Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Kwa yeyote mwenye habari kuhusu nini kinaendelea juu ya chadema kukata rufaa katika kesi iliyomuengua ubunge Godbless Jonathan Lema naomba anihabarishe, Kwa mujibu wa gazeti la mwananchi la tarehe...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Imekuwa ni kawaida kwa jeshi letu la Polisi kila mara linapotoa tahadhari kwa wananchi kutokana na interejensia yao waliyoifanya kwa kina uhusishwa na kudai haki kwa njia ya maandamano.Lakini...
0 Reactions
22 Replies
2K Views
Huu upepo unaovuma sasa (uliokaribia kung'oa paa - by Sugu) unafanya wengi tumsahau huju waziri. Baada ya mabomu ya Mbagala alisikika akisema ikitokea tena atajiuzulu; ikatokea Gomz. Sasa pamoja...
1 Reactions
8 Replies
2K Views
One of the most common features of JK’s tenure as TZ president is “nepotism “practice when it comes to picking public service leaders….We have seen JK practicing nepotism in almost all high...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Chama cha Waalimu Tanzania kiliundwa kwa malengo mazuri ya kutetea haki za waalimu ila kwa sasa CWT kimejikita zaidi kukusanya michango kutoka kwa waalimu na kuzitumia kulipana posho...
0 Reactions
0 Replies
918 Views
CHADEMA wapata ushindi wa pili baada ya kesi ya kupinga matokeo iliyokuwa imefunguliwa na bwana Oscar Mukasa kutupiliwa mbali. PEOPLE'S POWER
7 Reactions
106 Replies
14K Views
Kitendo cha Katibu Mkuu wa wa TUCTA Nicolaus Mgaya kutambulisha wageni bila kumtambua Mbunge wa Mbeya mjini Mheshimiwa Sugu inaleta sura mbaya. Hata mkuu wa mkoa naye kashindwa kutambua uwepo wake...
0 Reactions
10 Replies
1K Views
Wakazi wa jimbo la kinondoni hatujapata mbunge makini toka mfumo wa vyama vingi uanzishe tulikua na Peter Kabisa, na sasa IDD AZAN wote hawaonesha kujali na kutatua matatizo ya wananchi kikamirifu...
1 Reactions
27 Replies
3K Views
( Madai haya yamefikishwa na mtumishi wa umma kwenye http://mjengwablog.com) Ndugu Mwenyekiti wa jukwaa hili, Mimi naitwa Toto M. Kassi, Afisa Misitu Wilaya ya Same. Tarehe...
1 Reactions
44 Replies
6K Views
• Barabara, ofisi vyafungwa kwa muda na Grace Macha, Arusha UMATI mkubwa wa watu jana ulijitokeza kuuaga mwili wa aliyekuwa Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA)...
4 Reactions
7 Replies
3K Views
Japo si mwanasheria lakini najua adhabu ya kutoa rushwa ni kifungo na viboko siku ya kuingia jela na siku ya kutoka, ili mkosaji akamwonyeshe mkewe (au mumewe - akina mama oyee!) Sasa kuna mbunge...
3 Reactions
11 Replies
1K Views
BARAZA Kuu la Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) limesema kuwa mabadiliko ya baraza la mawaziri yanayotarajiwa kufanyika wakati wowote si suluhu ya kupunguza au kumaliza ubadhirifu...
4 Reactions
22 Replies
3K Views
Kwako Mheshimiwa Mkuu wa Kaya, wakati unatafakari jinsi ya kufanya Book review hasa zile chapter zilizolalamikiwa na wasomaji wako, niruhusu na mimi nitoe wangu mchango. Tafadhali niruhusu kama...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Baada ya kutupiana vijembe mwaka juzi, hatimaye Mgaya na JK sasa wamekuwa maswahiba kama picha hii inavyothibitisha. nani mshindi? Wafanyakazi (Mgaya) ama serikali (JK)???
1 Reactions
20 Replies
3K Views
Imeonekana serikali za mitaa nyingi zina matatizo makubwa kwenye masuala ya ufujaji wa pesa. Pesa nyingi sana zinaibiwa kwenye halmashauri hizo. Katika uchaguzi wa mwaka 2010 upinzani ulifanikiwa...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Kesi ya Mahalu:Mkapa Kortini Mei 8 Send to a friend Monday, 30 April 2012 20:41 0diggsdigg Rais Mstaafu wa Awamu ya Tatu, Benjamin Mkapa WAKILI MARANDO ASEMA NI SHAHIDI...
0 Reactions
0 Replies
823 Views
Naona mawaziri bado wanakula bata tu mei mosi tanga je hz tetesi za baraza jipya zilitoka wapi? Ulikw upepo 2 unapit kama alivosema Vasco na mei mosi ikiisha anakwnda South Africa kumpongeza Zuma...
0 Reactions
0 Replies
926 Views
Wanajf nimejaribu kuperusi baadhi ya thread ambazo zilileta mijadala mikali enzi hizo kuhusu CDM nimegundua Chama kimepitia changamoto kadhaa na huu ni moja ya uzi ulizua mjadala mkali sana hapa...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Wizara ya Maliasili na Utalii ingeweza kuleta ufanisi mkubwa sana unaoweza kuwainua Raia wa Tanzania na kuleta unafuu wa maisha kwa watu wanaoishi pembezoni mwa maeneo ya hifadhi za wanyamapori na...
10 Reactions
13 Replies
3K Views
CCM hii siyo siri kuwa kwa sasa tumechafuka na tumechafuka kweli ukikataa kataa lakini ukweli ndio huo. Katika hali yoyote ya kuchafuka dawa huwa ni kufua au kuoga. Sasa hapa ni kuamua kusuka au...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Back
Top Bottom