Mustafa Sabodo atinga Baraza kuu la CHADEMA na kuahidi makubwa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mustafa Sabodo atinga Baraza kuu la CHADEMA na kuahidi makubwa

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Molemo, Apr 29, 2012.

  1. M

    Molemo JF-Expert Member

    #1
    Apr 29, 2012
    Joined: Sep 24, 2010
    Messages: 13,252
    Likes Received: 345
    Trophy Points: 180
    Kada wa CCM Mustafa Sabodo ametinga katika kikao cha Baraza Kuu la CHADEMA na kuahidi kuendelea kukisaidia chama hicho mpaka mwisho. Sabodo ameahidi kusaidia ujenzi wa makao makuu ya chama.

    Sabodo amekishukuru CDM kwa heshima kubwa anayopewa ambayo amesema hakuwahi kuipata ndani ya chama chake cha CCM. Sabodo amewapongeza viongozi wakuu wa CHADEMA kwa kazi kubwa wanayofanya kutetea wananchi hususan Katibu Mkuu wa chama hicho Dr Wilbrod Slaa.


    Source: Habari Clouds TV
     
  2. C

    Chamwau Member

    #2
    Apr 29, 2012
    Joined: Jan 17, 2012
    Messages: 50
    Likes Received: 0
    Trophy Points: 13
    mwenyezi mungu mbariki sabodo azidi kuishi duniani,mafisadi ndio wafe
     
  3. Losambo

    Losambo JF-Expert Member

    #3
    Apr 29, 2012
    Joined: Nov 8, 2011
    Messages: 2,625
    Likes Received: 8
    Trophy Points: 0
    Magamba wanamchukia sana huyu jamaa ila hawana la kumfanya.
     
  4. K

    Kiboko Yenu JF-Expert Member

    #4
    Apr 29, 2012
    Joined: Feb 12, 2012
    Messages: 312
    Likes Received: 0
    Trophy Points: 0
    mzee anatafuta umaarufu wa uzeeni huyu
     
  5. M

    Molemo JF-Expert Member

    #5
    Apr 29, 2012
    Joined: Sep 24, 2010
    Messages: 13,252
    Likes Received: 345
    Trophy Points: 180
    Kwa kweli mkuu huyu mtu ni mzalendo wa kweli.
     
  6. M

    Molemo JF-Expert Member

    #6
    Apr 29, 2012
    Joined: Sep 24, 2010
    Messages: 13,252
    Likes Received: 345
    Trophy Points: 180
    Watamfanya nini bilionea mwenyewe biashara zake kubwa ziko nje ya nchi
     
  7. M

    Molemo JF-Expert Member

    #7
    Apr 29, 2012
    Joined: Sep 24, 2010
    Messages: 13,252
    Likes Received: 345
    Trophy Points: 180
    Si mbaya akitafuta umaarufu kwa kusaidia na kutetea wanyonge
     
  8. Losambo

    Losambo JF-Expert Member

    #8
    Apr 29, 2012
    Joined: Nov 8, 2011
    Messages: 2,625
    Likes Received: 8
    Trophy Points: 0
    Upi sasa maana hela anayo na umaarufu anao? Mawazo mgando bana!!!
     
  9. rosemarie

    rosemarie JF-Expert Member

    #9
    Apr 29, 2012
    Joined: Mar 22, 2011
    Messages: 6,721
    Likes Received: 782
    Trophy Points: 280
    wameshapiga hesabu ccm inaondoka wanogopa kufukuzwa'kwa taarifa tu ni kwamba nyuma yake kuna wahindi kibao wameshachanga hela za kutosha tayari kulindwa na chadema'umaskini bana!
     
  10. MD25

    MD25 JF-Expert Member

    #10
    Apr 29, 2012
    Joined: Jan 28, 2012
    Messages: 3,078
    Likes Received: 5
    Trophy Points: 135
    Mungu akubaliki mzee sabodo.
     
