Kilichofanya cdm kupoteza jimbo la tarime | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kilichofanya cdm kupoteza jimbo la tarime

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by wa tarime tanzania, Apr 30, 2012.

 1. wa tarime tanzania

  wa tarime tanzania Member

  #1
  Apr 30, 2012
  Joined: Apr 1, 2012
  Messages: 61
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 13
  Kwanza kabsa tulijijengea imani kwamba lile jimbo ni ngome ya CDM na hata CCM walikua wanatambua hivyo,pili kuna swala la koo za wakurya,tatu mawakala, CDM tuna tabia ya kuaminiana sana haraka hili jambo lilituponza sana Tarime,kwa kua CDM walijua tatashinda hivyo waka weka wapiganaji wa kweli kwenye kata zenye wapiga kura wengi kama Tarime mjini, Sirari, na nyamongo.

  CCM kwa kujua mjini hawakubaliki wao wakaenda vjjn hasa hasa anapotokea mgombea wa CCM panaitwa bwiregi, sasa huko bwiregi mkumbuke pia ndo anatokea yule alye kuwa mbunge wa CDM Charles Mwera aliye pigwa chini kwenye kura za maoni akakimbilia CUF, sasa wakati CDM immejiimalisha mjini, CCM IKAENDA KULE BWIREGI, na tayari orodha ya mawakala ikawa imeisha tangazwa, wakawaita wale mawakala wa CDM wakawaita na wazee wa kimila.

  Wale mawakala wakasomeshwa baadhi wakanunulika na CCM,NA KUTOKANA YULE MGOMBEA WA CUF tayari alikua CCM B,NA Baadhi ya mawakal CDM.

  Kwa hiyo kuna vituo walikua mawakala wote ni wa CCM,Yaani wa CUF wa CCM na wa CDM WALIONUNULIKA,Kwahyo CCM waliiba kura kadri wanavyotaka,ndio maana Kata zote za mjini CDM iliiongoza lkn zilivyoanza kuja za bwiregi CDM ilipigwa vibaya mno.

  Kwa hiyo wana JF,si kwamba CCM ilikomboa jimbo, tulishindwa ubunge wetu kwaajili ya kujiamini kupita kiasi, next time tupishanishe mawakala, yaani wazawa wa kata A,wapelekwe kata E,na wa E, wapelekwe B, NI GHALAMA lkn nazani ni moja kati ya njia ya kukwamisha wizi wa mazoea wa CCM,
   
 2. MAFILILI

  MAFILILI JF-Expert Member

  #2
  Apr 30, 2012
  Joined: Apr 28, 2011
  Messages: 1,916
  Likes Received: 105
  Trophy Points: 160
  Wacha kutapatapa
   
 3. M

  MASEBUNA JF-Expert Member

  #3
  Apr 30, 2012
  Joined: Oct 9, 2011
  Messages: 243
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Good comments inabdi kufanyiwa kazi.
   
 4. Mungi

  Mungi JF Gold Member

  #4
  Apr 30, 2012
  Joined: Sep 23, 2010
  Messages: 16,986
  Likes Received: 445
  Trophy Points: 180
  Hii mada nadhani ilijadiliwa mwaka moja uliopita.
  Anyway,
  Thanks for this very useful post


  Mungi
   
Loading...