Kwa uteuzi wa Masele, Hakika sasa nimeamini Familia ya Kikwete ina Hisa kwenye Madini | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kwa uteuzi wa Masele, Hakika sasa nimeamini Familia ya Kikwete ina Hisa kwenye Madini

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by NdasheneMbandu, May 5, 2012.

 1. NdasheneMbandu

  NdasheneMbandu JF-Expert Member

  #1
  May 5, 2012
  Joined: Jan 2, 2012
  Messages: 940
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  WADAU,
  Kwa muda mrefu kumekuwa na fununu mitaani kwamba mbunge wa Shinyanga Mjini Mhe. Masele ni swahiba mkubwa wa mtoto wa Kikwete R1 na inasemekana wakati wa uchaguzi wa ubunge uliopit, R1 ali-play role kubwa kuhakikisha Masele anashinda. Kwa wale wasiofahamu au kukumbuka, jimbo la Shinyanga ndiyo lililotia fora nchi nzima kwa wagombea kutofautiana kwa kura moja tu. Mhe. Masele alipotangazwa kuwa ni mshindi ilitokea vurugu kubwa iliyosababisha hata ofisi ya Halmashari ya Manispaa ya Shinyanga kupigwa kiberiti na Msimamizi wa uchaguzi Mkurugenzi wa Halmashauri kukimbia ofisi yake. Mgombea machachali wa cdm Marehemu Shelembi alipokwa ushindi mchana kweupe na kusababisha masikitiko makubwa kwa wakazi wa Manispaa ya Shinyanga. Baada ya hapo, mpaka leo wananchi wa Manispaa ya Shinyanga wamemkana Mhe. Masele. Inasemekana hivi karibuni Mhe. Masele aliitisha mkutano ili aweze kuongea na wapiga kura wake lakini wananchi wachache sana walihudhuria na kusababisha mkutano kuahirishwa.

  Kinachonishangaza, pamoja na kutokubalika huko kwa Mhe. Masele, Kikwete ameona anafaa kuwa Naibu Waziri wa wizara nyeti kama ya Nishati na Madini. Kijana Masele ambaye hana elimu ya maana, aliyezaliwa mwaka 1976 hana rekodi yoyote ya utumishi wa umma iliyotukuka zaidi ya kuwa Meneja wa Tigo. Hivi Kikwete anaweza akatueleza ni nini alichokiona cha maana kutoka kwa kijana huyo kiasi cha kumkabidhi jukumu zito la kitaifa kama hilo!!! Mara kadhaa nimekuwa nikisikia kwamba familia ya Kikwete ina hisa kwenye Kampuni ya African Barrick Goldmine inayomiliki migodi ya Bulyankulu na Buzwagi kwa upande wa Shinyanga na inaaemekana ndiyo R1 rafiki wa karibu wa Masele anakopata mitaji yake ya biashara. Je, kwa uteuzi huu wa Masele kwa nini nisiamini fununu hizo na kwamba Masele amewekwa kwa ajili ya kulinda maslahi ya familia ya Kikwete!!
   
 2. m

  manucho JF-Expert Member

  #2
  May 5, 2012
  Joined: Apr 20, 2012
  Messages: 3,410
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  atakuwa analinda maslahi ya mzee wa kaya na watoto wake, ccm kurithishana, kujuana nyie wengine kafieni mbali
   
 3. Gosbertgoodluck

  Gosbertgoodluck JF-Expert Member

  #3
  May 5, 2012
  Joined: Mar 3, 2008
  Messages: 2,866
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 0
  Kikwete ni mjanja. Wizara nyeti zote ameweka walinzi wake. Hata akiweka watendaji wazuri wanaokubalika na jamii lazima apachike mtu wake ili iwe rahisi kupenyeza mambo yake. Hilo ni donda ndugu halikwezi kwisha. Hakuna asiyejua kuwa Masele amepachikwa tu kwa ajili ya ulinzi wa mzee mzima.
   
 4. p

  petrol JF-Expert Member

  #4
  May 5, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 322
  Likes Received: 74
  Trophy Points: 45
  Kumbuka siasa ni mchezo wa kuzidiana kete. wachea wapete tu, wakati unafaa. Lakini pia tuachane na majungu na kuchafuana kwenye jamvi. Mwenye ushahidi amwage hapa na tuatajua namna ya kuzitumia kwa maslahi ya nchi hata kama ni kufahamishana tu. Tuachane na mambo ya tetesi hayasaidii zaidi ya kutuongezea hasira.
   
 5. sembo

  sembo JF-Expert Member

  #5
  May 5, 2012
  Joined: May 25, 2011
  Messages: 3,350
  Likes Received: 1,202
  Trophy Points: 280
  Masele ni Bomu, Shinyanga hatutaki hata kumuona,
   
 6. K

  Kaseisi Member

  #6
  May 5, 2012
  Joined: Mar 6, 2012
  Messages: 99
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Mambo ya ngonswe bwana, na yule Prof. ni ndugu yake? Hivi mnasoma hizo publication zake lakini? Kazi ya naibu ni kumshauri waziri na sio kulinda maslahi ya mtoto wa Rais. Muhimu ni kufuatilia Ngumbaru anawezaje kumshauri prof.
   
