Let's be honest; Kikwete hatavunja baraza lake leo au hivi karibuni!

Nani Kasema

Senior Member
May 31, 2011
148
27
Think about it,

This president?

Kweli?

Ufisadi na this president ni kama pete na kidole

Hebu fikiria.

ninasuburi a huge surprise toka kwa Kikwete.
 
dont expect a huge surprise from JK. expect a huge frustration from him...! and worst of all, there is nothing he can do with his CCM that will not be a big disappointment to tanzanians...unless anatangaza kushindwa kazi na kuitisha uchaguzi huru!
 
kuna wengine hadi wameanza kujadili kama fulani yumo kwenye baraza au

hivi kweli mmekuwa mnafuatilia president wetu vizuri kwenye maamuzi yake

.. toka enzi za buzwagi, epa, richmond, na kadhalika

wengine hadi wanasherehekea ushindi wa ccm dhidi ya chadema katika hili

... just watch this watch space

our beloved president will do

just

nothing
 
Avunje asivunje, hakutakuwa na tofauti yoyote ile!

Anayebisha na aninukuu mimi.

Tokea nimeanza kuwa na ufahamu na tokea nimeanza kufuatilia mambo ya kisiasa, mabaraza ya mawaziri yameshavunjwa sana Tanzania na hakuna hata wakati mmoja ambapo baraza lilipovunjwa kulikuwa na prosperity.

This is nothing but a dog and pony show!
 
dont expect a huge surprise from JK. expect a huge frustration from him...! and worst of all, there is nothing he can do with his CCM that will not be a big disappointment to tanzanians...unless anatangaza kushindwa kazi na kuitisha uchaguzi huru!

And that is the point Manumbu,

Watu wanategemea makubwa sana toka kwa president wetu as if wamekuwa wanaishi shimoni miaka saba iliyopita.

Nimecheka sana kusoma msitari wako wa mwisho ... cant wait for that to happen
 
Avunje asivunje, hakutakuwa na tofauti yoyote ile!

Anayebisha na aninukuu mimi.

Tokea nimeanza kuwa na ufahamu na tokea nimeanza kufuatilia mambo ya kisiasa, mabaraza ya mawaziri yameshavunjwa sana Tanzania na hakuna hata wakati mmoja ambapo baraza lilipovunjwa kulikuwa na prosperity.

This will nothing but a dog and pony show!

Nakwambia hype iliyoko kwenye media za bongo (hasa clouds) utadhani mwisho wa dunia umefika.

Watu wengi hawajamuelewa vizuri president wa bongo yetu hii
 
Hii ya kuvunja baraza ni sawa na 'doing the same thing over and over again and expecting different results' - It's insanity at its best and if you don't trust the ingredients in that insanity sandwich, well, don't eat it.
 
dont expect a huge surprise from JK. expect a huge frustration from him...! and worst of all, there is nothing he can do with his CCM that will not be a big disappointment to tanzanians...unless anatangaza kushindwa kazi na kuitisha uchaguzi huru!

Laiti hilo lingetokea basi bahari ya Hindi ingekuwa jangwa la Kalahari!
 
Back
Top Bottom