Ufisadi mkubwa kinondoni;- madiwani wachachamaa. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ufisadi mkubwa kinondoni;- madiwani wachachamaa.

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by TUNTEMEKE, May 3, 2012.

 1. TUNTEMEKE

  TUNTEMEKE JF-Expert Member

  #1
  May 3, 2012
  Joined: Jun 15, 2009
  Messages: 4,582
  Likes Received: 55
  Trophy Points: 145
  Katika hali inayotafsiriwa kama mwendelezo wa vuguvugu lililoanzishwa bungeni, madiwani wa CCM na wa CHADEMA wote kwa pamoja waliungana na kutaka kwa kauli moja kuwajibishwa kwa watendaji wakuu wa halimashauri ya kinondoni kutokana na tuhuma za ubadhirifu na ufisadi.
  watendaji hao na malalamiko yao ni kama ifuatavyo.

  1. Mrs MARRY SINGANO huyu mama ni mchumju mkuu wa halimashauri bya kinondoni. amelalamikiwa na madiwani kushindwa kuwajibika kikamilifu kwa kushindwa kuandaa bajeti na kuwasimamia wasaidizi wake vema.
  singano yeye amekuwa akilkipwa pesa za kuandaa bajeti na kudanganya kuwa anasafiri kuandaa bajeti na badala yake amekuwa akijifungia bndani kwake na kubadili namba kwenye bajeti za miaka ya nyuma.

  pamoja na hayo mama huyu anasadikiwa kumiliki zaidi ya dalala sabini na nne aina ya eaicher hapa mjini zinazosadikiwa kuwa zinatokana na pesa za wizi za halimashauri.

  2. Mr. NYANDALO CHAYA. Huyu bwana ni mgavi wa halimashauri hii. siku zote anashuhulikia manunuzi ya halimashauri ikiwa ni pamoja na uandaaji wa zabuni.
  huyu bwana ana tuhuma za kujilimbikizia mali na kuwafanya madiwani wachukizwe na mfumo wake.
  CHAYA anasemekana amesababisha kushindikana kukamilika kwa mradi wa ujenzi wa barabara yenye thamani ya milion 800 kutokana na kampuni za jamaa zake kutokushiriki kikamilifu katika ushindani huo.
  chaya anatuhumiwa pia kuwa na tabia ya kuanzisha vi kampuni vyake kisha kuvipeleka kuomba TENDER kisha kuvipatia na kuwanyima haki ya kishindani na makampuni.

  3. Mr. ATHANAS URIO Huyu ni mkuu wa IDARA YA UJENZI NA ZIMA MOTO. yeye anatuhumiwa kusababisha halimashauri kutengeneza barabara zilizo chini ya kiwango na kuitia hasara halimashauri.
  Urio yeye anatuhumiwa pia kuandaaa BOQ zilizokuwa chini ya kiwango na kuidanganya halimashauri juu ya ujenzi wa barabara za lami kwani kwa sasa tangu MAGUFULI aingie madarakani garama ya kutengeneza lami imeshuka kwa milioni 200/km lakini yeye huandaa BOQ zenye thamani ya zamani kisha kujitwalia pesa zilizobaki.
  urio yeye anasifiwa kuwa tangu ahamie kinondoni halimashauri mpaka sasa anamiliki hoteli tatu za kulala wageni hapa mjini.

  4. Mr. FRANSIS MUGISHA Mkuu wa idara ya maji. yeye amefanya ufisadi wa kutisha kwa kushirikiana na wezi wa miundombinu ya maji na kuwaunganishia WAKAI WA TANDALE NA SINZA mfumo wa maji taka katika bomba la maji safi kiasi kwamba wananchi wa maeneo hayo mpaka sasa wanakunywa maji machafu.

  huyu bwana pia amekuwa na tabia ya kujilimbikizia mali pindi anapokuja mtu anataka kibali cha kuchimba barabara kwa ajili ya kupatiwa maji.
  huyu pia mpaka sasa anajimilikisha zaidi ya vituo nane vya kukusanyia ushuru.

