Sasa naamini maneno ya Dr Slaa; NEC ilichakachua matokeo | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Sasa naamini maneno ya Dr Slaa; NEC ilichakachua matokeo

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by meningitis, Apr 30, 2012.

 1. meningitis

  meningitis JF-Expert Member

  #1
  Apr 30, 2012
  Joined: Nov 17, 2010
  Messages: 8,020
  Likes Received: 911
  Trophy Points: 280
  Dr slaa amewahi kusema mara kadhaa kuwa Tume ya Taifa ya uchaguzi (NEC) ilichakachua matokeo ya uchaguzi mwaka 2010.
  Kauli hii ilianza kujidhihirisha wazi pale tulipoanza kushuhudia mlolongo wa kesi dhidi ya mwenendo na matokeo ya uchaguzi huu.hii inamaanisha kuwa usimamizi wa uchaguzi ulikuwa wa kihuni kuliko chaguzi zote zilizowahi kufanyika.
  Nina wasiwasi sana kwamba bajeti ya serikali inaweza kuathiriwa kwa kiwango kikubwa sana kutokana na hizi by elections.

  Je kuna sheria inayoweza kumwajibisha aliyekuwa mwenyekiti wa tume jaji lewis makame?
   
 2. Nyakageni

  Nyakageni JF-Expert Member

  #2
  Apr 30, 2012
  Joined: Feb 1, 2011
  Messages: 13,960
  Likes Received: 1,284
  Trophy Points: 280
  atakufa kwa high B. P muda si mrefu
   
 3. A

  ACHIMIDES Member

  #3
  Apr 30, 2012
  Joined: Apr 2, 2012
  Messages: 9
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  vipi mwenye hukumu ya sumbawanga tunaombA atujuvye
   
 4. kookolikoo

  kookolikoo JF-Expert Member

  #4
  Apr 30, 2012
  Joined: Mar 9, 2012
  Messages: 2,537
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  we uko wapi? hukumu imetoka tangu saa saba mchana na jimbo liko wazi
   
 5. Manyanza

  Manyanza JF-Expert Member

  #5
  Apr 30, 2012
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 4,446
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  CCM wamegaragazwa vibaya, mwezi wa nane tarehe moja uchaguzi kampeni zinaaanza
   
 6. S

  STIDE JF-Expert Member

  #6
  Apr 30, 2012
  Joined: Sep 1, 2011
  Messages: 999
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  Mkuu leo ndo umelitambua hilo kwamba NEC ya ccm ilituchagulia Rais!!?
   
Loading...