Kwa dalili hizi, Mnyika kapoteza jimbo la Ubungo | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kwa dalili hizi, Mnyika kapoteza jimbo la Ubungo

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by thatha, May 1, 2012.

Thread Status:
Not open for further replies.
 1. t

  thatha JF-Expert Member

  #1
  May 1, 2012
  Joined: Apr 29, 2011
  Messages: 15,234
  Likes Received: 179
  Trophy Points: 160
  Kila ninapopita ktk Ofisi za CCM Ubungo siku 2 hizi, nahisi kuna jambo kubwa linaweza kutokea Jimboni hapo.
  Furaha na maandalizi ya hapa na pale yanaandaliwa.
  Ofisi zinaonekana kama zinasafishwa safishwa, matawi vile kama yanaanza kufufuliwa, hamasa za chama zinaanza kuonekana ambapo kwa kipindi kirefu kiltoweka.
  kwa haraka haraka unaweza ukahisi kuna harakati kubwa za kisiasa zinaweza kutokea kipindi kifupi baadae

  JEE HICHI NDICHO KITACHMUANGUSHA MNYIKA KTK KESI YAKE:
  kukiri kwa Mnyika Mahakamani tofauti ya kura zaidi ya 14,000 inayoonekana katika fomu iliwasilishwa mahamani
  Kutumika komputa yake kuhesabiwa kura

  kukerwa kwa Jaji Msuya jinsi Mnyikai alivyokuwa akijibu maswali mbalimbali ya Wakili wa mlalamikaji, Issa Maige,
   
 2. K

  Kiboko Yenu JF-Expert Member

  #2
  May 1, 2012
  Joined: Feb 12, 2012
  Messages: 312
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  leo hujaenda kazini?
   
 3. Matola

  Matola JF-Expert Member

  #3
  May 1, 2012
  Joined: Oct 18, 2010
  Messages: 36,045
  Likes Received: 13,276
  Trophy Points: 280
  Njoo kesho Segerea kuna Ngwasuma la bure la kumtoa Makongoro kwa wizi wa kura.
   
 4. k

  kagame Senior Member

  #4
  May 1, 2012
  Joined: Dec 6, 2008
  Messages: 159
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Dont make conclusion ya kesi ya Mnyika kutokana na hayo mambo unayoyaona kwenye ofisi za magamba ubungo, huenda ni maandalizi ya upokeo wa ugeni wa mwenyekiti wa magamba saizi kaamua kufanya utalii wa ndani kwa kutembelea ofisi za chama.
   
 5. m

  manucho JF-Expert Member

  #5
  May 1, 2012
  Joined: Apr 20, 2012
  Messages: 3,410
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  unatishiwa na ccm vp wewe, ccm ni poppy tu hakina sumu mambo yake yalishaisha
   
 6. Maishamapya

  Maishamapya JF-Expert Member

  #6
  May 1, 2012
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 1,280
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 135
  Kunguru mweusi - mweusi tiiiiiiii! Kazi kunusa mizoga tu. Huo mzoga uliounusa hautishi, we endelea kujishibisha nao kwa kujifariji. Kwa taarifa yako, hata wakichakachua kesi, jimbo la Ubungo hawachukui, litabaki la CDM hata CCM wakimweka JK agombee.
   
 7. Ciril

  Ciril JF-Expert Member

  #7
  May 1, 2012
  Joined: Jan 10, 2011
  Messages: 5,536
  Likes Received: 1,468
  Trophy Points: 280
  Usafi ni jambo la msingi na la kawaida,unauhusisha vipi usafi wa jengo la ccm na kesi ya Mbunge Wa Chadema John Mnyika?Unatutafutia ban au?
   
 8. Duble Chris

  Duble Chris JF-Expert Member

  #8
  May 1, 2012
  Joined: May 28, 2011
  Messages: 3,487
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  Mkuu msingi wa kesi ya Ubungo ni kura 14,000. ambazo hata akipewa zote huyo wa CCM hawezi kumshinda John na kumbuka kuwa hizi kura ni lazima kufuata ratio maalum kwa wagombea wote

  Si mtaalam wa sheria naomba ufafanuzi zaidi juu ya hili
   
 9. Kiganyi

  Kiganyi JF-Expert Member

  #9
  May 1, 2012
  Joined: Apr 30, 2012
  Messages: 1,244
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Kunguru weusi wanakula sana uchafu!!

  Halafu wana tabia za wizi!
   
