Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Katibu Mkuu Kiongozi,Mh.Balozi Ombeni Sefue ameueleza umma wa watanzania kuwa eti Rais Jakaya Mrisho Halfan Kikwete anaendelea/ameshalisuka Baraza makini la Mawaziri litakalokonga nyoyo za...
1 Reactions
14 Replies
2K Views
I am sure i share with my fellow loyal Tanzanian citizen ,the arising struggle hopes that we need a truly new Tanzania which will collect the past mistakes done by our ancestors either for...
0 Reactions
0 Replies
799 Views
Kwa wanajamvi kwa ujumla. Natumanini wote mtakuwa mmesikia hukumu iliyovuta hisia za watu wengi ya jimbo la Segerea. Ni kilio na furaha kutegemeana na upande uliopo. Lengo langu la leo si...
0 Reactions
30 Replies
3K Views
Kikwete ni CHAGUO LA MUNGU.....somo gumu kueleweka lakini ambalo MUNGU alitaka tulisome kwa lazima ili baadaye tuwe makini linapofika suala la uchaguzi wa Mkuu wa Kaya....... Tusitegemee jipya...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Wana JF tutafakari kwa hili mimi binafsi naona hakuna haja ya tume kupewa nyumba kwa kila mjumbe wa Tume?? Hii ni kama matumizi mabaya ya fedha za walipa kodi. Kuna haja gani ya kununuliwa gari...
0 Reactions
17 Replies
2K Views
Nimeshuhudia kupita itv news ya saa 2 wananchi wakimzomea makongoro mahanga na kuimba mafisadi ,nikajiuliza hakuna tena wafuasi wa ccm hata wa kukodi kwani hata tanga jk alipokelewa. na cuf
0 Reactions
29 Replies
4K Views
KATIKA HALI YA KUSHANGAZA KABISA BAADA YA BUNGE KUWATAKA MAWAZIRI 8 WALIOTAJWA KATIKA RIPOTI YA CAG KUJIUZULU WENYEWE AU LICHUKUE HATUA DHIDI YA WAZIRI MKUU JK, CCM NA SERIKALI YAKE SASA WANAGEUZA...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
RAISJakaya Kikwete anakabiliwa na mtihani mgumu. Ana jukumu zito la kuchekecha upyamiongoni mwa wabunge wa CCM kupata “watakatifu” wapya. Hiini baada ya “watakatifu” wake wa awali kutikiswa...
0 Reactions
0 Replies
965 Views
Wanajamii kwa yote yanayotekea ndani ya serikali na mengine ya aina hiyo ambayo kikwete ndo Rais.wizi wa wazi kabisa.dhuruma, ufisadi nk. Hivi kweli bado kuna mwenye imani na ******?kwani...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Ni mnafiki peke yake ndiye ambaye hawezi kukubali kuwa Dr. Slaa anaendelea kutoa mchango mkubwa kwenye ustawi wa maendeleo hapa Tanzania. Kwakuwa ufisadi ulioripotiwa na CAG umezigusa kwa kiasi...
0 Reactions
10 Replies
1K Views
CHADEMA ni chama makini. CCM ni chama tawala.Sifa hizo mbili zinavitofautisha vyama hivi na kuonyesha nguvu zao.CHADEMA ina safari ndefu ya kuikomboa nchi hii.Ijikite kwenye kutekeleza ahadi zao...
1 Reactions
5 Replies
975 Views
Ndugu wanajanvi, kunataarifa za uhakika kwamba leo Mkuu wa kaya atatangaza baraza jipya la mawaziri, lakini napata taabu sana kughamua jipya litakalo fanywa na hao wateule, maana, 1. kikwazo...
1 Reactions
4 Replies
1K Views
Breaking Newzz:Nako huku Mbeya Makama kuu imetupilia mbali hoja za Dr.Luca Siame alizofungua kesi ya kupinga Ushindi wa Jimbo la Mbozi Magharibi. Mhe.David Silinde ameshinda kesi hiyo hii leo...
1 Reactions
42 Replies
11K Views
Baada ya ZITO KABWE kusimamia kwa nguvu hoja mbalimabli zilizoletwa na kamati za bunge na michango ya wabunge ambayo ilikua ikisikitika sana juu ya ufujaji wa fedha za uma kutokana na riport ya...
1 Reactions
36 Replies
4K Views
  • Closed
Nyerere mnadhubutu kumuita Baba wa Taifa anatukanwa kuliko Mbwa na bado Serikali na Majeshi yake inatulia? Watanganyika (Watanzania bara) wanatukanwa na kubaguliwa kuliko Mbwa na bado kimya...
4 Reactions
84 Replies
6K Views
Nchi yetu kwa sasa tuna utaratibu wa pekee kabisa. Bunge letu linakuwa na wabunge wapya kila mwezi kutokana na mizengwe inayokithiri katika chaguzi zetu na kusababisha mzigo wa gharama za chaguzi...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wanajami, leo mchana kumetokea mapigano makali kati ya askari wa jeshi la polisi na Jwtz kwa upande mmoja na majambazi kutoka congo. Katika mapigano hayo Oc-cid wa Kigoma bwana Mohamed Kilonzo...
4 Reactions
30 Replies
5K Views
Katika hotuba yake kwa watanzania kupitia sherehe za Mei Mosi leo, Rais Kikwete amezungumza mengi kuhusu taarifa za CAG na utekelezaji wa mapendekezo ya CAG. Mojawapo ya mambo aliyosema ni kwamba...
9 Reactions
34 Replies
3K Views
Tume ya Katiba jana ilizinduliwa rasmi na kukabidhiwa ofisi. Akizungumzia kauli ya Rais Jakaya Kikwete kwamba Tume hiyo haiko kwa ajili ya kuvunja Muungano, mmoja wa wajumbe wa Tume hiyo kutoka...
1 Reactions
6 Replies
1K Views
Mmoja wa rafiki zangu aliwahi kuniambia kuwa hata siku moja wanaume na wanawake hawawezi kuwa sawa 50%-50% katika nyanja ya kisiasa! Kwamba siku zote wanaume watakuwa juu ya wanawake! Nilipouliza...
0 Reactions
37 Replies
4K Views
Back
Top Bottom