Chama tawala ambacho si tawala | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Chama tawala ambacho si tawala

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by mnazi kipemba, Apr 30, 2012.

 1. mnazi kipemba

  mnazi kipemba Member

  #1
  Apr 30, 2012
  Joined: Apr 2, 2012
  Messages: 48
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 15
  wanajamvi,huu ni mwaka wa uchaguzi kwa chama tawala...maeneo ya mtukula mpakani mwa tz na uganda...gari la matangazo liinapita kuwaomba wanachama kujitokeza kuchukua fomu za kugombea nafasi mbalimbali ngazi ya shina na matawi...raia hawana habari kabisaa,wanaendelea na mambo yao....my take: viongozi wa juu huku chini chama chenu kimekufa...sosi - mimi mwenyewe.
   
 2. Ileje

  Ileje JF-Expert Member

  #2
  Apr 30, 2012
  Joined: Dec 20, 2011
  Messages: 3,873
  Likes Received: 1,659
  Trophy Points: 280
  Kwani nani anapenda kuitwa FISADI!
   
 3. B

  Babuu Rogger JF-Expert Member

  #3
  Apr 30, 2012
  Joined: Nov 16, 2011
  Messages: 970
  Likes Received: 303
  Trophy Points: 80
  Mimi nipo Musoma yaani ni kituko kitupu, jamaa wamekataa na hawakujitokeza kabisaa na wanasema 'na bado' yaani ni raha tupu,
   
 4. bemg

  bemg JF-Expert Member

  #4
  Apr 30, 2012
  Joined: Apr 25, 2010
  Messages: 2,706
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 135
  Hata kwetu watu wanaendelea na shughuli zao maisha magumu hawana muda tena na chamacha mafisadi
   
 5. Manumbu

  Manumbu JF-Expert Member

  #5
  Apr 30, 2012
  Joined: Oct 28, 2009
  Messages: 1,751
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 135
  watawapitisha waliopo bila ya kupingwa. mengineyo mbele kwa mbele. upepo utatulia tu!
   
Loading...