Alivyosahaulika Masha ndivyo itakavyo kuwa kwako Maige | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Alivyosahaulika Masha ndivyo itakavyo kuwa kwako Maige

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Chum Chang, May 5, 2012.

 1. Chum Chang

  Chum Chang JF-Expert Member

  #1
  May 5, 2012
  Joined: Apr 2, 2012
  Messages: 1,001
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Hii ndio Bongo the land of chukua chako uwende zako.Raia wake ni mabingwa wa kusahau japo si wote na ni mashabiki wa jambo jipya,Asikwambie mtu eti siasa ni mchezo mchafu!La hasha.Ni mchezo mchafu ndio siasa
  Mh na nihii alikuwepo sasa chali
   
Loading...