KIBAHA wanaitaka CHADEMA, hawamtaki MCHANGE...

VUTA-NKUVUTE

JF-Expert Member
Nov 25, 2010
6,135
17,802
Watu wa Kibaha Mjini wameona mwanga wa ukombozi.Wanaihitaji CHADEMA.Hatahivyo,hawako tayari kusimamishiwa Habib Mchange kama Mgombea wa CHADEMA kwenye Uchaguzi Mkuu wa 2015 au hta kwenye Uchaguzi mdogo 'utakapotokea'.Wana sababu zao:

Kwanza,wanaamini kuwa Mchange alishinda uchaguzi wa 2010 dhidi ya Mbunge wa sasa wa Kibaha Mjini Silvestry Koka(2CCM).Lakini,waamlaumu Mchange kwa 'kuhongwa' na Koka na kwenda UDOM kuendelea na masomo bila hata ya kukata rufaa.

Pili,wanadai kuwa Mchange si msafi kijina.Jina lake liliingia doa kwenye Uchaguzi wa BAVICHA Taifa kwa ku9onekana kuwa alitoa rushwa na kuenguliwa katika kugombea Uenyekiti uliokwenda kwa Heche.

Tatu,wanadai kuwa Mchange ni 'kibaraka' wa Zitto Kabwe ambaye wanachukizwa naye kwa tabia yake ya kutaka kuwachagulia Mbunge badala ya wao kumchagua wamtakaye.Sasa,wanaukataa Ufalme kwa nguvu zote.

Mimi tu kuwaletea habari...
 
Kijana amejiharibia sana.amevamia siasa kwa pupa..hakuwathamini watu wa kibaha akakubali kuuza ubunge wake..
 
Mkuu nadhani ungesomeka vizuri kama ungesema mie simtaki MCHANGE, wewe ni nani Kibaha mpaka wakazi wote wakutume uje kuwasemea JF...punguza majungu mkuu.
 
Mkuu nadhani ungesomeka vizuri kama ungesema mie simtaki MCHANGE, wewe ni nani Kibaha mpaka wakazi wote wakutume uje kuwasemea JF...punguza majungu mkuu.

Walau umeandika pointi leo mkuu
 
huyo alieandika habari hiyo ni muongo mkubwa na nimpotoshaji yani ata kama mchange akisimamishwa 2015 atashinda tu!
jamaa ana pendwa sana,na alijua ata akikata rufaa wata chakachua ndio maana aja angaika kufanya hivyo! huyo koka hapendwi ata kidogo!
Nahisi mleta mada ni Gamba na nia yake ni kumchafua mchange.
 
Yeye asiye na dhambi na awe wa kwanza kumnyooshea mwenzie kidole. Kama mleta thread anaamini katika uwazi, na ajiseme kwa usahihi yeye ni nani na anaongea haya kwa idhini ya nani. Tuwe wawazi. Vinginevyo hili ni jungu.
 
huyo alieandika habari hiyo ni muongo mkubwa na nimpotoshaji yani ata kama mchange akisimamishwa 2015 atashinda tu!
jamaa ana pendwa sana,na alijua ata akikata rufaa wata chakachua ndio maana aja angaika kufanya hivyo! huyo koka hapendwi ata kidogo!
Nahisi mleta mada ni Gamba na nia yake ni kumchafua mchange.
Nitake radhi Mkuu.Mimi si mwanachama wa CCM, CHADEMA wala chama chochote.Ni mpigakura wa kawaida.Nimezaliwa na kukua Kibaha.Habib Mchange namfahamu.Kipi kati ya kinachozungumzwa hapo ni uongo?
 
Mleta mada ameweka point zake ni za kweli, ss nyie mnaopinga leteni hoja c kusema m2 na majungu, dogo kapoteza kweli, japo koka hana cha maana coz analiogopa jimbo, kuna wapiganaji wanaendelea na kazi kibaha nzima mpk kule kijijini cha msingi liwekwe jembe pale, ww unayesema kuwa hata akigombea anapata fuatilia siasa za maeneo husika ndo ujibu.
 
Leteni habari kamili, kama alidhibitika kutoa rushwa basi huyu hafai hata kidogo hata kama anapendwa na kila mtu! Rushwa ni adui haki hata watendea haki watu kama anataka madaraka kwa rushwa naye atapokea rushwa ili kurudisha gharama zake. Haya ndiyo yanayowatesa wana magamba leo hii. Chadema must be tough on this!
 
VUTA-NKUVUTE.
Mie na wewe nani anayeleta majungu humu JF hunaweza kutuambia hao wakazi wa Kibaha ambao hawamtaki MCHAGE walikuwa wangapi?
Wakazi karibu wote wa Kibaha Mjini wanazungumza hivyo.Nyinyi mnaijua Kibaha kuliko mimi? Si Mchange aliyeenguliwa na Kmati Kuu ya CHADEMA kugombea Uenyekiti wa BAVICHA kwa kugawa rushwa? Alitukeshesha mahali pa kutangazia matokeo halafu yeye akaenda kupokea mamilioni yake kwa Koka...
 
Back
Top Bottom