Mh.Kafulila,ulikimbia kwa makamanda wa CDM ukaenda kwa mamluki wa Magamba. Natabiri utaporomoka kisiasa hata kupotea kabisa. Nakushauri rudi CDM omba msamaha hata kama ni kupoteza ubunge lkn...
WADAU,
Kwa muda mrefu kumekuwa na fununu mitaani kwamba mbunge wa Shinyanga Mjini Mhe. Masele ni swahiba mkubwa wa mtoto wa Kikwete R1 na inasemekana wakati wa uchaguzi wa ubunge uliopit, R1...
Salam wadau,
Nilikuwa naangalia kipindi cha medani za siasa na uchumi, cha startv ambapo mgeni mwalikwa alikuwa makamu mwenyekiti wa ccm bara ndg. Pius Msekwa.
Akijibu swali alilokuwa...
Kwa kweli nikaa nikatafakari, nikaona kama vile nakata tamaa na maisha ya Tanzania...nimekua nikijiuliza hivi ni kweli hawa marais wanaochaguliwa huwa hawajui undani wa timu wanazozichagua...
Chama cha Demokrasia na Maendeleo-CHADEMA kimevunjavunja ngome ya CCM wilaya ya Ngorongoro ambapo wanachama 800 wa CCM walijitoa katika chama hicho na kujiunga na CDM.
Tukio hilo kubwa lilitokea...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Jakaya Mrisho Kikwete akiongea na wanahabari wakati wa kutangaza Baraza la Mawaziri leo April 4, 2012. hafla hiyo ilichuhudiwa na Waziri Mkuu, Mizengo...
katika kuimarisha chama na kujiandaa na 2015, njooni pia hadi vijijini mkoani simiyu. hapo ndipo majimbo kama Busega, Magu, Bariadi mashariki na magharibi mtaweza kuchukua. watu wana hamu kujoin...
Kwa vile Katiba ya JMT inamtaka Rais kuchagua mawaziri kutokana na kundi la wabunge wa JMT ambao ni wabunge wa kuchaguliwa, kuteuliwa na waliopita bila kupingwa (nadhani viti maalum hawahusiki?)...
nimekuwa najiuliza kwanini serikali haiko serious kufufua reli, jibu nalowaza ni labda mafisadi na watoto wao ndo wamilik wakubwa wa kampuni za usafirishaji hivo ubovu wa reli kwao ni nzuri...
Kwana naomba niwekle wazi kuwa kumekua na mijadala mingi humu JF juu ya ukanda, ukabila na udini. Ki ukweli hili swala lipo tena linaendeshwa kwa waledi wa hali ya juu. Ukitafakari kwa umakini...
ilikua hivi alikuja kwenye mahafari ya TYCS chuo cha ualimu shycom alipomaliza sherehe akaomba kuongea na wanachuo tukaitwa assembly alipoona tunakusanyika fasta akaanza vijisababu na kudandia...
raisi kikwete amesahau kuwa alkwenda kufungua jengo la ofisi ya spika urambo tabora kwa samweli sitta, akabariki jamaa apigwe chini, sasa lile jengo alilolifungua wameamua kufanyia shughulu gani...
Wanabodi,
Naomba nianze na nilichokisema kuhusu wabunge wapya wa CCM niliobahatika kukutana nao pale bungeni Dodoma November, 2010, ile siku wanaapishwa.
Wanabodi,
Nikiwa hapa Dom, nimebahatika...
Wanajamvi, nijuavyo mimi, waziri wa Katiba na Sheria amekuwa akisaidiwa na Mwanasheria mkuu wa Serikali(AG) km Naibu wake.
Kulikuwa na ulazima gn wa kumteua Angela Kariuki kuwa naibu tena?
Au...
Hii ndio Bongo the land of chukua chako uwende zako.Raia wake ni mabingwa wa kusahau japo si wote na ni mashabiki wa jambo jipya,Asikwambie mtu eti siasa ni mchezo mchafu!La hasha.Ni mchezo mchafu...
Kumbukumbu zangu zinaonyesha kwamba JK aliingia madarakani akiwa anaungwa mkono na kundi kubwa la vijana. Naye alipoingia madarakani hakuwatupa mkono vijana. JK aliwateua vijana lukuki kwenye...
Wafuatao nao wanastahili kuwajibika ama kwa uzembe au kwa kushiriki ufisadi huu:-
(1)Mkurugenzi mkuu wa usalama wa Taifa
Huyu anasimamia usalama gani kama nchi inaporwa na yeye yupo ofisini. Hivi...
Chonde chonde mh.Maselle,wadhifa ulioupata kama kijana toka kwenye mikoba iliyoachwa na vijana wenzako ni changamoto kubwa sana katika zama hizi za ufisadi uliotamalaki.Nakumbuka mh.Shibuda...