 7. Kiganyi

  Kiganyi JF-Expert Member

  #7
  May 5, 2012
  Joined: Apr 30, 2012
  Messages: 1,244
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  There is something cookin'

  Wait and see!!
   
 8. K

  Kiumbo JF-Expert Member

  #8
  May 5, 2012
  Joined: Feb 4, 2012
  Messages: 561
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Duuu nilijua nyuma ya pazia haya mambo yapo ngeleja nje lakini lazima mkula aweke watu wake mambo yake yaendelee. Wadanganyika sie.
   
 9. Mark Francis

  Mark Francis Verified User

  #9
  May 5, 2012
  Joined: Nov 19, 2010
  Messages: 605
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Ndo hapo sasa, Masele atamshauri nini Prof.....?? Ndo mana watu wengi wanaona kama Masele kapewa ulaji tu, hakuna lolote la maana atakalofanya
   
 10. Kiby

  Kiby JF-Expert Member

  #10
  May 5, 2012
  Joined: Nov 16, 2009
  Messages: 5,209
  Likes Received: 1,011
  Trophy Points: 280
  .
  Kweli mkuu. Japo kufa hatufi ila cha moto tutakiona. Embu ona nae Nyalandu hata baada ya kushutumiwa wazi na waziri wake bado mkulu amemtuma mali asil kwenda kulinda mali za waarabu and co.
  .
   
 11. DALLAI LAMA

  DALLAI LAMA JF-Expert Member

  #11
  May 5, 2012
  Joined: Jan 31, 2012
  Messages: 8,617
  Likes Received: 401
  Trophy Points: 180
  C huyu wanasema mtaalam wa nguvu za giza? Au yule muigizaji?
   
 12. Mwakalinga Y. R

  Mwakalinga Y. R Tanzanite Member

  #12
  May 5, 2012
  Joined: Oct 22, 2008
  Messages: 2,718
  Likes Received: 52
  Trophy Points: 145
  Baba Riz hana ubavu wa kuweka watu waadilifu kwa sababu hata yeye uadilifu wake ni wa mashaka.
   
 13. Kaunga

  Kaunga JF-Expert Member

  #13
  May 5, 2012
  Joined: Nov 28, 2010
  Messages: 12,591
  Likes Received: 797
  Trophy Points: 280
  Tuwekeeni CV yake basi
   
 14. Ta Kamugisha

  Ta Kamugisha JF-Expert Member

  #14
  May 5, 2012
  Joined: May 17, 2011
  Messages: 3,003
  Likes Received: 1,077
  Trophy Points: 280
  Tanzania ni zaidi uijuavyo jamani.
   
 15. Njowepo

  Njowepo JF-Expert Member

  #15
  May 5, 2012
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 9,296
  Likes Received: 381
  Trophy Points: 180
  Unajua huyu jama huwa namchnaganya na yule wa ITV ie COMEDIAN
   
 16. Kiona

  Kiona JF-Expert Member

  #16
  May 5, 2012
  Joined: Feb 3, 2012
  Messages: 936
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  Meneja wa TIGO anafaa kuwa naibu waziri...JK huwa haeleweki kabisa. kwanza ilikuwa rafiki wa R1 bwana Masha wizara hiyo hiyo kuwa naibu. Sasa swahiba mwingie wa R1 kuwa naibu wizara hiyo hiyo. Hivi hili Baraza Pinda huwa anachangia au ni Irizi moja na babake ndo wanateua????

  Sitaki kusema kitu nikaanzisha chuki humu
   
 17. Ronn M

  Ronn M JF-Expert Member

  #17
  May 5, 2012
  Joined: May 2, 2012
  Messages: 1,283
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Meneja wa tiGO hadi naibu waziri! Duh amakweli zali!
   
 18. B

  Bangoo JF-Expert Member

  #18
  May 5, 2012
  Joined: Nov 3, 2011
  Messages: 5,594
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 135
  Napatwa na hasira jamani!!!! chuki dhidi ya ccm!!!
   
 19. B

  Bangoo JF-Expert Member

  #19
  May 5, 2012
  Joined: Nov 3, 2011
  Messages: 5,594
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 135
  huyu si ndo yule mchawi
  aliemuua shelembi?
   
 20. Nyetk

  Nyetk JF-Expert Member

  #20
  May 5, 2012
  Joined: Feb 28, 2012
  Messages: 1,624
  Likes Received: 819
  Trophy Points: 280
  Suala hapa siyo competence ye mtu bali ni taratibu zetu. kwa desturi uteuzi wa mawaziri unazingatia kubalance pia mikoa. Kama asingemteua Maselle unadhani kuyoka Shinyanga angemteua nani?
   
Loading...