Mbunge wa Ilemela - Kiwia. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mbunge wa Ilemela - Kiwia.

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by JACADUOGO2., Apr 30, 2012.

 1. J

  JACADUOGO2. JF-Expert Member

  #1
  Apr 30, 2012
  Joined: Dec 13, 2010
  Messages: 930
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Jamani wandugu, naombeni kufahamishwa juu ya maendeleo ya kiafya ya Mh. Highness Kiwia - Mbunge wa Ilemela (CHADEMA)!
  Je, Mh. Kiwia anaendeleaje na je, ameshapelekwa India kwa matibabu zaidi? Au bado anasota Muhimbili?
  Naomba kufahamishwa...!!!
   
 2. Josephine

  Josephine Verified User

  #2
  Apr 30, 2012
  Joined: Sep 5, 2010
  Messages: 787
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Ameondoka jana,kuelekea India.Naomba nisiongelee Report yake ya utabibu.
   
 3. OSOKONI

  OSOKONI JF-Expert Member

  #3
  Apr 30, 2012
  Joined: Oct 20, 2011
  Messages: 10,798
  Likes Received: 3,883
  Trophy Points: 280
  kama hutaki kuongelea matibabu umeanzisha thread hii ya nini??kwa sababu kila mtu anajua aliumizwa na waliomvamia sasa kuna usiri gani kwenye matibabu yake??
   
 4. Mnyamahodzo

  Mnyamahodzo JF-Expert Member

  #4
  Apr 30, 2012
  Joined: May 23, 2008
  Messages: 1,854
  Likes Received: 220
  Trophy Points: 160
  Nashukuru Josephine kwa taarifa.
   
 5. 1800

  1800 JF-Expert Member

  #5
  Apr 30, 2012
  Joined: Dec 27, 2010
  Messages: 2,217
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 135
  Asante kwa taarifa dada Josephine!
   
 6. KOMBAJR

  KOMBAJR JF-Expert Member

  #6
  Apr 30, 2012
  Joined: Nov 15, 2011
  Messages: 5,848
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  Noted with Thanks Josephine,Be bless kwa taarifa its show how u real care.
   
 7. Bondpost

  Bondpost JF-Expert Member

  #7
  Apr 30, 2012
  Joined: Oct 16, 2011
  Messages: 1,979
  Likes Received: 501
  Trophy Points: 280
  Jifunze kusoma kila kitu, umeona aliyeanzisha thead anaitwa josephine? Haka kamvua kanakuharibu akili yako inahamia maeneo maeneo eh? Wahi nyumbani mazee!
   
 8. chitambikwa

  chitambikwa JF-Expert Member

  #8
  Apr 30, 2012
  Joined: Nov 8, 2010
  Messages: 3,940
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  Mie nampa pole sana
   
 9. 1800

  1800 JF-Expert Member

  #9
  Apr 30, 2012
  Joined: Dec 27, 2010
  Messages: 2,217
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 135
  Mkuu mbona unajichanganya mwenyewe,kama ni mzito kuelewa ni bora uwe unasoma post mara mbili mbili,mleta mada ametaka kujua Kiwia alipo,na Josephine akajibu kua amepelekwa India jana kwa matibabu!sasa ulitaka aongelee hali yake ya kitabibu kwani yeye ni Daktari wake?
   
 10. OSOKONI

  OSOKONI JF-Expert Member

  #10
  Apr 30, 2012
  Joined: Oct 20, 2011
  Messages: 10,798
  Likes Received: 3,883
  Trophy Points: 280
  ok nimekuelewa kuwa aliyeanzisha thread siye sorry kwa kum attack josephine ila naye hana haja ya kuficha maana tunajua mheshimiwa kiwia alijeruhiwa sio ugonjwa wa siri! halafu nilipo hakuna mvua jua linawaka kiama!!
   
 11. samirnasri

  samirnasri JF-Expert Member

  #11
  Apr 30, 2012
  Joined: Nov 8, 2010
  Messages: 1,377
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  Apone mapema.
   
 12. Sangarara

  Sangarara JF-Expert Member

  #12
  Apr 30, 2012
  Joined: Sep 29, 2011
  Messages: 13,048
  Likes Received: 549
  Trophy Points: 280
  pole zake mh.kiwia,ukombozi ni safari ndefu kwelikweli,Mungu awepe moyo makamanda wote wasije wakatishwa na vitisho vya wafa maji.
   
 13. 1800

  1800 JF-Expert Member

  #13
  Apr 30, 2012
  Joined: Dec 27, 2010
  Messages: 2,217
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 135
  Mkuu hata kama kaumizwa na inajulikana wazi,ila elewa kua Josephine hana right ya kuongelea hali ya kitabibu ya Kiwia!
   
 14. OSOKONI

  OSOKONI JF-Expert Member

  #14
  Apr 30, 2012
  Joined: Oct 20, 2011
  Messages: 10,798
  Likes Received: 3,883
  Trophy Points: 280
  basi angekaa kimya maana hata kupelkwa india ni sehemu ya kitabibu!!
   
 15. Chilli

  Chilli JF-Expert Member

  #15
  Apr 30, 2012
  Joined: Jul 17, 2011
  Messages: 1,638
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 145
  Thanx our first lady for the info!
   
 16. Memo

  Memo JF-Expert Member

  #16
  Apr 30, 2012
  Joined: Jan 17, 2011
  Messages: 2,147
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  Kwahiyo Wewe unataka kujua nini zaidi ya kwamba Kiwia amepelekwa India leo kwa matibabu zaidi?
  Hapo nyuma tulielezwa na Dr. Slaa kwamba hali yake sio nzuri wanaitaka ofisi ya bunge ifanye utaratibu wa matibabu zaidi inje ya nchi kwsababu Muhimbili wamechemsha.

  Taarifa ya Josephine ni taarifa muafaka kwetu, at least kwangu na mleta mada ambaye alikuwa hajui what os happening with Kiwia
   
 17. Ronal Reagan

  Ronal Reagan JF-Expert Member

  #17
  Apr 30, 2012
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 4,744
  Likes Received: 1,455
  Trophy Points: 280
  Pole Kamanda. MUNGU akusaidie na akupe afya upone haraka.
   
 18. AdvocateFi

  AdvocateFi JF-Expert Member

  #18
  Apr 30, 2012
  Joined: Jan 15, 2012
  Messages: 10,705
  Likes Received: 592
  Trophy Points: 280
  Pole sana my hon kaka kiwia Mungu wa israel akuponye na kukuonesha njia kubwa ktk kuifikia ukombozi wa kweli. Pole sana kaka hon. Kiwia.
   
 19. Mchaka Mchaka

  Mchaka Mchaka JF Bronze Member

  #19
  Apr 30, 2012
  Joined: Jul 20, 2010
  Messages: 4,530
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 0
  pole kiwia..nitakujumuisha kwenye sala zangu na bila shaka utarudi ukiwa mzima wa afya..umeumia ukipigania mabadiliko!
   
 20. F

  FJM JF-Expert Member

  #20
  Apr 30, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 8,088
  Likes Received: 90
  Trophy Points: 145
  Hivi kweli Jeshi letu la polisi halina uwezo wa kumkamata/kuwakamata watu waliohusika na huu ukatili? Na kama hawana uwezo wa kumkamata muhalifu wa hapo hapo Mwanza watawezaje kupambana na Al-shaabab? au vitendo vingine vya kigaidi.

  IGP na waziri wa mambo ya ndani ya nchi wanatakiwa watoe kauli juu ya usalama wa raia na uwezo wa polisi. Nchi haina amani kabisa.
   
Loading...