Makongoro Mahanga ashinda kesi ya uchaguzi (Jimbo la Segerea) | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Makongoro Mahanga ashinda kesi ya uchaguzi (Jimbo la Segerea)

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by n00b, May 2, 2012.

 1. n00b

  n00b JF-Expert Member

  #1
  May 2, 2012
  Joined: Apr 10, 2008
  Messages: 952
  Likes Received: 129
  Trophy Points: 60
  Wakuu,

  Taarifa rasmi ni kuwa Makongoro Mahanga ameshinda kesi dhidi yake katika Jimbo la Segerea.

  Ilikuwa ni vigumu kuandika hala live updates kwakuwa mahakamani hakukuwa na uwezekano wa kuwa online.

  Mpendazoe atatakiwa kulipa gharama za kesi
   
 2. Mahesabu

  Mahesabu JF-Expert Member

  #2
  May 2, 2012
  Joined: Jan 27, 2008
  Messages: 5,042
  Likes Received: 666
  Trophy Points: 280
  Pipooooooo
   
 3. t

  trplmike JF-Expert Member

  #3
  May 2, 2012
  Joined: Apr 2, 2012
  Messages: 525
  Likes Received: 132
  Trophy Points: 60
  Roho inauma! anyway tunawasubiri 2015, tujipange
   
 4. Ciphertext

  Ciphertext Senior Member

  #4
  May 2, 2012
  Joined: Apr 21, 2012
  Messages: 161
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Poa tu!
   
 5. shrodinger

  shrodinger Member

  #5
  May 2, 2012
  Joined: Jan 3, 2009
  Messages: 9
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Wadau hebu tupeni ukweli kama Mahanga Kashinda kesi au lah!
   
 6. Kimbunga

  Kimbunga Platinum Member

  #6
  May 2, 2012
  Joined: Oct 4, 2007
  Messages: 13,010
  Likes Received: 1,816
  Trophy Points: 280
  Heee mbona yamekuwa hayo?
   
 7. AMARIDONG

  AMARIDONG JF-Expert Member

  #7
  May 2, 2012
  Joined: Jun 24, 2010
  Messages: 2,506
  Likes Received: 48
  Trophy Points: 0
  """LAZIMA MAHANGA ASHINDE KWA VYOVYOTE ,HATUWEZI KUPOTEZA JIMBO DSM HII ITAKUWA AIBU KUBWA TUNAJUA CHAMA KIMEYUMBA LAKINI CHAMA KITAANZA SAFARI YA KUFA KAMA TUTAPOTEZA JIMBO LINGINE DAR KABLA YA 2015''

  ujumbe huo nimefowadiwa sasa hivi na mtu wangu wa karibu ambaye ameupata kutoka kwa MKUU WA KAYA,niko mahakamani dalili za kushindwa ni kubwa kwani Jaji anapangua hoja zetu kama maji bila kutuangalia usoni
   
 8. Donyongijape

  Donyongijape JF-Expert Member

  #8
  May 2, 2012
  Joined: May 28, 2010
  Messages: 1,451
  Likes Received: 180
  Trophy Points: 160
  Yani Mahanga Ameshinda? Yamejirudia ya Zombe..!
   
 9. deadteja

  deadteja JF-Expert Member

  #9
  May 2, 2012
  Joined: Aug 8, 2011
  Messages: 369
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 35
  Una uhakika mkuu? Tunajaribu kufuatilia mpaka thread nyingine zinafungwa huku!
   
 10. Endeleaaa

  Endeleaaa JF-Expert Member

  #10
  May 2, 2012
  Joined: Oct 5, 2007
  Messages: 1,223
  Likes Received: 314
  Trophy Points: 180
  Hapo Rufaa lazima ikatwe
   
 11. Eng. Y. Bihagaze

  Eng. Y. Bihagaze Verified User

  #11
  May 2, 2012
  Joined: Sep 8, 2011
  Messages: 1,481
  Likes Received: 37
  Trophy Points: 145
  Ujinga mtupu, watu Wa Dar ni waoga sana.. Mie nahama Dar.. Aibu.. Mtu mkatazwe kusikiliza hukumu Na mkae kimya???!!!
   
 12. L

  LAT JF-Expert Member

  #12
  May 2, 2012
  Joined: Nov 20, 2010
  Messages: 4,523
  Likes Received: 86
  Trophy Points: 0
  haya tena ..... ukombozi utaendelea tuu ... it is not the end of the world
   
 13. samirnasri

  samirnasri JF-Expert Member

  #13
  May 2, 2012
  Joined: Nov 8, 2010
  Messages: 1,377
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  Chadema waipitie hiyo hukumu kama wanaona hawakutendewa haki basi wakate rufaa ili kutafuta haki zaidi hayo ndo maamuzi ya mahakama
   
 14. Mzito Kabwela

  Mzito Kabwela JF-Expert Member

  #14
  May 2, 2012
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 17,519
  Likes Received: 1,689
  Trophy Points: 280
  FINALLY: Makongoro Mahanga kashinda kesi!
   
 15. M

  MLERAI JF-Expert Member

  #15
  May 2, 2012
  Joined: Apr 4, 2012
  Messages: 673
  Likes Received: 40
  Trophy Points: 45
  Hii ndio Tanzania.Ukweli unageuzwa kuwa uongo na uongo unakuwa ukweli.
   
 16. S

  Sheshejr JF-Expert Member

  #16
  May 2, 2012
  Joined: Jan 14, 2012
  Messages: 435
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Nilijua tu...! Mahakama za bongo. We acha tu, kaka fred vp kuhusu kukata rufaa?
   
 17. Micha

  Micha JF-Expert Member

  #17
  May 2, 2012
  Joined: Sep 12, 2011
  Messages: 269
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  anyway, Mpendazoe jipange kwa 2015 bado miaka 3 tu.
   
 18. samirnasri

  samirnasri JF-Expert Member

  #18
  May 2, 2012
  Joined: Nov 8, 2010
  Messages: 1,377
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  Kama vipi CDM wapotezee na wajipange kwa ajili ya uchaguzi mkuu ujao najua makongoro hatagombea.
   
 19. O

  OgwaluMapesa JF-Expert Member

  #19
  May 2, 2012
  Joined: May 24, 2008
  Messages: 10,948
  Likes Received: 45
  Trophy Points: 145
  me ninavyomjua pro.ibrahim juma naamini haki ameitenda bila shaka..
   
 20. Kimbunga

  Kimbunga Platinum Member

  #20
  May 2, 2012
  Joined: Oct 4, 2007
  Messages: 13,010
  Likes Received: 1,816
  Trophy Points: 280
  Hiii ndiyo ilikuwa inasubiriwa ili kulisuka upya baraza la mawaziri. Nadhani sasa turudi kwenye baraza la mawaziri.
   
Loading...