  11. Ciphertext

    Ciphertext Senior Member

    #11
    Apr 29, 2012
    Joined: Apr 21, 2012
    Messages: 161
    Likes Received: 0
    Trophy Points: 0
    Haaaa! Haaaaa! Kibelaaaaaaaa, nyavu zangu zimecheuaaaaaaaa!
     
  12. j

    jossy chuwa Member

    #12
    Apr 29, 2012
    Joined: Apr 4, 2012
    Messages: 93
    Likes Received: 0
    Trophy Points: 0
    Yuko wapi yule mmbwa koko aloropoka kuhusu yaliyojiri kwenye mkutano wa cdm? ataumbuka kwa hiyo taarifa!
     
  13. M

    Molemo JF-Expert Member

    #13
    Apr 29, 2012
    Joined: Sep 24, 2010
    Messages: 13,252
    Likes Received: 345
    Trophy Points: 180
    Yule Mzoga na kundi lake tayari wamevuliwa nguo na katibu wa CDM Iringa.
     
  14. K

    Kichuli JF-Expert Member

    #14
    Apr 29, 2012
    Joined: Apr 23, 2012
    Messages: 321
    Likes Received: 0
    Trophy Points: 0
    eeee mwenyezi mungu mwingi wa rehema mbariki mzee wetu sabodo maana amekua ni mfano wa kuigwa tofauti na hao mafisadi ambao kila siku mcho na masiko yao yanawaza usinzi wizi ufisadi na ziara za nje bila kujali maisha tunayo ishi amina
     
  15. M

    Molemo JF-Expert Member

    #15
    Apr 29, 2012
    Joined: Sep 24, 2010
    Messages: 13,252
    Likes Received: 345
    Trophy Points: 180
    Hakika Mungu amembariki
     
  16. M

    Molemo JF-Expert Member

    #16
    Apr 29, 2012
    Joined: Sep 24, 2010
    Messages: 13,252
    Likes Received: 345
    Trophy Points: 180
    Kalagabaho
     
  17. M

    Molemo JF-Expert Member

    #17
    Apr 29, 2012
    Joined: Sep 24, 2010
    Messages: 13,252
    Likes Received: 345
    Trophy Points: 180
    Punguza hasira mkuu.....
     
  18. K

    Kichuli JF-Expert Member

    #18
    Apr 29, 2012
    Joined: Apr 23, 2012
    Messages: 321
    Likes Received: 0
    Trophy Points: 0
    eeee mwenyezi mungu mwingi wa rehema mbariki mzee wetu sabodo maana amekua ni mfano wa kuigwa tofauti na hao mafisadi ambao kila siku macho na masikio yao yanawaza usinzi wizi ufisadi na ziara za nje bila kujali maisha tunayo ishi amina
     
  19. rosemarie

    rosemarie JF-Expert Member

    #19
    Apr 29, 2012
    Joined: Mar 22, 2011
    Messages: 6,721
    Likes Received: 782
    Trophy Points: 280
    mimi sipendi wahindi kwa sababu ya ubinafsi na wizi wa mali zetu'endeleeni kuwaombeya sana bila kufikiri'tukishakomboa nchi kuna wahindi lazima wachinjwe
     
  20. Rejao

    Rejao JF-Expert Member

    #20
    Apr 29, 2012
    Joined: May 4, 2010
    Messages: 9,237
    Likes Received: 210
    Trophy Points: 160
    Kumbe bado Dr Slaa hajapona vizuri? Nimemuona leo nikamuonea huruma sana.Nafikir huu ni muda muafaka kwake kushughulikia afya yake ili aweze kurud kwenye hali yake ya kawaida. Bado ana mchango mkubwa kwa chama chake na CDM ni chama chenye uwezo wa kumsaidia. Tusihangaikie tu pesa za Sabodo na maandamano. Tukumbuke pia afya zetu
     
Loading...