Nguvu ya umma ni nguvu ya ujamaa!!? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nguvu ya umma ni nguvu ya ujamaa!!?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by AdvocateFi, Apr 30, 2012.

 1. AdvocateFi

  AdvocateFi JF-Expert Member

  #1
  Apr 30, 2012
  Joined: Jan 15, 2012
  Messages: 10,705
  Likes Received: 592
  Trophy Points: 280
  Habari wana jf!
  Ktk maandamano ya vijana wa ccm yaliofanyika hiz karibuni ambayo yalikuwa yakiipongeza serkali kutokana na kusikia kilio cha wananchi juu ya kubadili baadhi ya mawaziri waliojihisha na vitendo vya ufisadi, Kulikuwa kuna mabango mbalimbali yaliyobeba ujumbe uliosema kwamba kwamba " NGUVU YA UMMA NI NGUVU YA UJAMAA".
  My take:
  kwa hii slogan ya nguvu ya umma imekuwa ikitumiwa sana na CHADEMA, sasa je huu ujumbe wa "nguvu ya umma ni nguvu ya ujamaa" una maana gani?!!
   
 2. Azimio Jipya

  Azimio Jipya JF-Expert Member

  #2
  Apr 30, 2012
  Joined: Nov 27, 2007
  Messages: 3,370
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 135
  Anzia hapa! .... Peoples Power!... Nguvu ya WATU! asili ya Watu ni UTU wao!!

  UTU ni kitu chema hadi Milele! Nguvu ya UTU wa MTU ni nguvu ya mabadiliko Mema yenye kujali haki, heshima, usawa na vyote vilivyovema kwa Mtu na maendeleo yake! Na mjumuisho wa watu wenye UTU ndio inapatikana NGUVU YA UMMA!

  Wanasema ni ujamaa waje hakaraka sana wajieleze hapa!!
   
 3. AdvocateFi

  AdvocateFi JF-Expert Member

  #3
  Apr 30, 2012
  Joined: Jan 15, 2012
  Messages: 10,705
  Likes Received: 592
  Trophy Points: 280
  much respect mkuu kwa uchambuzi mzuri wa nguvu ya umma, sasa ngoja tusubiri wahusika watufafanulie kwa kauli ya nguvu ya umma ni nguvu ya ujamaa.
   
Loading...