Hivi serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni PARTISAN?

MESAYA

Member
Jan 4, 2012
55
52
[h=6]Watanzania wenzangu napata shida sana kutambua kama serikali yetu ni PARTISAN au lah. Nasema hivi kwasababu ukitazama kwa makini utagundua kwamba Bunge, Mahakama na Serikali zote kwa pamoja zipo chini ya Chama. Ni kwanini serikali ilishindwa kuwajibika kwa wananchi? Ni kwanini bunge lilishindwa kuwaajibisha mawaziri waliokutwa na ufisadi wa mali za umma? Yote haya yalishindikana kwa mihimili yote ya dola mpaka kamati kuu ya chama ndio ikutane na kuamua hatma ya taifa na wananchi kwa ujumla. Katiba mpya itambue Nchi kama non-partisan ili hata kama siku akiingia fisadi asiuze nchi kwa maslahi ya chama.[/h]
 
Back
Top Bottom