Mizengo Pinda aomba kujiuzuru | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mizengo Pinda aomba kujiuzuru

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Nikupateje, May 2, 2012.

 1. N

  Nikupateje JF-Expert Member

  #1
  May 2, 2012
  Joined: Dec 22, 2009
  Messages: 1,314
  Likes Received: 105
  Trophy Points: 160
  Mliosoma gazeti la RAIA MWEMA la leo kuna article ya ndefu pg. 08 yenye headline isemayo BARAZA JIPYA LA MAWAZIRI.

  Ukihesabu utaona kuwa article ina paragraph 31. Siwezi kukopi paraghraph zote bali nakopi ya 20 na 21 kama ifuatavyo:

  20:
  ..Kuna uvumi umeenezwa kuwa Waziri Mkuu ameomba kupumzika asiwemo katika Baraza jipya (linalosukwa upya). Inadaiwa kuwa Mzee Pinda amesisitiza kuwa asifikiriwe kuendelea kuwa Waziri Mkuu kwa sababu anadai amechoka na kuwa yupo tayari kusaidia kwa njia nyingine..

  21:
  ..Inasemekana wametumwa watu kadhaa kumwomba Mzee abadili uamuzi wake huo na kwamba atapewa timu bora zaidi ambayo haitampa kazi kuiongoza....

  Nasisitiza, thread haina matatizo yoyote kwani nimekopi wanachokisoma mtaani kupita gazeti hili, RAIA MWEMA wana mtindo ikipita siku moja wanaweka kwenye website yao na tukijifanya tunaiogopa kwa kui-move au kuifuta basi hatutawazuia forum zingine wawe wa kwanza kuishadidia mjadala bila uoga.

  SOURCE: RAIA MWEMA
  DATE: MAY 02, 2012
  PAGE: 08
   
 2. U

  Uwezo Tunao JF-Expert Member

  #2
  May 2, 2012
  Joined: Nov 14, 2010
  Messages: 6,947
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 0
  ... endapo Prof Lipumba atakubali kujiunga na hili li baraza la mawaziri uozo la CCM hakika nitamdharau milele na kutilia wasiwasi utashi wake na kazi ya usomi wake pia!!!!!!!!

  Acheni CCM kimalizie uchafu wake wote kama walivyouanza mara baada ya Mwalimu Nyerere kufa ili hukumu ya walalahoi kwa chama hiki hivi karibuni isije ikasambaa hata kwa vyama ambavyo havihusiki na uhandisi wa UFISADI wote wanaolifanyia taifa hili.
   
 3. G

  Georgemotika Member

  #3
  May 2, 2012
  Joined: Apr 22, 2012
  Messages: 20
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Bora apumzike Hana mvuto Tena lema alimkosakosa bungeni kwani Hana maamuzi kwa sababu ya upole wake pumzika baba .

  20:
  ..Kuna uvumi umeenezwa kuwa Waziri Mkuu ameomba kupumzika asiwemo katika Baraza jipya (linalosukwa upya). Inadaiwa kuwa Mzee Pinda amesisitiza kuwa asifikiriwe kuendelea kuwa Waziri Mkuu kwa sababu anadai amechoka na kuwa yupo tayari kusaidia kwa njia nyingine..

  21:
  ..Inasemekana wametumwa watu kadhaa kumwomba Mzee abadili uamuzi wake huo na kwamba atapewa timu bora zaidi ambayo haitampa kazi kuiongoza....

  Nasisitiza, thread haina matatizo yoyote kwani nimekopi wanachokisoma mtaani kupita gazeti hili, RAIA MWEMA wana mtindo ikipita siku moja wanaweka kwenye website yao na tukijifanya tunaiogopa kwa kui-move au kuifuta basi hatutawazuia forum zingine wawe wa kwanza kuishadidia mjadala bila uoga.

  SOURCE: RAIA MWEMA
  DATE: MAY 02, 2012
  PAGE: 08
  [/QUOTE]
   
 4. G

  G. Activist JF-Expert Member

  #4
  May 2, 2012
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 482
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 35
  Anaona upepo unakoelekea, hata asingeomba kujiuzulu, baraza jipya hayupo pia!!!! Hongera zake kwa kufanya hivyo, na ili heshima yake iendelee kulindwa atangaze mapema.
   
 5. Angel Msoffe

  Angel Msoffe JF-Expert Member

  #5
  May 2, 2012
  Joined: Jun 21, 2011
  Messages: 6,797
  Likes Received: 74
  Trophy Points: 145
  Bora ajiondoe mwenyewe kulinda heshima yake
   
 6. G

  Georgemotika Member

  #6
  May 2, 2012
  Joined: Apr 22, 2012
  Messages: 20
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Bora apumzike kwani keshapoteza mvuto utendaji wake sio mbaya lakini nashauri kabla hajaachia ngazi CAG imkague kwanza aiwezekani matrilion zote izo ziliwe alafu wizara yake isifahamu never Brother UTOH kamata mwizi Men.
   
