Je, baraza jipya la JK nalo kwenda Ngurudoto?

meeku

JF-Expert Member
Jan 24, 2012
569
108
Nadhani baraza lililolalamikiwa lilipata dozi pale Ngurudoto na ndiyo maana likaonesha ufanisi wa -13% efficiency. Kwa maana nyingine JK hafai kuwa mwalimu hata kuelekeza ni hovyo. Swali langu ni kuwa Je, baraza jipya nalo litafanyiwa semina Ngurudoto?
 
hivi kwanini mjadala wa baraza la mawaziri umewateka wengi sana? au hii ni mbinu yakutuzuga tusiangalie mambo mengine?
kwanza nani kakwambia kuna baraza jipya?
 
Sielewi ni kwanini Kikwete anachukua muda mrefu kubadilisha baraza la mawaziri? Huwezi kuungoza nchi kama wananchi hawana uhakikia nani anaongoza office/idara fulani kesho. Hivi team ya washauri wake hawaoni huu udhaifu wa kuweka nchi kwenye hili ya mkanganyiko kwa zaidi takriban week mbili sasa?
 
magamba wote wameoza anajitahidi kuona gamba lipi afadhali na kama kawaida kigezo kingine ni ushikaji
 
Back
Top Bottom