May be we need 'jury system' in our legal system

Ronn M

JF-Expert Member
May 2, 2012
1,279
683
Following recent decisions of our courts I think we need jury system. Hawa ni watu wasiojua sheria 'laymen' randomly selected, wanaokaa na jaji tangu mwanzo mpaka mwisho wa kesi, kisha wanaamua nani ameshinda. Hii ina faida kadhaa
1. Justice will be seen to have been done from common sense of view!
2. Its not easy to manipulate all the juries!
3. Will remove monopoly of corrupt judges!
 
Juries represent common view of justice and not technicalities which are rounded in laws! Mfano basing on evidence, majority saw that Zombe was guilty, or atleast was connected to the crime, of which was true! But he was acquitted on mere technical grounds! Jury might have saved otherwise!
 
Mkuu naona hii ni kitu cha msingi sana kukijadili kama taifa. Hatuwezi kutoa haki kwa kuangalia technicalities za kisheria tu huku sehemu kubwa ya jamii haikubaliani na maamuzi yale. Hukumu yoyote ni lazima waliowengi waione imetenda haki na si mbwembwe tu za hakimu/jaji/wakili kujua technicalities za kisheria.
 
Wenzetu wameendelea kwenye hili. Wanapokuwepo hawa hata kama mtu unadanyanya it becomes obvious. Where its not clear they can ask, mahakama zinaweza kuaminia as fair lakini sio hizi za JK na majaji wake!
 
very well said .... niliona jinsi jury ilivyoamua kesi ya Michael Jackson .....it was justice done

hivi wale wazee wa mahakama huwa bado wapo au wanakuwepo kwenye lower courts only ?
 
very well said .... niliona jinsi jury ilivyoamua kesi ya Michael Jackson .....it was justice done

hivi wale wazee wa mahakama huwa bado wapo au wanakuwepo kwenye lower courts only ?
Wanaitwa assessors! Hawa wanakuwepo primary court and high court kwenye murder cases! However nafasi yao ni ndogo hasa high court ambapo judge halazimiki kufuata walichoamua!
 
Back
Top Bottom