  Hivyo sasa, madiwani wa halimashauri ya kinondoni wakiongozwa na Mstahiki Meya MWENDA wamesimama kidete kuhakikisha hawa wabadhilifu wanashuhulikiwa kisawasawa.

  ninawaomba wanajukwaa wenzangu tuijadili kikamilifu hili swala ili tuone jinsi ya kufanya katika kuhakikisha kuwa haki inapatikana.
   
 2. TUNTEMEKE

  TUNTEMEKE JF-Expert Member

  #2
  May 3, 2012
  Joined: Jun 15, 2009
  Messages: 4,582
  Likes Received: 55
  Trophy Points: 145
  hawa ni wezi wa kimataifa jamani.
   
 3. TUNTEMEKE

  TUNTEMEKE JF-Expert Member

  #3
  May 3, 2012
  Joined: Jun 15, 2009
  Messages: 4,582
  Likes Received: 55
  Trophy Points: 145
  hawa jamaa wanatakiwa wapigwe mawe mpaka wafe.
  inatakiwa wapelekwe jangwani pale wakasurubiwe aisee.
  hawa ni nyoka sana, wanawezaje kutufilisi mchana kweupe?. mweshimiwa rais hebu angalia hili haraka
   
 4. jogi

  jogi JF-Expert Member

  #4
  May 3, 2012
  Joined: Sep 25, 2010
  Messages: 19,335
  Likes Received: 12,799
  Trophy Points: 280
  Nitarudi, ngoja nipekue data za kushuka nazo, stay tuned
   
 5. TUNTEMEKE

  TUNTEMEKE JF-Expert Member

  #5
  May 3, 2012
  Joined: Jun 15, 2009
  Messages: 4,582
  Likes Received: 55
  Trophy Points: 145
  Ur welcome bana.
  hawa jamaa ni tatizo sana kwenye taifa letu hili.
   
 6. Kimbunga

  Kimbunga Platinum Member

  #6
  May 3, 2012
  Joined: Oct 4, 2007
  Messages: 13,011
  Likes Received: 1,816
  Trophy Points: 280
  Nami nitakuja kuchangia punde ila nataka nijue Mh. Manota, diwani wa Kimara alivyofoka mkutanoni. Najua Manota na Urio wana uswahiba fulani.
   
 7. Henge

  Henge JF-Expert Member

  #7
  May 3, 2012
  Joined: May 14, 2009
  Messages: 6,762
  Likes Received: 78
  Trophy Points: 145
  Hv nchi hii wapi hapana haya mambo ya wizi!
   
 8. TUNTEMEKE

  TUNTEMEKE JF-Expert Member

  #8
  May 3, 2012
  Joined: Jun 15, 2009
  Messages: 4,582
  Likes Received: 55
  Trophy Points: 145
  karibu sana bwana. safari hii madiwani wengi wameungana ila hio haizuii kuwahoji urafiki wao
   
 9. n

  ngaranumbe Senior Member

  #9
  May 3, 2012
  Joined: Apr 16, 2012
  Messages: 148
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Almashauri zetu ni feki, hata taarifa ya gag kuna madudu hayakutolewa kwani hata wakaguzi wa mahesabu walichukua mshiko na kuficha mengi
   
 10. Somoche

  Somoche JF-Expert Member

  #10
  May 3, 2012
  Joined: Oct 6, 2010
  Messages: 3,823
  Likes Received: 922
  Trophy Points: 280
  Wizi wizi wizi kila sehemu yaani inauma sanaaa
   
 11. TUNTEMEKE

  TUNTEMEKE JF-Expert Member

  #11
  May 3, 2012
  Joined: Jun 15, 2009
  Messages: 4,582
  Likes Received: 55
  Trophy Points: 145
  tuungane kuwanyoosha hawa jamaa ndugu zangu. hatuwezi kuwa tunalalamika tu kila leo.
   
 12. d

  dicaprio Member

  #12
  May 3, 2012
  Joined: Dec 18, 2010
  Messages: 59
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  hii taarifa haina umakini. Kuorodhesha tu bado haitoshih unatakiwa utoe uthibitisho ndipo ulete kwa kujiamini
   
Loading...