 7. Mlachake

  Mlachake JF-Expert Member

  #7
  May 2, 2012
  Joined: Oct 13, 2009
  Messages: 2,920
  Likes Received: 619
  Trophy Points: 280
  kumbe ndiye anaayecheleweshwa kutangwaza kwa Baraza Jipya. So wanasubiri mpaka akubali ombi?

  Jamaa lazima ajiuzulu. Nikikumbuka ile ya Madaktari namuonea Huruma.
   
 8. Babkey

  Babkey JF-Expert Member

  #8
  May 2, 2012
  Joined: Dec 10, 2010
  Messages: 4,256
  Likes Received: 2,079
  Trophy Points: 280
  Ooh...oooh!!
  Anataka kususa kama "mwenzake"!
   
 9. G

  Georgemotika Member

  #9
  May 2, 2012
  Joined: Apr 22, 2012
  Messages: 20
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Jamani CAG nendeni kakagueni malaka ya hifadhi ya Ngorongoro kuna ufisadi Wa hatari.
   
 10. M

  MZAWATA JF-Expert Member

  #10
  May 2, 2012
  Joined: Feb 10, 2011
  Messages: 555
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  kapumzike mzee wangu kwani kwa kweli hawa jamaa wanasiasa wanakudhalilisha sana.
   
 11. N

  Ngonini JF-Expert Member

  #11
  May 2, 2012
  Joined: Sep 1, 2010
  Messages: 2,024
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  Lakini ni ngumu maana hawa jamaa walishatuona watanzania mazuzu hata akiendelea na madudu yote haya sisi tutaongea laikini hatutachukua hatua yoyote. Ataimbiwa na boss wake huu ni upepo tu usimfanye awaondolea familia yake mapochopocho wanayopata! Mimi siwezi kuamini kama pinda anaweza kufanya maamuzi magumu kama haya!
   
 12. Azimio Jipya

  Azimio Jipya JF-Expert Member

  #12
  May 2, 2012
  Joined: Nov 27, 2007
  Messages: 3,370
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 135
  Ni wakati mzuri na fursa sahihi kwa PM Pinda kuchukua uamuzi wa kupumzika!! ... It will serve a lot of nonsense!!
   
 13. F

  FJM JF-Expert Member

  #13
  May 2, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 8,088
  Likes Received: 90
  Trophy Points: 145
  Ili Prof Lipumba aweze kuingia kwenye baraza la mawaziri itabidi ajiondoe CUF na kujiunga CCM. Katiba ya sasa haitoi mwanya wa serikali ya mseto.
   
 14. H

  Hofstede JF-Expert Member

  #14
  May 2, 2012
  Joined: Jul 15, 2007
  Messages: 3,584
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 0
  Huyu bwana naona anataka kupumzika aangalie afya yake. Hasa ukizingatia kuwa ameisha kuwa waziri mkuu na tayari atalipwa yale mafao manono mpaka anaondoka duniani au chama kingine kiingie madaraka na kubadilisha sheria ile.

  Kwangu mimi sioni kazi ya waziri mkuu under JK's presidency, maana ni kama rubber stamps tu, bora Lowassa alikuwa huru na alikuwa na sababu ya kuwa huru. Ila ninamuomba Pinda kama kweli hii habari inaukweli siachie ngazi na mtu mwingine kuteuliwa kutuongezea mzigo walipa kodi wa kuwahudumia hawa viongozi wastaafu wanaoota kama uyoga.

  Ila kwa kunukuu maneno yake wakati anakubali uteuzi mwaka 2010, alisema hivi akishukuru familia yake '....miaka miwili nimekuwa busy sana, ila ninawaomba wawe wavumilivu kwa miaka hii mitano iliyobaki....' akimaanisha kuwa alikuwa amefocus mpaka 2015. Kwa maneno yale sidhani kama anaweza kukataa uteuzi wa 'bwana mkubwa'..., kama ambavyo huwa anamuita.
   
 15. Tume ya Katiba

  Tume ya Katiba JF-Expert Member

  #15
  May 2, 2012
  Joined: Apr 6, 2012
  Messages: 4,892
  Likes Received: 730
  Trophy Points: 280
  Kweli JF kuna vilaza,

  Hebu niambie wapi katiba inambana rais kuteua mpinzani kuwa waziri?

  Katiba inatamka bayana kwenye waziri mkuu tu kuwa atoke kwenye chama chenye uwakilishi mkubwa sio kwa mawaziri

  Kama hujui kaa kimya, maana mnatuboa jamvini.
   
 16. F

  FJM JF-Expert Member

  #16
  May 2, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 8,088
  Likes Received: 90
  Trophy Points: 145
  Prof Lipumba ni mwenyekiti wa chama cha siasa (CUF), sasa atakuwa kwenye baraza la mawaziri kama mwenyekiti wa CUF au kama nani? Hapa naongelea serikali ya mseto, na hata Zanzibar waliweza kuunda serikali ya aina hiyo baada ya kufanya marekebisho kwenye vifungu vya katiba.
   
 17. Maundumula

  Maundumula JF-Expert Member

  #17
  May 2, 2012
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 7,055
  Likes Received: 74
  Trophy Points: 145
  Akipumzika atakuwa amemsaidia sana rais wake.

  Hata ningekuwa mimi ningekaa pembeni.
   
 18. U

  Uwezo Tunao JF-Expert Member

  #18
  May 2, 2012
  Joined: Nov 14, 2010
  Messages: 6,947
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 0
  KWENYE KATIBA MPYA KUNAHITAJI WAZIRI MKUU MWENYE MADARAKA KAMILI NA MAMLAKA YA KUFANYA MAAMUZI JUU YA BARAZA LA MAWAZIRI BILA KUDHALILIKA TENA KUTOKANA NA TABIA YA RAIS KUOGOPA KUCHUKIZA MAWAZIRI WAKE KWA KUCHUKUA MAAMUZI BINAFSI

  Kwa jinsi huyu Waziri Mkuu anavyoendelea kudhalilishwa kila kukicha na kusababishiwa kuonekana kituko mbele ya jamii ya Tanzania kwa sababu tu KATIBA ya sasa haimpi madaraka ya wazi ya kutolea MAAMUZI baraza la mawaziri analotakiwa kuliongoza, ni vema WaTanzania tukalitafutie dawa swala hili ili mbele ya safari tusije tukamlaumu Waziri Mkuu mwingine yeyote yule kwa madaraka ambayo tulimnyima sisi wenyewe na kuzirundika kwa rais.

  Mhe Lowassa alikimbilia kusema eti KADHALILISHWA SANA lakini hali inayomkabili Mhe Pinda na Mhe Spika kwa kufanywa kuonekana vibweka mbele ya umma wa Tanzania hakika haina kifani.

  naona dawa ni kuja KUINGIZA KATIKA KATIBA MPYA ILI MAWAZIRI WAKUU WA SIKU ZA USONI WAJE WAWE NA Madaraka kamili ya ofisi zao bila kukwamishwa na Rais anayeogopa kufanya maamuzi magumu bila kuzunguka zunguka, kuuza muda na kutafuta kujificha nyuma ya vyombo vingine kama vile KAMATI KUU CCM.
   
 19. Tume ya Katiba

  Tume ya Katiba JF-Expert Member

  #19
  May 2, 2012
  Joined: Apr 6, 2012
  Messages: 4,892
  Likes Received: 730
  Trophy Points: 280
  Unaendelea kuonyesha kutokujua kwako sheria za nchi!

  Nilipokuita kilaza nilikuwa nina maana hujui unachokisema na sasa umethibitisha.

  HAKUNA KIFUNGU KATIKA KATIBA KINACHOMBANA RAIS KUTEUA MBUNGE WA CHAMA CHOCHOTE KUWA WAZIRI! ISIPOKUWA KWA PM NDIO UTARATIBU UMEELEZEWA NI ATOKE CHAMA CHENYE WAJUMBE WENGI. FULL STOP

  Case ya znz ni completely different, wamebadilisha muundo wa serikali kutoka waziri kiongozi, kwenye two VP na

  mengineyo ilikuwa ni lazima KATIBA ichakachuliwe.

  Nimekwambia kaakimya kama hujui
   
 20. Optic Density

  Optic Density Member

  #20
  May 2, 2012
  Joined: Apr 29, 2012
  Messages: 28
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ameshachafuka kiasi kwamba hawezi kuwa na mvuto mzuri kwa nafasi ya uwaziri mkuu. Sifa mbaya iliyomuangusha pinda ni huo upole wake. Na faida kubwa aliyonayo pinda ni huo upole wake na uvumilivu. Hivyo kwa mtazamo wangu kwa sasa Jk hapaswi kumuweka tena Waziri mkuu mpole. Anatakiwa achague mtu wa amri na mwenye "uso wa mbuzi" kama magufuli.
   
Loading...