Madaraka ni dhamana tu wanayo tunukiwa viongozi ilikuwaongoza/kuwaonyesha njia kwa wale wanao waongoza.Bunge ni chombo cha uwakilishi cha wananchi kwa kuwatumia wabunge kuelezeayale yote wananchi...
NDUGU WANA BODI BAADA YA KUISOMA SHERIA YA ARDHI YA 1999, 2001 NINAKUBALIANA NA ISSA SHIVJI KAIKA KTABU CHACKE CHA "INSHA ZA MAPAMBANO YA MNYONGE CHA MWAKA 2012"(NINAWSHAURI MKINUNUE MKISOME NI...
Wadau naomba tujuzane hili limekaje kwa hawa viongozi wetu wa siasa? Je, Dr.Shein analipwa mafao ya ustaafu kama makamu wa raisi Muungano? Na akimaliza utumishi wa nafasi aliyonayo sasa atakawa...
Eng Rwenge, ambaye ni Waziri wa maji na umwagiliaji alitoa kauli ambayo iliyonisikitisha hadi nikajioji hivi miradi ya maendeleo ni ya Wananchi au Wakurugenzi wa Halmashauri...
Wana JF,
Sijui ni ipi tarehe sahihi ya tukio tajwa hapo juu hasa baada ya kupata taarifa mbili tofauti kutoka serikalini!
Wakati akiahirisha Bunge lililomalizika hivi karibuni, Waziri mkuu...
Katika kusoma magazeti na kupitia mitandao mbali mbali ya jamii kuhusu sakata la uundwaji wa baraza la mawaziri kunajitokeza ugumu wa nani atoke na nani apishe ukiondoa wale waliotajwa tangu huko...
YAPO KULE FACEBOOK na NDUGAI anaonekana kana kwamba anawakejeli wana CDM kwa hukumu iliyotolewa na Mahakama Kuu katika kesi ya Kupinga matokeo ya uchaguzi jimbo la Ukonga.
John Heche
Mahakama kuu...
wakuu,
kwa kuwa JF inatukutanisha watu wengi, napendekeza wajumbe wote wa tume ya katiba wawe wanachama wa JF ili wachukue mawazo yetu kutokea hapa. tena watumie majina yao ya asili, tuwaone...
Kamati Kuu iliyokutana leo tarehe 27/04/2012 chini ya Mwenyekiti wake Mhe. Dr. Jakaya Mrisho Kikwete Jijini Dar es salaam, pamoja na mambo mengine imefanya yafuatayo.;
A. UTEUZI
Kamati Kuu...
Wana jf leo hapa Arusha nimesikia watu wakiongelea kukamatwa kwa watu kadhaa waliohusika na mauaji ya mwenyekiti wa chadema usa river pia panga lililotumika limekutwa ndani ya choo kwa mmoja Wa...
Wanabodi JF.
Ephata Nanyaro Mwenyekiti wa Baraza la Vijana wa Chadema (Bavicha) Mkoa, na Mwenyekiti wa chama hicho Arusha Mjini.
Anasema namfahamu Milya, ni kijana mwenzangu lakini kwa muda wote...
Mimi kama kijana mwenye vision za mageuzi pia member wa jeshi kubwa CHADEMA napata wasiwasi na uchungu mkubwa juu ya hii M4C kwani naona kama vile inapikia chakula waloshiba na kuwaacha wenye njaa...
kamanda Godbless Lema ameendelea kuibomoa CCM mkoa wa Arusha leo ilikuwa zamu ya Rabia Abdallah ambae ni mjumbe wa mkutano mkuu wa mkoa UVCCM Arusha,mjumbe wa baraza la wilaya Arusha na katibu wa...
Gazeti la raia mwema wiki hii limeandika uvumi kuwa waziri mkuu wa sasa ameomba asifikiriwe katika baraza jipya linalotazamiwa kutangazwa siku za usoni. Kama uvumi huo utakuwa kweli basi Pinda...
Ikawa siku ile mbele ya Baraza la saba la kutunga haki akatokea mfuasi machachari kati ya wale wazee 323 wa Baraza akasema, "Je, hawa watajwao kati yetu hawajafanya kosa? Tazama mikono yao...
"Nimefurahishwa na mjadala wa uwazi ulioendelea Bungeni na kwenye kamati ya wabunge wa CCM; nafurahi kwamba azma yangu ya kuzifanya taarifa za mkaguzi mkuu wa hesabu za serikali ziwe...
Na Francis Godwin-Iringa
Wakati kesho mei 3 ni siku ya uhuru wa vyombo vya habari duniani ,wanahabari mkoa wa Iringa wamepanga kufanya maandamano makubwa kwa ajili ya kuadhimisha siku hiyo...
Kwa miaka mingi, wateule wa rais wa Muungano wakitokea Zanzibar basi kuhusu rushwa rais huwa hapati tabu.
Sijabahatika kusikia Mzanzibar ndani ya Muungano akiwa mlarushwa kama wanavyokuwa watz...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.