Baada ya jk nyerere hii nchi imetekwa-lazima tuliongee hili | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Baada ya jk nyerere hii nchi imetekwa-lazima tuliongee hili

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by JF-MBUNGE, May 5, 2012.

 1. J

  JF-MBUNGE JF-Expert Member

  #1
  May 5, 2012
  Joined: May 1, 2012
  Messages: 422
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Kwana naomba niwekle wazi kuwa kumekua na mijadala mingi humu JF juu ya ukanda, ukabila na udini. Ki ukweli hili swala lipo tena linaendeshwa kwa waledi wa hali ya juu. Ukitafakari kwa umakini utagundua kuwa toka baba wa taifa astaafu, utawala wa nchii hii umetekwa na kundi la watu waishio maeneo yapwani. Imeonekana kuwa watu wa kanda tofauti mfano nyanda za juu kusini,kaskazini, kanda ya kati na kanda ya ziwa hawapewi mwanya wa kushika ngazi za juu na kupanga safiu zao hata kama zinamanufaa kwa taifa.

  Mifano ya hili ni mingi jameni..lkn nitoe michache kwanza.,ila nitaitoa bila kuangalia ubora wa utendaji kazi bali kwa kuangalia kanda mtu anapotoka na hii ni kwa sababu maalumu ili unielewe hoja yangu.
  1. Tuangalie wawakilishi wa mikoa ya nyanda za juu mbeya kuna Mh. Mark mwandoswa na Mwakyembe ni viongozi hodari kwa kiasi chake lakini ona wanavyopeperushwa na sas ammoja amepewa uwaziri usiokuwa na wizara maalumu...,huyu amepotea kisiasa...njoo Mwakyembe alikua ameanza kwa kazi wizara ya ujenzi na kujijengea sifa za utendaji amesha fichwa huku uchukuzi..nae ni kama amepotea na nahisi anatafutiwa pa kupotezwa kabisa.

  2.Angalia kanda ya ziwa watu wa kafara kila mara...hivi kweli tuwe wakweli sawa ngereja wizara yake ilikua mbovu lakini ni kweli ilikua ni kwa sababu ya yeye kuwa pale au wizara zima ilisha kuwa ina mlindikano wa uozooo?alipewa kanda ya ziwa akajijenga wakajua jinsi watakazwo mpotezea mbali..,ktk hilo utagundua kuna mwana kanda ya pwani mmoja J.makamba alikua mstari wa mbele kumuandama huyu bwana..angalia ngereja anatoka J.makamba anaingia. swali..je tunamanisha makamba ni msafi kiasi hicho zaidi ya Ngereja?hata baba yake Y.makamba amestaafu akiwa na kashfa lukuki za kichama na wizi serikalini tena alitoka kwenye mfimo wa vua gamba. sasa leo mwanae ndio nuru mtendaji mzuri huku akiwa nakashfa kibao tunazisikia humu za kugushi mitihani na hongo ya kampuni ya barric.

  3. tuje mwingine huyu ni Mh. lowassa ndio hata tukubali anavyopachikwa kuw ani fisadi swakli je yeye ndio fisadi pekee na huo ufisadi kafanya pekeyake nchini humu chini ya chama cha CCM?..kuna wezi wangapi wanadunda tu bila kuletewa zengwe ili wapotezwe kwenye kushika ufalme wa nchi hii.

  4. baba Mkulo..ndio unaksafa pengien mie sina ushahidi lakini je kuna watu kama Mwinyi aliyepelekwa woizara ya afya anakashfa mabomu kila mahali..lakini yeye mboan kahamishwa tu wizara?tena kila mara anakosea na kuamishwa hasimamishi aha hah..!hivi mkulo, morogoro huko na we maige kanda ya ziwa huko ndio kusema nyie mnamakosa sana utawala huu ndio mtolewe kafara?????hapana naona kuna mfumo unafanya kazi kila anayetoka kanda nje na pwana anajengewa mazingira yakutokushika dola na lengo ni kubakiza ukanda wa bwani utawale...ndio maana tunasikia majina ya watu wa bwan kwa 2015 ..membe,,,vua.,,sijui nani wa huko hawapati misukosuko ya kisiasa..njoo tunao wasika sasa nyarandu...kanda kati wee kakiona na sasa kupigwa bit na kuamishwa..njo S6 amewekwa huko africa mashariki atulie na akichomoza tu siku si nyingi anapummzishwa umri umekwenda.

  KI MSINGI KUNA DALILI ZISIZO NZURI ZA KUKANDAMIZA KANDA ZINGINE AMBAZO NAZO ZINA HAKI YA KUONGOZA KIKATIBA. weesimbachaweni jiandaa usidhani umefika mwiosho wako ni huo........na we ZITo usidhani utatoka we ni wa kigoma watakutumia tuu then wanajua watakumwagia wapi ukisha wasaidia kuwaweka watu wao wa pwani juu..si unaona una umepewa rafiki J.makamba unamkuza tuu kisiasa..na umepigana sas ayeye kapata uwaziri we upo hapo hapo na mayoe kila siku kwenye media..Subiri wakiwa stable watakukmwaga tu we sio wa kwao uje kutawala.

  swali dadavua na wewe je utawala huu haujatekwa?
   
Loading...