 10. Mchaka Mchaka

  Mchaka Mchaka JF Bronze Member

  #10
  May 1, 2012
  Joined: Jul 20, 2010
  Messages: 4,530
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 0
  uzuri hata magamba wakimwondoa kwenye ubunge, nguvu ya umma itamrudisha!
   
 11. K

  Kariongo Senior Member

  #11
  May 1, 2012
  Joined: Apr 5, 2012
  Messages: 115
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mimi nimehamia kimara muda si mrefu, juz balazo wa ccm akipita akihakiki wanachama ndo akaniuliza je ninakadi ya chama, nkamwambia hapana, akaniuliza kadi ya kura, mkamwambia ninayo, akaniambie aniletee kadi ya chama? Nkamwambia mim kwa sasa nsingependa kuwa na chama. So it seems was just a preparation of something
   
 12. dudus

  dudus JF-Expert Member

  #12
  May 1, 2012
  Joined: Feb 28, 2011
  Messages: 7,770
  Likes Received: 6,097
  Trophy Points: 280

  Sijui bongo zingine zikoje? Yaani Ofisi za CCM kusafishwa ndio Mnyika kuvuliwa ubunge? Pengine kuna kisomo kitasomwa hapo muda si mrefu; na hili nalo umewahi kujiuliza?
   
 13. Nyami2010

  Nyami2010 JF-Expert Member

  #13
  May 1, 2012
  Joined: Dec 2, 2009
  Messages: 227
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Kunguru, kwa wale wanaofuatilia ni kuwa CCM inafanya chaguzi zake kuanzia ngazi ya shina hadi taifa. Walianza na shina na wanamalizia matawi kisha wanaenda Kata, Wilaya, Mkoa na Taifa. Pengine ndugu Kunguru ulichokiona na hizo chaguzi zinazoendelea. Na si Ubungo tu bali na kwa nchi nzima...CCM inapanga TIMU yao ya kuvusha 2015!
   
 14. M

  Magezi JF-Expert Member

  #14
  May 1, 2012
  Joined: Oct 26, 2008
  Messages: 2,827
  Likes Received: 87
  Trophy Points: 145
  Wewe mtoa mada hii ni mgonjwa wa akili.
   
 15. Ndibalema

  Ndibalema JF-Expert Member

  #15
  May 1, 2012
  Joined: Apr 26, 2008
  Messages: 10,916
  Likes Received: 131
  Trophy Points: 160
  Mbona hata haiusiani? ofisi za CCM! kuvuliwa ubunge.! Jaji kukasirishwa na majibu ya Mnyika!
   
 16. Mamndenyi

  Mamndenyi JF-Expert Member

  #16
  May 1, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 29,105
  Likes Received: 6,571
  Trophy Points: 280
  Ofisi ndo zitapiga kura.
   
 17. Ciril

  Ciril JF-Expert Member

  #17
  May 1, 2012
  Joined: Jan 10, 2011
  Messages: 5,536
  Likes Received: 1,468
  Trophy Points: 280
  Mkuu umesahau kuwa kunguru hafugiki!?,tumsamehe bure
   
 18. C

  Curriculum Specialist JF-Expert Member

  #18
  May 1, 2012
  Joined: Oct 8, 2007
  Messages: 2,736
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Gamba at work!
   
 19. Calnde

  Calnde JF-Expert Member

  #19
  May 1, 2012
  Joined: Oct 7, 2008
  Messages: 1,373
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Mtoa mada anawezakuwa na yake! Lakini kimsingi kesi ya Mnyika haijakaa vizuri. Inahitaji hekima za jaji katika kuamua kama kuna authority za kutosha in favour of Mnyika. Tusisahau pamoja na wingi wa kura Lema alipigwa chini. Sasa mpaka mkurugenzi wa uchaguzi alijikanyaga what do we expect? Upande wa Mnyika utakuwa umefanya mistake kama Kiravu hakuitwa mahakamani. Ushahidi wake ungeweza kurepair damages on Mnyika's side
   
 20. Mungi

  Mungi JF Gold Member

  #20
  May 1, 2012
  Joined: Sep 23, 2010
  Messages: 16,986
  Likes Received: 443
  Trophy Points: 180
  Kunguru Mweusi hebu tuambie kama matokeo tayari wanayo hao uliowakuta wanafanya maandalizi.
  Sitakupinga sana ukizingatia baadhi ya mahakama zetu zinavyotoa maamuzi kwa maelekezo ya ccm.
   
Thread Status:
Not open for further replies.
Loading...