Kesi ya Ridhiwani Kikwete dhidi ya Dr. Slaa

Nikupateje

JF-Expert Member
Dec 22, 2009
1,334
988
Jamani,

Kumbukumbu zinatuambia kuwa leo ile kesi ya Ridhiwani Kikwete kumshtaki Dr. Slaa iko leo.

Mwenye update atujuze!
 
hahahahaha
Du una kumbukumbu kweli,
Unaweza kuta hata Prince Ridh mwenyewe kishasau
 
Sina habari ila hii kesi huenda tusiisikie tena maana tulitegemea list of shame ingengurumisha bonge ya case lakini wote walikaa kimya mpaka wa leo hatujawahi kuwasikia. Na huyu dogo anajua hawezi kuchomoka hata kama ni mshitaki maana watu wana evidence zote hata akitumia majina ya waarabu wa richmond kwenye ufisadi wake, vitu vyote vinajulikana.
 
Mi pia ani PM huyo Riz One.. Niko tayari atumie jina langu! Ila..vigezo na masharti kuzingatiwa!
 
Kwani Ridhiwani ni nani?

sheikh-yahyabc.jpg
 
wakuu kama title inavyojieleza hapo juu kuna wakati dr alieleza kushangazwa na utajiri wa ghafla wa riz na kesho yake riz akan'gaka kwenye tv kuwa dr mzushi na akampa siku saba akanushe kabla ya kumburuta mahakamani siku iliyofuata DR akajibu mapigo kuwa alishawahi kumtaja dingi pale muembe yanga temeke kwenye orodha ya mafisadi (list of shame) naye alihahidi kumpeleka mahakamani wakati huo akashindwa kwa hiyo riz asipoteze muda awahi uko mahakamani je hii tamthilia iliishaje? riz alienda mahakamani? kama hajaenda nini kimemtisha? au kulikuwa na ukweli?

​NAWASILISHA
 
Ukweli mtupo.....skiku moja nilikuwa narudi hom atown kutoka dar na basi aina ya fresh..barabarani tukakutana na lory limeishiwa mafuta .lori hilo lilikuwa linatokea nairob...mara dereva wa basi letu akawatupia kijembe..kuwa rizwan awe anawapa mafuta ya kutosha..maana wanadai anatoa lita 700 kwenda nairobi na kurud;;;;;
 
Kesi ipo mahakaman na washtakiwa ni Dkt na mchungaji mtikila. Ila mchng amemkataa Jaji anaesikiliza kesi, pia amesema ajaitwa mahakamani na hata akiitwa jaji abadirishwe asie anaetoka hapa nchini.
 
hakuna kesi hapo ni mautumbo matupu....yaaani siku cccm inaondolewa madarakani nachoka vijiti vyangu kama 7 hivi vya kufanyia kitu flani hivi kama alivofanyiwa gadafi
 
gamba haliwezi kushindana na Dk hakuna kesi hapo. Nitarudi baadae kidogo
 
hakuna kesi hapo ni mautumbo matupu....yaaani siku cccm inaondolewa madarakani nachoka vijiti vyangu kama 7 hivi vya kufanyia kitu flani hivi kama alivofanyiwa gadafi
mwenzio natamani kuwa mdunguaji
 
Ukweli mtupo.....skiku moja nilikuwa narudi hom atown kutoka dar na basi aina ya fresh..barabarani tukakutana na lory limeishiwa mafuta .lori hilo lilikuwa linatokea nairob...mara dereva wa basi letu akawatupia kijembe..kuwa rizwan awe anawapa mafuta ya kutosha..maana wanadai anatoa lita 700 kwenda nairobi na kurud;;;;;

Hata mimi pia nimeshuhudia stori kama hiyo.Jamaa hawana mafuta,dereva wetu akasema gari za Riz One hizo. Ni nyingi karibu useme hazina idadi!
 
tEH!TEH!TEH!
Naona kaamua akavune aibu mahakamani,akamgawie babae ikulu,na yule hawara wake wa UDOM!Ridhwan pumbavvvv sana
 
Anatania yule tena bora acheze na Dr.Slaa anaweza kumminyia kwa kuwa ana majukumu yale mengine tuliyomtuma lkn kule kwa Pastor ********* ndio asithubutu kabisaa, kama kuna mtu ana muda wa kuendesha kesi basi ni Mtikila. Ngoja awachokonoe wajilipue tujue hata na yaliyojificha. Anafikiri babaake mjinga kukaa kimya alivyopigwa la kwake Mwenye Yanga, thubutuu, anawajua wazee wa data.
 
Mi nlisikia kama ametoa miaka 7, sio siku!!

Dogo alisahau kwamba mtu mzima hatishiwi nyau. Atashitaki vipi wakati anajua yote aliyoyasema Dr.Slaa ni ya kweli na ukweli mtupu. Yeye RIZ1 asubiri kesi yake ya kuhujumu uchumi baada ya miaka kama minne hivi ijayo
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom