IBARA YA 55 INAMRUHUSU RAISI KUMTEUA MBATIA KAMA WAZIRI NA KAMA ATAKUWA NAIBU WAZIRI KAMA INAVYOSEMEKAKA NGUVU YAKE ITAKUUWA NDOGO KWANA HATAKUWA MJUMBE WA BARAZA LA MAWAZIRI
55.-(1) Mawaziri...
Samahani kama nitawakwaza baadhi ya watu. Lakini kutokana na kelele nyiingi ambazo nimekuwa nikizisikia kupitia vyombo vya habari kuhusu wa-zanzibari kuto utaka muungano kati yao na Tanzania bara...
Mawaziri wapigwa 'stop'
Katika hatua nyingine mawaziri wote wamezuiwa kusafiri kikazi nje ya Jiji la Dar es Salaam kutokana na kile ambacho kinaelezwa kuwa ni maandalizi ya kukabidhi ofisi kwa...
Habari kuwa Kikwete anakubaliana na wabunge katika mjadala wa kuwawajibisha mawaziri kwa wizi wa pesa za wizara na idara mbalimabli haziwezi kupita bila kuuliza maswali ya msingi. Kwanza inabidi...
Tiyari tumekwisha kufika mahakani watu ni wengi mno wa vyama vyote viwili yani ccm na chadema. Ulinzi upo kila kona ya mahakama jaji bado hajawasili. Endelea kuwa nimi kila kitu ukipate.
Updates...
Huu ndo ulikuwa utetezi wa dr,chami kwa wabunge wa ccm katika kikao chao cha huko dodoma, yeye chami anaamini wapiga kura wa moshi vijijini wataendelea kumchagua kwa kuwa ataendelea kubaki kwenye...
Naibu katibu mkuu wa cdm mh zitto kabwe,anatarajiwa kuongoza harambee kata ya igoma mwanza mei 12 kwa lengo la kukusanya sh ml 100.
Lengo la harambee kununua kiwanja cha ofisi ya...
Inanipa shida kuamini kama mahakama zetu zinatenda haki hasa pale ambapo mshitakiwa ni kiongozi wa serikali au mfanyabiashara mkubwa hata kama kuna ushahidi uliojitosheleza. Kwa hali hii 2015...
Hatima ya ubunge wa Opulukwa leo
By Habari Leo
MAHAKAMA Kuu Kanda ya Tabora leo inatarajiwa kutoa hukumu ya kesi ya kupinga matokeo ya uchaguzi wa ubunge Jimbo la Meatu katika mkoa mpya wa...
Kulingana na taarifa za mojawapo ya magazeti ya leo, mawaziri wote walioko kwenye ziara huko mikoani wametakiwa kurejea Dar Es Salaam na kuyapeleka magari yao wizarani.
My take: Rais anaweza...
Hivi inawezekana Raisi kutaja Baraza Jipya la Mawaziri kabla ya Budget?
kwahiyo makatibu wa wizara ndio wataanda Budget za wizara mara hii?
Hili Baraza litavunjwa baada ya Budget kama sikosei.
Hukumu ya kupinga ubunge wa mhe,OPULUKWA (CHADEMA) jimbo la Meatu inatarajiwa kutolewa kesho katika mahakama kuu kanda ya Tabora itakayotolewa mjini Maswa,kesi hiyo ilifunguliwa na kada wa Ccm...
Je, ukiulizwa ni kosa gani Mawaziri wamefanya utashindwa kufafanua, hiyo yote ni ushahidi tosha ya kwamba hakuna ulazima wa kuunda Baraza jipya la Mawaziri.
Nikuulize wewe Mwana JF ni kosa gani...
Kwa kumbukumbu zangu mimi tangia Mbatia achukue madaraka NCCR - Mageuzi sijawahi kuona anakua n urafiki wa chama cha upinzani chenye nguvu, Nikimaanisha hajawahi kuwa karibu na chama ambacho...
Wana JF, Naomba someni hii kwani itaweza kumsaidia kila mmoja wetu. Walichokifanya Baraza la Mawaziri wa Serikali ya Awamu ya Kwanza Ni sawa na mfano wa Muhogo hapa chini: -
Jamaa mmoja alikufa...
Nimekuwa nikitafakari hali ya siasa na mchango wa vijana katika maendeleo ya Jamii.
Mungu amenijalia kutembelea maeneo mengi ya nchi yetu kama mji magharibi, Unguja kusini, Mwanza, Arusha...
Mbunge wa Iringa mjini hafanyi kazi za wananchi kila siku anasema anafanya kazi za kitaifa sisi wananchi tulio mchagua tukiamini mageuzi inatufedhehesha.
Kwa habari za kuaminika ni kwamba aliekua mbunge wa musoma mjini mh.. Mathayo anrudi tena 2015 kwa nguvu ya hatari kulichukua jimbo la musoma mjini kwa tiketi ya C.C.M..nawasilisha hoja
Inaumiza ccm kupandikiza wafuasi wengi huku upinzani na sisi tuaendelea kuwapokea bila kuwachunguza. Yaani wamekuja na kushika madaraka na kuwazuia wapinzani wa kweli wasiweze kushika madaraka...