafali ya kwanza Chuo Kikuu Cha Dodoma 2010. Aliye kuwa mgeni Rasm Ndugu J.K Aliwaasa wanafunzi vyuoni kuachana na Siasa Jambo hili pia limekuwa likivaliwa njuga na viongozi wa serikali ya CCM, hata Spika wetu amekuwa akionya mara kwa mara kuwa vijana wasome kwanza Leo waliojiita vijana wa CCM WA VYUO VIKUU walioandamana eti kuunga maamuzi ya CC YA CCM nakutaka viongozi walio tajwa kuhusika na ufisadi wasipewe vyeo vingine badala yake wakaozee gerezani! Msema kweli mpenzi wa Mungu Wangekuwa vijana wa Vyuo vikuu wa CHADEMA Maandamano yao yangeitwa batili na wangeishia kupigwa virungu na Mabomu ya machozi Wangekuwa wa CHADEMA leo kingenuka Daa na tungesikia hawa viongozi wa CCM wakiwabeza kuwa waachane na siasa

jk na akina makinda wanatumia code language lakini wanachomaanisha ktk ujumbe wao ni vijana msiunge mkono juhudi za mageuzi nchini mkae kimya ili wao waendelee kula. kwa ufupi maneno yao hayaendani na matendo kwani wao wenyewe hawakufuata ushauri wao wenyewe kwa kujiusisha wangali mashuleni kuwa muangalifu sana ccm wanapokupa ushauri always do the opposite of what they telling you to do.
 
Back
Top Bottom