More forcibly: M4c ya chadema itue segerea haraka iwezekanavyo' | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

More forcibly: M4c ya chadema itue segerea haraka iwezekanavyo'

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by AdvocateFi, May 3, 2012.

 1. AdvocateFi

  AdvocateFi JF-Expert Member

  #1
  May 3, 2012
  Joined: Jan 15, 2012
  Messages: 10,705
  Likes Received: 592
  Trophy Points: 280
  Sasa ni wakati na muda muafaka wa CHADEMA kupeleka M4C segerea haraka iwezekanavyo ili kuwaweka awareness wananchi wa segerea na Tanzania kwa ujumla jinsi mahakama inavyotumika kisiasa na jinsi ambavyo haipo huru kimaamuzi. Kwa kila mwenye macho na ufahamu ameshuhudia jinsi Mpendazoe(CDM) alivyohujumiwa wazi wazi na mahakama ktk kesi yake .
  Sasa ni muda muafaka kwa CDM kwenda segerea na kusema ukweli ili wananchi wajue nini kilichopo ndani ya chupa, kwani CHADEMA tukikaa kimya tutajikuta tunampoteza Mnyika (ubungo) au opulukwa (meatu) kwa hujuma za mahakama. kwani hata hukumu ya mpendazoe mahakama ili-take experence ya kesi ya lema ambapo CDM ilihujumiwa lakini tukatoa sauti ndogo. So na hapa tukitoa sauti ndogo basi mahakama ita-take experince na kutuhujumu tena.
  " PEACEFULLY IF WE MAY, FORCIBLY IF WE MUST"
   
 2. MNYISANZU

  MNYISANZU JF-Expert Member

  #2
  May 3, 2012
  Joined: Oct 21, 2011
  Messages: 7,056
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 145
  M4C inatakiwa ifanyike maeneo yote Tanzania sio Segerea tu.
   
 3. U

  Uwezo Tunao JF-Expert Member

  #3
  May 3, 2012
  Joined: Nov 14, 2010
  Messages: 6,947
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 0
  Nilishasema hili tangu jana; M4C tuhakikishe Mahanga na Ubunge wa Mahakama, Mpendazoe na wapigakura - oparesheni hamisha jimbo Segerea ndipo CCM kipate kujifunza nini maana ya Nguvu ya Umma hata kabla ya 2015.
   
 4. AdvocateFi

  AdvocateFi JF-Expert Member

  #4
  May 3, 2012
  Joined: Jan 15, 2012
  Messages: 10,705
  Likes Received: 592
  Trophy Points: 280
  ni kweli mkuu but kwa segerea ilitakiwa M4C itue kama emergence kwani Mahakama tukiziendekeza ipo siku zitakuja hata kutuvua nguo hadharani┬┤. Hivi kweli kati ya Lema na mahanga nani alitakiwa kuvuliwa ubunge! Haya ni maajabu ya mussa.
   
 5. AdvocateFi

  AdvocateFi JF-Expert Member

  #5
  May 3, 2012
  Joined: Jan 15, 2012
  Messages: 10,705
  Likes Received: 592
  Trophy Points: 280
  mkuu yani CDM ikifunika kombe ili mwanaharamu apite ktk hili swala basi ipo siku tutajutia kwani cha kufanya ni CDM kufanya harakati za kutosha na matamko makali ili mahakama ijue kwamba hizi zama sio zile za chama kushika hatamu bali ni zama za ukweli na uwazi tena ni zama ambazo uoga ulishaachwa nyuma toka zamani na jamii ipo tayari kuona mabadiliko yakitokea.
   
 6. B

  Big man Senior Member

  #6
  May 3, 2012
  Joined: Sep 21, 2011
  Messages: 116
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Wakuu 2silale7bu hawamagambaeame2kaliasana
  Nacc2nakua wajinga eti 2naogopasheria
  Sheriancc wenyewe wakuu.2wemakini
  Tutaonewampakalinicc tubadilikejamani.
   
Loading...