CHADEMA viporo hivi vitaisha lini?

MPAMBANAJI.COM

JF-Expert Member
Mar 2, 2011
712
331
Salam sana WanaJF na Watanzania wote wapenda maendeleo...nipo hapa Same baadae ntaelekea Mwanga..nashangazwa sana na baadhi ya viongozi wa kichama..hawakubaliki kabisa..Naam.... ntakuja lini huku kuwaelimisha hawa Jammaa ili wawezekufunguka na kufahamu tafsiri za maendeleo, haki na wajibu?.Kumepooza sana huku...tafadhalini sna mwahitajika katika maeneo haya.

Aksante.. sanaa
 
Mimi nadhani ni vizuri kila mtu mahali alipo afanye something! Ni vigumu sana kwa CDM Taifa kupita kila kona ya nchi hii!Jana niliipenda comment moja ya Heche alipokuwa anafungua/kupokea wanachama wapya katika chuo kimoja cha elimu ya juu ambapo aliwasihi wasomi wetu kwenda kugombea nafasi za chini ili elimu ya uraia ianze kutolewa huko huko. Ni vizuri kila mtu kwa nafasi yake akafanya kitu na tusisubiri CDM Taifa kuja kila sehemu ya nchi hii ni vigumu sana!
 
Uko sahihi na yoka nilipolingundua hili niliacha kupost post za aina hii! Nikikuta kuna uhitaji wa elimu ya chadema naitoa mwenyewe! Akina Mbowe hawawezi kufika kila kijiji tukiwasubiri tutsongeza muda wa ccm kututawala!
 
kwli mkuu.
juzi nilikuwa pale ndungu nikicheza draft na wazee pale stend nikaona tangazo la ccm la kuhusu kuchukua fomu za kugombea nafasi mbalimbali za chama nikawauliza wale wazee vipi mchakato unaendeleaje?
wengine wakasena hata hawajui na wengine wakasema hakuna watu wa kuchukua fomu,nikawauliza hapo zamani ccm walikuwa na kawaida ya kuweka matangazo?wakasema haikuwa kawaida yao ila sasa mambo yamewafika shingoni.
 
Ukichinja ng'ombe au mbuzi huwezi kumchuna kama unamenya ndizi mbivu..........kuna meneo ya kuanzia ili uchunaji uwe rahisi zaidi.......
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom