Hivi CCM na mwenyekiti wao taifa wametoa tamko lolote kuhusu mauaji ya kutisha ya m/kiti CHADEMA?

Nani Kasema

Senior Member
May 31, 2011
148
27
Sijaliona hili kwenye news.

Pasco wa JF yuko wapi when u needed him?

Pasco uko wapi ushike bango kama ulilomshikia Dr. Slaa last time?

Vipi umepanda kwenye kaburi (na jeneza) ukitafuta wana ccm kwenye mazishi?

Just wondering
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom