Katika hali inayotafsiriwa kama mwendelezo wa vuguvugu lililoanzishwa bungeni, madiwani wa CCM na wa CHADEMA wote kwa pamoja waliungana na kutaka kwa kauli moja kuwajibishwa kwa watendaji wakuu wa...
Nasaha yangu kwa mh. Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania na Serikali yake ya Chama cha Mapinduzi kama kweli wanayo nia na malengo ya dhati katika taifa hili.
Juhudi yetu ya kutafuta fedha...
Wadau kuna taarifa kuwa hukumu ya kesi jimbo la kasulu kupinga matokeo yaliyompa ushindi mbunge wa nccr mageuzi bi agripina buyogera itasomwa leo. Kama kuna mtu mwenye uwezo wa kutujuza...
Nadhani baraza lililolalamikiwa lilipata dozi pale Ngurudoto na ndiyo maana likaonesha ufanisi wa -13% efficiency. Kwa maana nyingine JK hafai kuwa mwalimu hata kuelekeza ni hovyo. Swali langu ni...
Wakuu,
Taarifa rasmi ni kuwa Makongoro Mahanga ameshinda kesi dhidi yake katika Jimbo la Segerea.
Ilikuwa ni vigumu kuandika hala live updates kwakuwa mahakamani hakukuwa na uwezekano wa kuwa...
Nimeangalia taarifa ya hbr TBC, Naibu waziri wa elimu kakusanya waandishi wa hbr na kwenda kuifunga shule kongwe ya binafsi Central sec pale Dom. Eti haina mwalim wa taaluma mara wa nidhamu na eti...
Serikali ya JK jana imejisifia kwa kuwezesha TAKUKURU na CAG. Sote tunajua idara hizo mbili ambazo ni vinara katika kupigana na ufisadi sasa zina ofizi zao za kisasa - makao makuu na hata za...
Ndugu wa JF salamu
Hoja yangu kwa leo ni kuteta kuhusu mamlaka aliyopewa CAG.
Akihutubia kilele cha cha maadhimisho ya sikukuu ya Wafanyakazi duniani MEI MOSI, katika uwanja wa Mkwakwani, Tanga...
Mliosoma gazeti la RAIA MWEMA la leo kuna article ya ndefu pg. 08 yenye headline isemayo BARAZA JIPYA LA MAWAZIRI.
Ukihesabu utaona kuwa article ina paragraph 31. Siwezi kukopi paraghraph zote...
Nimeipenda hii nimeikuta Facebook, kwa kweli tunahitaji ukombozi kwenye media zetu, ili zitusaidie kukomboa nchi yetu inayokabiliwa na matatizo makubwa ya kisiasa, kiuchumi na kijamii.
"Natumia...
Kila ninapopita ktk Ofisi za CCM Ubungo siku 2 hizi, nahisi kuna jambo kubwa linaweza kutokea Jimboni hapo.
Furaha na maandalizi ya hapa na pale yanaandaliwa.
Ofisi zinaonekana kama zinasafishwa...
Jaji Warioba: Hatutaki shinikizo
Na Muhibu Said
3rd May 2012
Hakuna kikundi chenye mtu wake
Wakabidhiwa ofisi, kazi yaanza
Katibu Mkuu Kiongozi, Ombeni Sefue (kulia)...
home
HOME
CONTACT US
THURSDAY, MAY 03, 2012
ZIARA YA RAIS WA ZANZIBAR YA KUIMARISHA CHAMA CHA MAPINDUZI KISIWANI UNGUJA
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi,pia Mjumbe wa...
tunaomba operation Korosho mtwara , lindi, ruvuma wakati ni sasa wa kuimalisha chama chetu hapa mtwara watu wanaona chadema kwenye tv tu sasa tunahitaji live hapa njooni jamani tumalize mjadara wa...
Sasa ni wakati na muda muafaka wa CHADEMA kupeleka M4C segerea haraka iwezekanavyo ili kuwaweka awareness wananchi wa segerea na Tanzania kwa ujumla jinsi mahakama inavyotumika kisiasa na jinsi...
Following recent decisions of our courts I think we need jury system. Hawa ni watu wasiojua sheria 'laymen' randomly selected, wanaokaa na jaji tangu mwanzo mpaka mwisho wa kesi, kisha wanaamua...
Salam sana WanaJF na Watanzania wote wapenda maendeleo...nipo hapa Same baadae ntaelekea Mwanga..nashangazwa sana na baadhi ya viongozi wa kichama..hawakubaliki kabisa..Naam.... ntakuja lini huku...
Watu wa Kibaha Mjini wameona mwanga wa ukombozi.Wanaihitaji CHADEMA.Hatahivyo,hawako tayari kusimamishiwa Habib Mchange kama Mgombea wa CHADEMA kwenye Uchaguzi Mkuu wa 2015 au hta kwenye Uchaguzi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.